mwafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Morani wanapagawa na bangili za shingoni

    Sopa mazee. Ipo hivi, mwanaume wakati anachagua mwanamke wa kumweka ndani kuna vitu huwa anathaminisha. Kuna baadhi ya wanaume huthaminisha ukubwa wa makalio, wengine umbo la miguu, wengine uwima wa matiti, na nakadhalika. Hali ipo hivyo hivyo kwa vijana wa kimasaai japo wao hawathaminishi...
  2. JamiiForums Tanzania Uchifu - Ni kitu kizuri Rais kuenzi utamaduni wa Mwafrika

    Afrika kabla ya kutawaliwa tulikuwa na mila na desturi zetu. Wakati huo hatukuwa na dini kama vile uislam na ukrito lakini tulikuwa na njia zetu wenyewe za kuomba kitu fulani kitokee au kujiepusha na janga. Haya mafundisho ya dini kubwa za leo yaliletwa na mabeberu. Na unajua baada ya kutuletea...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti kati ya 'Utamaduni wa Makabila' na 'Ushirikina wa Mwafrika' kwani kuna Mtu anatupeleka 'Kibla' tuparaganyike

    Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi (Ushirikina) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na...
  4. JamiiForums Tanzania Siasa ndani ya Vatican zamshinda Kardinali mwafrika kutoka Ghana na kumlazimsha kuomba kujiuzulu

    Mungu hajawai kuumba vyeo vya watu bali aliumba watu na watu wanayao bila kujali vyeo wala nafasi zao VATICAN CITY (Reuters) - Cardinal Peter Turkson, seen by some as a candidate to become the first African pope in about 1,500 years, has abruptly offered his resignation from a key Vatican...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China kwa mtazamo wa mwafrika anayeishi China kwa karibu miongo miwili: China ya sasa ina mambo mengi ya kujifunza kuliko uchumi peke yake

    kasri ya kifalme mjini Beijing (Forbidden City) mandhari ya kisasa mjini Shanghai Kwa muda wa muongo mmoja sasa China imekuwa inatajwa kama nchi yenye uchumi wenye nguvu ambao unakaribia kuupita ule wa Marekani. Kwa watu wengi wa Afrika picha ya China kidogo ina mchanganyiko wa yale...
  6. JamiiForums Tanzania Falsafa za Muafrika katika uwanja wa kalamisine etihad

    Falsafa ni kitu cha msingi kwa mwanadamu. Falsafa inamtengenezea mtu platform ya kuwin challenge yoyote inayomuijia mbele yake,maana tunaamini njia bora zaidi kuishinda changamoto ni kuifata ili upambane nayo,maana ukiikimbia itabaki vile ilivyo na bado itakufukuzia kwa nyuma hadi ikupate...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msanii Wizkid ameweka rekodi ya kuwa msanii Mwafrika wa kwanza kufikisha zaidi ya Streams Milioni 300 katika Audiomack

    Msanii Wizkidayo Ameweka Rekodi Ya Kuwa Msanii Muafrika Wa Kwanza Kufikisha Zaidi Ya Streams Milioni 300 Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Audiomack, Audiomack Wameshare Taarifa Hiyo Katika Ukurasa Wao Wa Instagram Huku Wakimpongeza Msanii Huyo Kuweka Rekodi Hiyo. Saa moja Baada Ya Wizkid...
  8. JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa haujui Abdulhazak Gunah ni mwafrika wa tano kushinda Nobel Prize ya Literature.Na hii ndio list ya waafrika waliowahi shinda Nobel Prize

    Habari wadau..! Kama ulikuwa haujui Abdulhazak Gunah ni mwafrika wa tano kushinda Nobel Prize ya Literature.
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo gazeti la Mwafrika lilivyochapisha harakati za Uhuru 1959

    Little we knew that the Freedom will be for the few TANU, CCM and Afro Shirazi Party elites.
  10. JamiiForums Tanzania Kwenye suala zima la mapambano dhidi ya COVID 19 nimejikuta najuta kuwa Mwafrika

    Habari za mchana ndugu! Huku mataifa makubwa madaktari wakibishana kupigania chanjo walizozigundua huku madaktari wetu wako kimya. Ok hiyo sio issue sana maana hata huko nje wapo madaktari ni mizigo pia. Issue inayonifanya nijute ni sisi waafrika kutwakutwa kujazana upepo kuwa chanjo za...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwafrika 1959

    Itokee sasa gazeti lichapishe maudhui yanayofanana na haya itakuaje? Bado eti kunawatu wanasema wazungu ni watu wabaya.
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndio nia haswa ya wazungu kwa Mwafrika na Mtanzania - tuamke hasa kiakili!

    Huyo mama wa kizungu anaonesha mtazamo wa wazungu walio wengi dhidi ya Afrika, ingawaje hata huyo mtoa mada ni mzungu. Lakini, mtoa mada inaonekana anaongea hivyo baada ya nchi yake, Ugiriki, kupigika kiuchumi. Mama huyo anahofia maisha yao ya mbeleni endapo Afrika itaamka kiakili, kiuchumi, na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Video: Boss mchina apokea mkong'oto kutoka kwa mfanyakazi mwafrika

  14. JamiiForums Tanzania Mvinyo wa Jack Daniels uligunduliwa na Mwafrika

    Ukitazama vyema picha hii, utagundua kuna mtu mmoja tu mweusi (Muafrika). Huyo ndiye Nearest au “Master Distiller” kwa jina maarufu. Alizaliwa wakati wa utumwa mnamo huko nchini Marekani 1820. Huyu bwana ndio mwalimu aliyemfundisha Jack Daniels jinsi ya kuchakata mvinyo huo. Ilikuwaje? Jack...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…