Serikali ya Mpito Nchini Mali imetoa saa 72 kwa Mwakilishi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) kuondoka Nchini humo kufuatia vitendo visivyoendana na hadhi yake.
ECOWAS imekuwa ikishinikiza Mali kuheshimu ahadi yake ya kufanya uchaguzi wa Urais na Wabunge Februari 2022...
Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi...
Kama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo.
Nataka kumuelewa Mama Samia ni mara ya 2 sasa anamtuma Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais wa JMT nje ya nchi.
Je, Rais wa Z'bar ni mtu wa ngapi kiitifaki katika serikali ya JMT?
Anapotumwa yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.