muonekano mzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. haszu

    Online dating ni kwa ajili ya wenye muonekano mzuri na stylish life.

    Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu. Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga. Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal...
  2. haszu

    Kama huna muonekano mzuri jitahidi uvae na unukie vizuri

    Kuna wengine tunapendeza kwa jitihada ndogo mana muonekano unatubeba, sasa kama wewe huna muonekano, jitahidi uvae vizuri na unukie vizuri. Mtu anaenda jumuia kama anaenda shamba, halafu watu waki “pay attention “ kwetu mnaanza kushangaa. Kama unajua una sura personal na irregular shape, then...
  3. Loading failed

    Ukitoa rangi, ni upi muonekano mzuri wa nyumba kwa nje ambao hautozeeka haraka wala kupitwa na wakati

    Ndugu zangu . Kama kichwa cha habari kinavyosema Ni upi muonekano mzuri wa nyumba kwa nje ukitoa rangi.
  4. haszu

    Nimegundua vijana wengi wa Jamiiforums hawana muonekano mzuri, wamekosa nuru na hawavutii kwa wanawake

    Nimeshangaa kijana anachanganyikiwa kisa ametongozwa na mwanamke, mwingine anashangaa kuombwa sex na mwanamke. Hii inaonesha wengi wanamuonekano wa vishoia, si ajabu wanani attack. Sasa mimi wanawake wananitongoza hadi ilikua kero mpaka sasa nimezoea. Kuhusu sex, sio tu wanataka tusex, bali...
  5. W

    iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  6. Mad Max

    Wazee wa Subaru mnasemaje kuhusu Subaru XV. Naona muonekano mzuri, specifications kali hafu bei kitonga!

    Wataalamu wa Subaru. Hii gari Subaru XV aka Subaru Crosstrek naiona BF kwa bei rafiki sana hadi $3500! Ushuru ndio mchawi naona umesimama hadi Mil 13 ila nashangaa sana CIF ilivyo ndogo, especially kwa hii gen 1. Kama kuna mtu amewahi kuimiliki ebu atoe ushirikiano, kuna mdau anaitaka.
  7. C

    Changamoto zinazowakumba watu wenye muonekano mzuri kwenye nchi za kimaskini

    Wasalam, Nimeona na kushughudia kwenye nchi zenye umaskini mkubwa kuwa mtu ukiwa na muonekano labda rangi ya ngozi mathalan ukawa ngozi nyeupe kama ndugu zetu waarabu au maji ya kunde ile ya mng'aro basi inakuwa ni shida sana kwenye mitaa au masokoni au sehemu yoyote ile. Ukiwa na rangi ya...
Back
Top Bottom