muundo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Muundo Bora wa Muungano ni Upi: Serikali Moja, Mbili, Tatu au Shirikisho? Lete Hoja Yako, Tuichambue Pamoja, Kisha Piga Kura

    Miongoni mwa maswali magumu zaidi katika mchakato wa Katiba Mpya ni muundo wa Muungano. Badala ya kubishana, hebu kila mmoja alete hoja yake kwa nini anaona muundo fulani ni bora, tuchambue faida na hasara kwa pamoja, kisha tupige kura kwa uzito wa hoja, si kwa hisia. Nianze mimi kwa kuweka...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero kuhusu ufadhili wa masomo kwa watumishi wa afya kupitia mradi wa Beginning Fund mwaka wa fedha 2026/2027

    Kuna barua inayosambaa kutoka Wizara ya Afya ikionesha uwepo wa ufadhili wa masomo kwa watumishi wenye Diploma kupitia mradi wa Beginning Fund kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Cha kusikitisha ni kwamba kwa upande wa wauguzi, ufadhili huo umeelekezwa zaidi kwenye ngazi ya Higher Diploma, ambayo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ni lini muundo mpya wa Kada ya afya hasa Wauguzi utaanza kutumika? Ni mwaka sasa tangu ahadi itolewe

    Naomba kuwasilisha kero hii Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu kuahidiwa kwa muundo mpya wa kada za afya, hususan kada ya uuguzi, lakini utekelezaji wake bado haujaanza. Tunaomba mamlaka husika kuliangalia suala hili na kutupatia majibu kuhusu ni lini muundo mpya utaanza kutumika, kwa kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa utawala tuuchukue ndio uwe mfumo rasmi wa uongozi na utawala

    Habari Tanzania !. Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani. Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo; 1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri; (a) Mwenyekiti na Msaidizi wake wa Halmashauri wawe raia wa kawaida wasomi ngazi ya Shahada moja na kuendelea asitokane na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya muundo wa ustawi wa jamii ndani ya halmashauri

    Kuna haja kubwa sasa ya kuzungumzia changamoto inayowakumba Maafisa Ustawi wa Jamii nchini. Pamoja na kwamba Wizara ya Afya na Wizara ya maendeleo ya jamii jinsia, wanawake na makundi maalumu zilitenganishwa tayari, bado katika Halmashauri nyingi Ustawi wa Jamii inaendelea kubaki chini ya Idara...
  6. JamiiForums Tanzania Muundo na Mfumo wa kiutawala wa CCM ni wa Milele

    Hii ikimaanisha, kamwe haiwezekani CCM kushindwa uchaguzi wowote itakaoshiriki hasa kwenye nafasi za kitaifa, na wala kamwe haiwezekani uongozi wake kupinduliwa na vibaraka wa ndani au nje ya CCM yenyewe. Ni mfumo imara na madhubuti sana wa kiutawala wa milele. Na ndio maana mpaka leo hakuna...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ahadi hewa ya Utekelezaji wa Muundo wa Utumishi kwa Sekta ya Afya (Kada ya Uuguzi na Ukunga) kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025? Habari, Kwa masikitiko makubwa napenda...
  8. JamiiForums Tanzania RC Kagera atumbuliwa, Kanali Yahya Ramadhani Kido apewa nafasi hiyo

    Aliyekuwa RC wa Kagera ameondolewa; kuna issue gani alifanya huyu?
  9. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Chalamila atoa taarifa kwa Kamati ya Bunge kuhusu majukumu na muundo wa TAKUKURU

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin Chalamila, Januari 19, 2026, ametoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu majukumu, mamlaka na muundo wa Taasisi hiyo, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge lijadili na kuja na muundo wa vyama vya siasa nchini

    Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake. Hili litaepusha uwepo wa vyama...
  11. JamiiForums Tanzania Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo

    Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo 1. Utangulizi Mnamo tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitoa hotuba ya kufungua Bunge la 13, akiwa bungeni Dodoma. Hivyo, hapa chini najadili muundo, maudhuo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi ya wazalendo wachache

    Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi wa wazalendo wachache. Kwenye ukanda wetu Tanzania ndiyo nchi ambayo siasa zake hazileti maendeleo yeyote ya maana. Mpangilio wa serikali yenyewe ni wa kibaguzi na unapendelea Wanzanzibari wachache. Mahakama ni za kisiasa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wanalalamikia sana muundo wa muungano na kusahau muungano ulifanywa haraka sana bila majadiliano ya kina ili kuwaokoa wasichinjwe

    Ilikuwa hivi, tarehe 12 January, wazalendo wa Zanzibar, karibu wote weusi, walichukua silaha za jadi na kuteka ghala la silaha kisha kfanya mapinduzi kuuondoa utawala wa Kiarabu visiwani. Wakiwa wamejaa shamra shamra za mapinduzi walianza kuwachinja waarabu na kufanya mauaji makubwa mengi yasiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hiki kitanda ni Cha mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  16. JamiiForums Tanzania Hivi muundo wa KKKT upoje naona kama kila Askofu ana mamlaka yake

    GT Pesa ni hatari sana. Ndo maana hata kwenye bibilia pesa imeandikwa kumsaliti yesu. Viongozi wenye njaa wanaenda kulitumbukiza taifa hili katika matatizo Makubwa sana. Wale wa wa upande ule ambao walikatazwa kuwa na familia nadhani waliona mbali sana maana kuepuka maslahi binafsi ni kazi...
  17. JamiiForums Tanzania VIDEO: Ebu Tazama muundo huu murua wa mfumo wa geti. Mafundi wetu chukueni hii kama challenge

  18. JamiiForums Tanzania Tahakiki ya Hotuba ya Rais Samia ya Tarehe 25 Aprili 2025: Muundo, Maudhui, Mabaya, Mapengo Na Mapendekezo

    Mazingira, muundo, maudhui, mabaya, mapengo na mapendekezo kuhusu hotuba ya Rais Samia ya tarehe 25 Aprili 2025: Mazingira ya hotuba Hotuba ya Rais Samia imeandaliwa, na inapaswa kutathminiwa, katikati ya mazingira yafuatayo: Msimu wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na mwadiwani inakaribia...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

    Magereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je kwanini JWTZ haiko hivyo iwe na Mkuu wa JWTZ wa mkoa na mkuu wa JWTZ wa wilaya.nadhani Kuna nchi zina...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿 Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu, bali makundi yote yameguswa chanya na serikali yetu, utaona ruzuku zimejaa kila Kona ya nchi, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…