MPO KWENYE STAREHE, SI MUMEO UNABEBA MIMBA. HIVI UNAAKILI SAWASAWA.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Baba.
1. Binti Yangu, usijeniletea aibu za rejareja hapa.
2. Nilikufundisha tangu mwanzo, anayepata madhara zaidi ndiye anatakiwa kujihami. Nikakuambia Jambo lolote ambalo wewe ndio utakuwa...