mungu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tusali watanzania Mungu atuepushe kuwa Zimbabwe

    Ndugu Watanzania wenzangu, Najua Serikali yoyote inawekwa na Mungu na hata Serikali tulio nayo naamini iliwekwa na Mungu. Ila from no where kumetokea sijui na washauri wabaya ama mwenye taifa basi mambo sio mambo. Mbaya kuliko yote nikuwepo kwa kajikundi samahani lakini mimi nakaita kajikikundi...
  2. JamiiForums Tanzania Mungu ambariki Abiudi Misholi

    Ee Mwenyezi Mungu nakuomba endelea kubariki kazi za Abiudi Misholi na sauti yake ikawe uponyaji wa mioyo yetu leo na hata kesho kwa kadri upendavyo.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mbali naliona kusudio la Mungu kututia upofu

    Mungu katika vitabu vyake amesema haki huinua taifa Hakika hii ni kweli Mungu amewatia upofu wanasiasa wasiione haki amewatia upofu watunga Sheria wasiione haki Amewatia upofu viongozi wa dini wasisimame kukemea uovu Amelitia upofu taifa na kututia minyorororo tusione dhambi hizi akilini...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Mwenyezi Mungu aliyetuumba ana upinzani(shetani) sisi binadamu nani tusiwe na upinzani-CHADEMA maamuzi yenu ni sahihi kabisa!

    Uongozi wa CCM hasa mwnyekiti wwtu anayebariki kila wazo ndani ya chama-upinzani unafaida nyingi kuliko hasara. Hata raisi wetu mpendwa kuwa katika nyazifa hiyo haikuwa bahati mbaya ni kutokana na upinzani uliokuwepo ndani ya chama uliofanya mapaungufu ya wenzake kuonekana wazi wazi mbele ya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tuheshimu wanyama na tuache kabisa ukatili dhidi yao. Wao pia wameumbwa na Mungu huyu huyu

    Mkazi mmoja huko nchini Malaysia aitwa K Ganesh amehukumiwa kwenda jela kwa miezi 34 kwa kosa la kumuua paka ambaye alikuwa na mimba kwa kumuweka ndani ya mashine ya kufulia nguo. Kwa sheria za haki za wanyama nchini humo ni kosa kwa mtu kufanya kitendo hicho cha ukatili kwa wanyama kwani hata...
  6. JamiiForums Tanzania Kocha wa club ya FC Barcelona mhispania Ernesto Valverde ameendeleza wimbi la matokeo mabovu baada ya kulazimishwa sare pacha na timu kutoka Czech Rep

    Kocha wa club ya FC Barcelona mhispania Ernesto Valverde ameendeleza wimbi la matokeo mabovu baada ya kulazimishwa sare pacha na timu kutoka Czech Republic ikifahamika kama Salvia Praha katika dimba lao la nyumbani la Camp Nou hii ni baada ya wikend iliyopita kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA kataeni kuonewa tena , unyonge wenu sasa basi , wala Msiogope maana Shetani hajawahi kumshinda Mungu

    Unyama mliofanyiwa dunia nzima imeona na wala hakutakuwa na mshangao wowote iwapo mtakataa kuonewa tena , mmeuawa waziwazi , mmeteswa waziwazi , mmekamatwa hovyo hovyo , mmekatwa mapanga kwa namna walivyotaka , mmebambikwa kesi nyingi za kutunga , mmefungwa bila huruma , mmenyanyaswa kwa kiwango...
  8. JamiiForums Tanzania Umri wa kuolewa hupangwa na Mungu, siyo sheria

    Sheria inaweza kumlazimisha mwanamke kusoma lakini siyo kuzaa. Kuolewa ni jambo moja na kuzaa ni jambo lingine la Kimungu. Damu ya hedhi ndicho kipimo na taarifa ya Kimungu kuwa msichana amekua na yuko tayari kuzaa kwa kuolewa au kwa kutokuolewa. Hata mama na bibi zetu walizaa kwa njia hizo za...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Walimu Lindi wanateseka, Jumamosi na Jumapili kwao zimekuwa siku za kazi

    1. Tangu mwaka huu uanze, Jumamosi imekuwa ni sehemu ya siku za kazi....si hiyari bali kwa shuruti kubwa. Mitihani yote, iwe midterm, mock ya aina yoyote, siku ya Jumamosi imekuwa ndani ya ratiba ratiba! Kwa baadhi ya shule za msingi, kazi zinafanyika hadi Jumapili.....Mitwero Primary School...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu ? Part 6 (Kuumbwa kwa Kaalam)

    Tunaendelea … Tuliishia kwenye kuumbwa kwa Arshi Tukufu. Mtume Mtukufu Muhammad (saw), anatufundisha kuwa, baada ya Arshi tukufu, kilicho fuata ni. Kaalam(Pen). Mtume wa Allah (sw) alipozungumza kuwa Allah (sw), aliiumba Kalaam, aliendela kusema kuwa, wakati Kaalam inaumbwa, Arshi Tukufu...
  11. JamiiForums Tanzania Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

    Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.
  12. JamiiForums Tanzania Mtu aliyelaaniwa kuishi hadi kiama

    Habari Wana JF Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu. Sasa naendelea na hoja kama kichwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

    Dar es Salaam. Baada ya kuitwa kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema taarifa hizo zilitingisha familia yake, lakini baba yake Jakaya Kikwete alimtia moyo. Tofauti na watuhumiwa wengine waliohojiwa kuhusu matumizi na...
  14. JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…