Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwezesha kujenga kanisa lake eneo la Kawe Dar es Salaam, huku akimpongeza kwa kuendeleza miradi ya maendeleo iliyoachwa na Hayati Rais John Magufuli.
Soma pia: RC Chalamila asema Rais Samia ameruhusu...