muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

    Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita, Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha...
  2. G

    Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

    Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle Nikaja kugundua kwamba nipo...
  3. Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

    Hali ikoje huko uliko? Hapa Moro limepita tetemeko la ardhi na dakika kadhaa kabla yake wamesikika kuku, mbwa wakitoa milio iliyoashiria kuwepo kitu kisicho cha kawaida.
  4. Kwanini Utumishi wasitumie mfumo wa data base wa muda mrefu?

    Kwema wadau? Naomba nitoe wazo kwa hawa jamaa utumishi, ni kwamba wanatakiwa kutambua kwa sasa uchumi wa nchi na hususani vijana ni kusuasua hivyo kuna mambo mengi tumepitia hata kabla ya kumaliza chuo na hata baada wengi wa wanafunzi wamesoma kwa pesa za serikali na hata ukiwaangalia maisha...
  5. Kuna muda nahisi na kuona kuwa imani ndiyo kizuizi kwa waafrika au sijui mnaonaje wenzangu

    kwanza salaam! MBALI NA KATIBA KAMA IMANI NI MAENDELEO KWANINI TUSIFUNGE NA KUOMBA TUYAPATE? Natambua kuwa ipo nadharia ya dunia ni duara,unavyopanda mchicha hutaotesha mbuyu abadani kwa nadharia hii inanikumbusha karne moja iliyopita wengi wa mababu zetu walikuwa ni weupe walidanganywa na...
  6. Azam ni Mwembe wetu wa Uani, tunajichumia tu maembe muda wowote

    Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi. Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu. Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe...
  7. Msaada wa muda wa kufuturu na kula daku kanda ya Shinyaga

    Kichwa cha habari chahusika naomba mwenye ratiba ya mwezi mzima ya muda wa kufuturu na kula daku alfajir kwa kanda hii ya Shinyanga. Nafanya kazi ya uchimbaji porini huku hakuna kanisa wala msikiti hakuna hata adhana.
  8. Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Wana JF ningependa tulikunjue hili jamvi pamoja ase! Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?
  9. Ni muda sasa tunatakiwa kuwa na sheria inayomtaka Rais kuendeleza alichokiacha mtangulizi wake na sio kuendesha nchi kwa maono yake

    Katika mamia ya sheria nilizowahi kuzisoma hapa nchini Tanzania sijwahi kukutana na sheria inayomtaka Rais kuendeleza kile alichokianzisha mtangulizi wake, na badala yake nchi huwa ikiendeshwa kwa maono ya Rais aliyeoko madarakani.Tuna ushaidi kwa namna gani nchi imekuwa ikipoteza mamia ya pesa...
  10. G

    Nataka niwahi kuhudumiwa TRA na sina connection. Niende muda gani nisaidiwe mapema?

    Naombeni muongozo. Sina connection TRA. Jana nimeenda mchana kuna foleni kali sana. Shida yangu ni kupewa tax clearance ya mwaka huu kwa biashara inayoendelea.
  11. January Makamba tunajua Hayati Magufuli alikubatiza kwa moto, Unapoteza muda tu

    Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na tapeli hata siku moja. Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na mbabaishaji hata siku Moja. Hayati Magufuli alikuwa smart na straight forward. Alikuona wewe ni hovyo akakuweka kando. Sasa umebaki na taarabu tu. Wewe pamoja na kinana mlikuwa na...
  12. Kuugua mafua kwa muda mrefu hupekekea kuziba kwa mishipa?

    Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
  13. Muda sio rafiki tena!

    Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kuanza upya, lakini ndo hivyo muda si rafiki tena! Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kurekebisha makosa yangu, lakini ndo hivyo muda si rafiki tena! Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kuisikia hii sauti ya sasa ndani yangu, lakini nagundua...
  14. O

    Miguu kupata ganzi wakati wa kukaa muda mrefu

    Wanabodi habari za mchana. Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana! Naomba msaada kujua tatizo linaweza kuwa nn? Dr Ahmed Albah-Shahwa na Madr wengine msaada.
  15. E

    Maandamo yasiyo na focus wala msimamo ni kupotezea Muda wananchi .

    Wakati tuko mashuleni na vyuoni tulikuwa tunaandama kwa sababu maalumu na tunaandama mpaka kieleweki . Maandamo ya CHADEMA ya sasa hayana madhara yoyote kwa serikali ,hayana msimamo wowote na wala hayapeleki ujumbe wowote kwa serikali ni upotevu wa Muda . Cdm jitafakarini
  16. Nimefanikiwa kuukwepa mzinga wa JWTZ muda huu

    Ni hayo tu.
  17. M

    Ifike muda ujanjaruke na wewe, kataa kufanywa fursa isiyo na faida kwako

    IFIKE MUDA UJANJARUKE NA WEWE KATAA KUFANYWA FURSA ISIYO NA FAIDA KWAKO. 1.Unakubalije kuwa na mtu ambaye kila akikutafuta basi ana shida. 2.Unakubalije kuhusiana na mtu ambaye bila wewe kumtafuta basi mahusiano ndio yanakufa . 3.Unakubalije kuwa na rafiki ambaye anataka umtimizie mambo yake...
  18. O

    Nikikaa muda mrefu napata ganzi za miguu

    Salam wadau wa afya, Nimepata tatizo kwa muda wa week tatu sasa, nikikaa muda mrefu mfano choo cha kukalia nikikaa kwa muda napata kusikia ganzi miguuni. Inaeza kuwa inasababishwa na nn?
  19. KWELI Ni hatari kiafya kulala muda mfupi baada ya kula

    Haya mambo yasikie tu, watoto wetu siku za shule huwa wanalazimishwa kulala tu punde wamalizapo kula. Hii ni hatari kwa mujibu wa tafiti za afya. Uelewa mdogo na kutojali kwa wazazi kunaweza kupelekea watoto wetu kupata madhara hapo mbeleni. Kulala mara baada ya kula ni kitendo ambacho...
  20. C

    Taja Members wa JamiiForums ambao unadhani kwa ushindi mnono wa yanga fc wameumia na wanaweza wasionekane kwa muda hapa

    Naanza na SAGAI GALGANO na mwingine ni maarufu ila nimemsahau jina na leo kabla ya mechi alitutia mno joto wana Yanga SC hapa jamiiforums kwa threads zake za mikwara mbuzi. Hii ndiyo Yanga SC bwana na bado.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…