mussa zungu

Mussa Azzan Zungu (born 25 May 1952) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ilala constituency since 2005.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Zungu: Dar Maji hamna, lakini bili zinakuja kama kawaida shida ni nini?

    Spika wa Bunge, Mussa Zungu ameitaka Wizara ya Maji kufuatilia sababu za kuendelea kutolewa bili za maji kwa wakazi wa Dar es Salaam licha ya kuwapo kwa uhaba mkubwa wa maji kwa kipindi kirefu. Akizungumza leo Jumatano, Januari 28, 2026, bungeni jijini Dodoma, Zungu amesema hali hiyo ni kero...
  2. Waufukweni

    Bunge lawathibitisha Pareso, Mwanyika, Giga kuwa wenyeviti wa Bunge

    Bunge la Tanzania leo Jumatano, Januari 28, 2026 limewathibitisha wabunge, Deo Mwanyika, Cecilia Pareso na Najma Murtaza Giga kuwa wenyeviti wa Bunge. Watatu hao wamethibitishwa baada ya Spika wa Bunge, Mussa Zungu kuwahoji wabunge kama wanaafiki kuwa wenyeviti. Wabunge hao waliteuliwa na...
  3. and 998 others

    Mwenye CV ya Spika (Mussa Zungu)

    Tukiendelea kumpongeza Mheshimiwa Dr Musa Azzan Zungu. Naomba mwenye CV yake aiweke hapa kwa manufaa ya wengi. Asante Pascal Mayalla
  4. R

    GE2025 Mussa Zungu: Rais Samia ametoa Bilioni 200 ujenzi Mfumo mpya wa maji taka Ilala

    Hawa wazee wa CCM wakubali tu wamechoka maana wakienda bungeni watajikuta wanasaini mikataba ya kutuuza kabisa Zungu jamani kweli ndo kuzuia maji taka kuua samaki barabarani au ndo mradi mpya wa CCM wa makazi mapya ya samaki:confused: waachieni wenye afya na nguvu imara ya kuongoza nchi mkalee...
  5. PAYE

    GE2025 Mussa Zungu: Maandamano yaliyopangwa kufanyika Oktoba 29, hayatofanyika hawana ubavu huo

    Mgombea Ubunge jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amewahimiza wafanyabiashara kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29 akihimiza kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika siku hiyo hayatofanyika kwani hawana ubavu huo.
  6. B

    GE2025 Mussa Zungu atia nia kugombea ubunge jimbo la Ilala

    Mussa Zungu, alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala na Naibu Spika amechukua fomu kuomba nafasi kwa mara nyingine kwenye jimbo hilo la Ilala. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Naibu Spika, Zungu aaga Bungeni, ataka Wabunge kuheshimu Wananchi na kutumia Kazi za Rais Samia kama Silaha ya Uchaguzi

    Naibu Spika na Mbunge wa Ilala (CCM), Mussa Zungu, amewaaga wabunge na watumishi wa Bunge leo Ijumaa, Juni 20, 2025, akiwahimiza kuwa na ushupavu na kuzingatia mambo matano muhimu yatakayowarejesha katika Bunge la 13. Zungu amewatakia heri Wabunge wote kuelekea kuhitimishwa kwa Bunge la 12...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Mussa Zungu: Rais Samia amejivua mamlaka ya kupendekeza Mwenyekiti wa Tume, amewarudisha Wapinzani wote waliokimbia Nchi

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akiongea na wananchi wa Dar es Salaam katika Hagla ya uzinduzi wa soko la Nyama choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti jijini hapo amesema: "Rais Samia amejivua mamlaka ya kupendekeza Mwenyekiti wa Tume, hayo...
  9. Waufukweni

    Mussa Zungu: Sioni sababu ya Wasiohusika na mechi ya Simba kuzungumza zaidi humu ndani (Bungeni)

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema haoni sababu ya baadhi ya wabunge wasiokuwa na uhusiano na Klabu ya Simba kuwa ndio wanaozungumza zaidi kuhusu mechi ya Simba wakati mchezo huo umepangwa kuchezwa kesho. Ametoa kauli hiyo leo Bungeni wakati wa maswali na majibu.
  10. upupu255

    PreGE2025 Naibu Spika, Mussa Zungu: Yaliyoonekana kuwa magumu yamewezekana kwa Rais Samia

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu kwaniaba ya Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo Machi 17, 2025 amesema ndani ya miezi minne ya Rais Samia Suluhu Hassan mambo mengo yaliyokuwa yameshindikana yamefanyika ikiwemo maandalizi na uzinduzi wa sera ya Ardhi...
  11. Mindyou

    LGE2024 Mussa Zungu anapita mtaa kwa mtaa kuombea kura CCM. Haoni aibu jinsi mitaa na hali za wananchi zilivyokuwa mbaya?

    Wanabodi, Kama mnavyojua kuwa sasa hivi kampeni za serikali zinaendelea na jana Mbunge wa Ilala Mussa Zungu Ukiangalia mitaa ambayo alikuwa anapita ni mitaa ambayo barabara ni mbovu, hakuna mpangilio na hata mitaa haiko katika hali ya usafi. Anakutana na wananchi wanauza mihogo katika hali...
  12. Waufukweni

    LGE2024 Mussa Zungu ajitosa kampeni za Mtaa kwa Mtaa, awaombea Kura Wagombea CCM, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mussa Azzan Zungu, ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, ameendelea na kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Upanga Magharibi, jijini Dar es Salaam. Amengia kuogea na wananchi mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba, Zungu amewanadi wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
  13. J

    PreGE2025 Naibu Spika Mussa Zungu awaasa wabunge wasiogope kurudi majimboni. Awataka wapange maneno ya kwenda kusema majimboni

    Naibu Sipika wa Bunge, Mussa Zungu amewataka wabunge wasiogope kurudi majimboni kwani kuna miradi mingi ya kuzungumzia na kuwa wameonyesha wana sifa za kurudi bungeni 2025. “Niwapongeze wabunge kwa kazi nzuri mliyofanya kipindi hiki chote ambacho tuko bungeni, mmeonyesha umahiri wenu na...
  14. Sildenafil Citrate

    PreGE2025 Mussa Zungu: Rasmi sasa tumeanza Ajenda ya Samia 2025

    Rasmi tunaanza Ajenda ya Samia 2025 leo katika Jimbo letu la Ilala. Hatutazimwa na mtu wala hatutawashwa na mtu, tumeamua kumbeba na kumtetea kiongozi anayesimamia umoja katika taifa letu. Musa Azan Zungu Mbunge, Ilala (CCM) ============ For English Audience Only============= "We officially...
  15. Ojuolegbha

    Mussa Zungu: Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo wametukumbusha mbali sana

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu amewapongeza Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuweka bidhaa ambazo ndizo wanazifanyia kazi na kusema imewakumbusha mbali sana. Naibu Spika Mhe. Zungu amesema hayo Juni 05, 2023 jijini Dodoma wakati...
  16. El Roi

    Naibu Spika Zungu, ongoza vikao na acha ukiranja

    Nikiri kwanza kwamba, baada ya uchaguzi mkuu uliopita 2020, morale ya kufuatilia siasa za nchi hii imeshuka sana kwangu, ukiachia mbali kufuatilia bunge lenyewe. Namna siasa zinavyotafsiriwa na kufanywa kwenye nchi hii, haitii raha kabisa, kama tunakuwa wakweli wa dhamira zetu. Tunamuomba tu...
  17. Replica

    Mussa Zungu ataka wananchi kujifunga mkanda kwa maendeleo yao, asema misaada inaenda kupungua kutokana na vita

    Naibu spika wa Bunge, Mussa Zungu akiwa kwenye mkutano wa ITAC unaohusu ushiriki wa wananchi kwenye maendeleo ya nchi, ameipongeza Serikali kwa kuwasikiliza wananchi na kupunguza Tozo. Zungu ametaka kujivunia na kufunga mkanda kujenga wenyewe badala ya kutegemea misaada kwani inaenda kupungua...
  18. Jerlamarel

    Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano(NICTBB) unaweza kuzalisha mapato kuizidi TANESCO, endapo wanaokwamisha watadhibitiwa.

    Preamble: Fikiria una nyumba 1000, zote zina huduma ya umeme na fiber. Zote zina matumizi ya kawaida ya umeme na fiber. Kwa kawaida gharama ya umeme iko chini kushinda fiber. Nyumba moja inaweza kutumia 20,000/= kwa mwezi kwenye umeme. Kwenye fiber kifurushi cha 50,000/= unlimited kwa mwezi...
  19. Replica

    Waitara awashukia vikali Mawaziri. Zungu amjibu hata yeye alikuwa anafanya hivyo hivyo alipokuwa Naibu Waziri

    Leo mbunge Waitara amewashukia naibu Waziri maliasili na Waziri wa ardhi na kuwalaumu kumtegea mabomu njiani. Waitara amesema wahusika wameenda jimboni kwake na kudai wamemshirikisha eneo la mipaka na kuwahamisha watu bonde la mto Msimbazi. Waitara amewataka mawaziri wa Maliasili na Ardhi...
  20. Magazetini

    Mussa Zungu: Tutegemee mengi magumu yatakuja. Asema kupanda kwa bei hakujatengenezwa na Serikali

    Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile. Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala...
Back
Top Bottom