mwajiriwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwajiriwa anavyoweza kujenga utajiri kwa kumiliki nyumba za kupangisha zenye kipato kikubwa

    Tunatafuta usalama na uhuru. Usalama na uhuru ndiyo huendesha maisha ya watu wote duniani. Kwenye ukurasa huu nina kuonyesha makundi makuu mawili (2). Kundi la kwanza ni lile linalotafuta usalama wa maisha yao ya kifedha. Kundi la pili ni lile ambalo wanatafuta uhuru wao wa maisha yote...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania ni mwajiri au mwajiriwa?

    Ni vigumu kutambua nafasi ya Rais wa Tanzania hasa katima hoja aidha ni mwajiri wa wananchi au ni mwajiriwa wa wananchi. Marais waliopita wametengeneza dhana kwamba wao ni waajiri wa wananchi huku wanapokuwa kwenye Mikutano ya adhara wakihubiri kwamba wao ni waajiriwa. Rais wa Tanzania...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mwajiri ana haki ya kumlazimisha mwajiriwa kupima afya?

    Hivi majuzi timu ya mpira wa miguu ya Simba baada ya kikao cha kamati ya nidhamu iliadhimia kumpeleka mchezaji Jonas Mkude kupima afya ya akili Mhimbili. Swali iko wapi haki ya Siri ya afya ya mwajiriwa? Je, endapo Mkude atakataa kwenda hospital Simba watamfanya nini? Na vipi Mkude akiamua...
  4. Taured

    JamiiForums Tanzania Mwajiri Vs mwajiriwa

    Habari Wana Sheria? Naomba msaada wa kisheria kuhusu kero za serikali juu ya upandaji madaraja( promotions) Mwaka 2015 mwezi Novemba nilipokea barua ya kubadilishiwa daraja ( promotion) niliendelea kupokea mishahara wa zamani mpaka mwezi Mei 2016 ndo nikapewa mshahara mpya unaoendana na daraja...
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kwaajili ya staff mwenzangu

    Wasalaam, Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia (lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu. Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani. Sifa za mtafuta mke 1. Miaka 35 2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni 3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya...
Back
Top Bottom