Apostle kuna miujiza huku, nini kimetokea mkaka alikua hatembei miaka 30 baada ya maombi ameanza kutembea,
halleluyaaaaaaaaa, nani mtenda miujiza yeeeeeesu.
Nilikua nikisikia hivyo nabadilisha channel nilijua ni uongo tu.
Juzijuzi hapa kuna issue ilitokea ikanifanya nianze kumfatilia mwamposa...