mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwaka Usiishie Bila Kuanza Ujenzi Japo Hatua Moja - Vijumba vya Tofali na Bati Chache

    Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi) Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama...
  2. JamiiForums Tanzania Nawatakieni heri ya mwaka mpya wana JF wote na kuwaombea waliotangulia

    Mwisho wa mwaka unakaribia. Wanangu wapendwa, naomba nichukue fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na kuwaombea wale wote waliotangulia mautini. Nawaombea na kuwaomba tuzidi kupendana kupenda kufikiri. Tupambane na kila adui wa fikra kama vile uchawa, ukunguni, ukiroboto, unune, na ufisi na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

    Hello wakuu, Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu. Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya usajili wa wanafunzi chuo cha NIT baada ya mfumo wa ulipaji ada kubadilishwa

    Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo Wanafunzi wengi tunapata shida kufanya usajili kwasababu ya hali ngumu za kimaisha za familia zetu...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

    Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa. Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
  6. JamiiForums Tanzania Anataka kuniacha kisa nanyoa mala mbili Kwa mwaka nywele za chini

    Kaka magical power hodi ,Leo nimeamka Nina stress kichwani kaka yangu nimepokea onyo langu la mwisho kutoka Kwa bwana angu Anasema nikome kwenda kwake tena na nywele zangu kama kichaka .ni aina ya mwanamume anayependa kunikosoa vitu vidogo vidogo sana ,embu fikiria sio nywele za kichwani bali...
  7. JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 mdogo wangu aliwekwa korokoroni Africa kusini bila kosa sababu ya muonekani wa kihuni mpaka kombe la dunia kilipoisha

    Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga. Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa. Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi...
  8. JamiiForums Tanzania Samia atajwa na Forbes kama moja ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani kwenye mwaka 2024

    Wakuu, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa kwenye orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani. Samia ambaye alitajwa pia mwaka 2023 amewekwa kwenye nafasi ya 91 katika list hiyo ambayo pia ilihusisha viongozi na wanawake mbalimbali maarufu duniani...
  9. JamiiForums Tanzania Mtu tuloaminishwa anauweza Urais Mwaka 2020 ndo wale wale wanatwambia haiwezi nafasi ya uenyekiti wa chama? Au

    Je mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba? Iweje Kama Lissu alifaa kwanini leo wanasema hawezi uenyekiti? Britanicca
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 naiona CHADEMA kugawanyika sehemu mbili "CHADEMA Asili" na "CHADEMA Wazalendo"

    Nizahiri sasa Tindu Lisu amejipanga na wafuasi wake wanaomuunga mkono iwe jua iwe mvua ni lazima agombee na awe mwenyekiti wa CHADEMA Pia mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Freeman Mbowe naye amejipanga na watu wake wanaomuunga mkono kutetea tena nafsi yake kama hiyo. Kwa hali inavyoonyesha...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni lini Freeman Mbowe alisema atagombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa mwaka 2024?

    Kumbukumbu kwamba Mbowe alisema kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA mwaka huu hatagombea zipo. Ni lini Mbowe alibatilisha kauli yake hiyo na kusema atagombea nafasi hiyo? Naona kama CCM wananena Kwa lugha!!
  12. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Wazee wenzangu 60+ nimepata aibu ya kufunga mwaka

    Naam ni kuhusu yule Bi.mkubwa ambaye wengi mlinitia moyo kwamba nimvagae....walahi najuuuuta sijui kwa nini nilimtamani.....Kama nilivyowaeleza awali huyu tupo nae Kanisa moja.....na kule Kanisani maneno yamesha sambaa nadhani hata baba Mchungaji stori itakuwa ishamfikia Mambo si mambo kuna...
  13. JamiiForums Tanzania Kila mwaka ukiisha huwa unajiona ulikuwa mjinga kiasi gani?

    Hebu wakuu njooni mtuambie apa Mwaka UKIISHA ukipiga hesabu za matendo yako Huwa UNAJIONA ulivyokuwa mjinga mwaka ulioisha?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Habari zilizotrend kwa mwaka 2024

    10. Kifo cha mtoto albino mkoani Kagera 9.Kutekwa kwa Sativa 8. Msigwa kuhamia ccm 7. Makonda kurudi kwenye mfumo 6. Kifo cha mzee Mwinyi 5. Yanga kuifunga Simba mara 4 mfululizo. 4. Kifo cha mzee Kibao 3. DP world kuanza operation Tanzania 2...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

    Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo Gani unaona kwako kwamba huu ndo umefungia mwaka 2024

    Ni wimbo ule ambao umetolewa kuanzia mwezi wa 10 au 11 na unajua kabisa huu lazima utakuwa tishio huko kwenye starehe au madisco na utakuwa unapigwa Sanaaa tu kwenye sikukuu, Mimi wangu ni huu👇
  17. JamiiForums Tanzania Una hakika mahusiano yako yatafika sikukuu za mwisho wa mwaka.

    Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
  18. JamiiForums Tanzania Yanga kupata hasara zaidi mwaka huu wa fedha

    1. Engineer Hersi kavunja mkataba na Master Gamond hivyo Yanga italipa fidia. 2. Kaajiri kocha wa mchongo na kuna kila dalili atamtimua hivyo Yanga italazimika kulipa fidia. 3. Inasemekana anatarajia kuvunja mkataba na Baleke hivyo Yanga italazimika kulipa fidia. 4. Kocha wa viungo aliyekuja...
  19. JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru Mungu amejibu maombi ya watanzania mara moja tu mwaka 2021

    Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.? Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani. Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
  20. JamiiForums Tanzania Spotify yatangaza ngoma na wasanii wa Tanzania waliosikilizwa zaidi mwaka 2024. Marioo ashika usukani!

    Wakuu, Kama mnavyojua kuwa tuko mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 na hivi karibuni mtandao wa kusikilizia muziki ambao una makao makuu yake huko USA, umetoa orodha ya wasanii kutoka Tanzania waliofanya vizuri zaidi. Kwenye list yao, Spotify wametoa orodha ya wasanii, album na ngoma zilizofanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…