Leo mbunge Waitara amewashukia naibu Waziri maliasili na Waziri wa ardhi na kuwalaumu kumtegea mabomu njiani. Waitara amesema wahusika wameenda jimboni kwake na kudai wamemshirikisha eneo la mipaka na kuwahamisha watu bonde la mto Msimbazi.
Waitara amewataka mawaziri wa Maliasili na Ardhi...
Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile.
Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala...
Mussa Zungu, Mbunge wa Ilala amesema haya
Hoja kuhusu viwango vya tozo za miamala ziko juu ni kweli yaani Laki moja inatafutwa kwa mbinde halafu ada inakatwa mara tatu, ndio maana Rais Samia ametoa maagizo kwamba litizamwe wapi tulipokosea.
Hii kodi tumeiweka kwa ajili ya wenye uwezo, kati ya...
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam yatawajia muda mfupi ujao kupitia vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii. Aidha, waweza kutazama kupitia Youtube ya IkuluMawasiliano.
======
UPDATES:
Rais amemteua Mussa Zungu kuwa Waziri wa Muungano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.