Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Douglas Akwilapo, leo Mei 28, 2026, amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027, huku akiomba kuidhinishwa jumla ya Shilingi bilioni 210,259,515,000
Mchanganuo wa Bajeti
Matumizi...