musukuma

Joseph Kasheku Musukuma (born February 12, 1974) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Geita in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    PreGE2025 Musukama: Kama huna hela ya kuchukua fomu njoo

    MBUNGE wa Jimbo la Geita vijijini, anayemaliza muda wake, Joseph Kasheku (Msukuma) ameahidi kuwa atawachangia gharama za fomu wapinzani wake watakaopungukiwa pesa za kuchukua fomu ya ubunge wa jimbo hilo. Msukuma amesema hayo mbele ya waandishi wa habari mjini Geita mara baada ya kurejesha fomu...
  2. DuaZaMama

    PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

    "Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela...
  3. Waufukweni

    Musukuma ataka Wabunge wapite maeneo ya VIP na wenza wao

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, ameibua hoja bungeni akilalamikia mazingira yasiyo rafiki kwa viongozi na familia zao wanapopita katika maeneo mbalimbali ya VIP. Akizungumza bungeni, Musukuma amesema: "Sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia....Mhe. Spika sisi tumepewa...
  4. Waufukweni

    Bulaya adai ripoti ya Machi 8 ya Simba na Yanga bungeni

    Mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya ameibuka bungeni na kuuliza swali la kutaka kujua ni nini kilitokea hadi kuahirishwa kwa mechi ya dabi kati ya Simba na Yanga iliyotakiwa kuchezwa Machi 8, 2025 ambapo ameomba kupatiwa majibu. Baada ya kuuliza swali hilo, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson...
  5. Yoda

    Musukuma afahamishwe tukiwa kama China hawezi kuwa mbunge

    Mbunge Musukuma ameelezea kisa cha kumfurahisha kilichomtokea alipokuwa China ambapo dereva taxi aliwashusha kwenye gari yeye na mkalimani wake baada ya kuanza kumjadili rais wa China. Hilo jambo lilimfurahisha sana Musukuma hadi leo akichangia bungeni akapendekeza na kusisitiza na sisi...
  6. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Musukuma: Labda kuna joto jimbo la Gwajima, wabunge tutoe ahadi zinazotekelezeka. Wakazi wa Kawe tunasubiri ahadi ya kwenda Japan na Ujerumani

    Mbunge Joseph Kasheku 'Musukuma' amewataka wanasiasa kuwa na ahadi zinazotekelezeka katika kipindi cha kampeni ili kuwaondolea shinikizo kubwa. Akizungumza leo Mei 26, bungeni jijini Dodoma, Msukuma amesema anahisi kama joto la uchaguzi limepanda kwa baadhi ya wanasiasa. Ameongeza kuwa huenda...
  7. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Musukuma: Wakati wa Mwamba hakuna aliyenyanyua mdomo, tusiingilie maamuzi ya mama

    Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
  8. chiembe

    Mbunge Musukuma akoshwa na kazi ya Samia, apita daraja la Kigongo Busisi(JPM) Bridge akishangilia, aiponda No Reform No Election

    Mkikaa kimya mawe yataongea. Musukuma ameshangilia kazi za awamu ya sita.
  9. Waufukweni

    Joseph Musukuma: Pesa za Mama Samia walizokopeshwa Wasanii, wameolea na kununulia Magari

    Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma "...Mheshimiwa mfuko wa wasanii pesa alizotoa Mama Samia leo tukiuliza kuna shilingi ngapi au mliowakopesha wamerudisha shilingi ngapi wapo hapa kuchukua hela leo wengine na kuoa kununua magari, starehe zingine zimewaua na kuwaua..."
  10. chiembe

    PreGE2025 Msako wa kura za Kanda ya Ziwa kuongozwa na Wasira, Dotto Biteko, Musukuma, Bashungwa, na Mabula's. Ni kivumbi!

    Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa. Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji. Huwezi amini kwamba Mzee Wasira...
  11. M

    Tumsapoti Rais Wa IPU, washangiliaji kama King musukuma na wale wamama wa vigelegele waende wakafanye kazi yao kama wanavofanya Dodoma

    Kama nchi tushikamane kwa wakati huu, kazi ya wale wabunge wetu ya kushangilia na kupiga meza inatakiwa wawepo kule IPU. Kwanza wangeenda wamama wale wanaopigaga vigelegele kwa kila kitu wale waliouliza maswali ya Ukraine wangeipata fresh yao. Wapelekwe na wale wabunge kama king wanaosemaga...
  12. mwanamwana

    Mbunge Musukuma: Tunafuata bidhaa Uganda zilizopita kwenye bandari yetu. Hatuoni aibu?

    Mbunge wa Geita Vijijini, Musukuma Kasheku akichangia bajeti kuu amesema Tanzania tuone aibu, haiwezekani bidhaa za Uganda zinapita bandari ya Tanzania, halafu sisi tunazifuata huko "Leo hii sisi Watanzania tunafuata bidhaa Uganda na Kenya hamuoni aibu?, bandari inayotumika ni ya Dar es Salaam...
  13. J

    Fatma Karume amshukia Spika Tulia kwa kutomchukulia hatua Dr Musukuma baada ya kutumia degrading language kwa Wanawake!

    Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amehoji Kwanini Spika Dr Tulia hakumchukulia hatua mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma aliyewadhalilisha Watoto wa kike na wanawake kwa ujumla Karume amelalamika Ukurasani X
  14. Suley2019

    Musukuma: Tuanze na V8 za Mawaziri kuweka mfumo wa gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameishauri serikali ianze kufunga mifumo ya gesi katika Gari zote za mawaziri ili kuokoa gharama kutokana na gari hizo kutumia mafuta ambayo gharama yake ni kubwa ukilinganisha na gesi. Musukuma amesema hayo leo Aprili 25, 2025 Bungeni jijini...
  15. Z

    Mbunge Musukuma ashauri V8 za Mawaziri zifungwe mitungi ya gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Geita Msukuma ameishauri serikali Kufunga mitungi ya gesi kwenye magari yote ya mawaziri ili kubana matumzi. Ameyasema hayo leo hii 25/04 Bungeni wakati akichangia Bajeti ya wizara ya nishati. Kwa sasa magari ya mawaziri, gari moja yaani V8 ikitoka Dar kwenda Dom inatumia laki 5...
  16. BARD AI

    Musukuma: Kikokotoo cha 33% kitazalisha Watumishi wezi, hawatajli tena kazi

    DODOMA: Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amesema Setikali inatakiwa kufanyia kazi malalamiko ya Watumishi kuhusu suala la Kikokotoo cha 33% vinginevyo wataanza kuiba kwasababu wanajua wakistaafu hawatalipwa mafao yao yote. Amesema "Kuna vitu vinazungumzwa tunaona kama haviwaumizi...
  17. Replica

    Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

    Mbunge wa Geita, Musukuma amesema alikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu mpakani akibeba mpaka kilo 50 mwilini. Musukuma amesema mwaka 1996 alikuwa na umbo dogo kimwili hivyo kuonekana kama mtoto, askari wakishusha watu kwenye basi ili wasachiwe, walikuwa hawasachi watoto hivyo alikuwa hakaguliwi...
  18. B

    Hivi Musukuma anajikuta kama nani kuwatisha wananchi kiasi hicho?

    Asalaam Aleykum wana JF wenzangu. Rejeeni mada tajwa hapo juu. Mimi nikiwa kijana Mzalendo wa Kitanzania, huwa ninakerwa sana na baadhi ya wabunge akiwemo Joseph Kasheku aka Musukuma hasa kwa tabia zao za kuwaona wale wenye maoni ya tofauti na serikali (au maoni yao wenyewe) kama ni wajinga...
  19. Librarian 105

    Joseph Musukuma, usiangalie upande mmoja tu wa sarafu

    Mbunge wa Geita, Josephu Musukuma, wakati unapotoa ushauri kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua wanaopotosha mkataba wa Dubai Port World na Tanzania Ports Authority. Ni vyema pia ukapigania bunge lijadili kwa uwazi kila kipengele cha mkataba huo pasina na shinikizo la uchama...
Back
Top Bottom