Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani hatua ya Serikali dhidi ya Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Dkt. Josephat Gwajima, akisema ni shambulio la wazi dhidi ya uhuru wa imani na haki ya kuabudu.
Katika taarifa yake kwa umma...