mtumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma mzinifu na mlevi ni chanzo kikuu cha ubovu wa utendaji kwenye taasisi za umma

    Siamini na wala sitarajii matokeo mazuri kwenye taasisi au majukum yoyote yanayoongozwa au kusimamiwa na mtu mlevi, kahaba, mzinifu. Anatoa wapi nguvu ya kuhudumia na kuleta matokeo kama kashindwa kuonea huruma INI lake na kutosheka na mke/mume wake? RUSHWA NA WIZI vyote chanzo ni ulevi na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bila connections, unapoombwa rushwa na mtumishi wa umma, kukataa ni kuanzisha vita, kisasi na ukiripoti wanaungana kukushambulia badala ya kukulinda

    Rushwa za mahakamani, Rushwa za vyuoni kwa mabinti zetu, Rushwa za vibali, Rushwa za ardhi, Rushwa za kodi, n.k. Bila connections ukiombwa rushwa na usipoitoa ni tangazo rasmi la vita, kama ulikuwa na biashara utapigwa faini hadi ushangae, kama ulikuwa na vibali unasubiri utapigwa kalenda hadi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na Mtumishi wa umma anamiliki hizi mali utamwitaje? Na kwa Nini?

    Ukikutana na Mtumishi wa umma anamiliki hizi mali utamwitaje? Na kwa Nini? Jamaa aajiliwe aka apate kazi ustawi wa jamii pale... Nina school feeding ya kilaza
  4. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kwa mtumishi wa umma kukaa Eda?

    Nimeweza hili jambo na ninataka wenye uelewa waje waseme chochote.
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtumishi wa umma alishawahi kutumbuliwa na Mh. aliyejiuzulu kutokana na ubadhilifu wa mali za umma? Nimeumia kujiuzulu kwake

    Naomba tu Majibu. Au ndo Ile mtu yupo ofsni lakini KAZI alishasusa kitambo sana. Naomba watanzania tuwasaidie majukumu viongozi wetu waliotuteua kwa moyo wa dhati kwasababu wametuamini wametuona tunafaa tuache legacy kwenye utumishi wetu badala ya kususa susa ili hali hakuna kitu tunafanya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mtumishi wa umma maisha yako yapo hatarini kwa ushirikina masaa 24 siku 365.

    Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo. Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia. Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama siyo

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amesema hayo wakati wa mahojiano kupitia M&S Podcast. "Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama sio mtumishi wa umma; nimesitafu au sikusitafu, kwani hakuna sehemu yoyote niliyowahi kusema Bunge ni...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kituo cha Afya Kindimbachini - Mbinga kuna Mtumishi wa Umma anauza dawa za Taasisi kimnyemela

    Sisi wananchi wa eneo la Kindimbachini, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, tunaomba kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu vitendo vinavyodaiwa kufanywa na mmoja wa wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya Kindimbachini. Mhusika huyo amekuwa akiwaambia wagonjwa kuwa baadhi ya dawa muhimu hazipatikani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kujichanganya na Wananzengo muhimu sana kwa mtumishi wa umma

    Sio unatoka kazini unaingia ndani na kujifungia. Unashinda ndani siku za wikiend unaangalia tv masaa 24 siku za weekend. Wanazengo ni muhimu kwa maisha ya kawaida uraiani maaana wanaweza kuwa msaada kwa suala lolote.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dada yangu alipata ajali ya gari, hali ya hewa inamtesa kiafya, ameomba uhamisho Moshi DC amenyimwa

    Naomba msaada kwa ajili ya dada yangu, ambaye ni mtumishi wa umma kwa sasa. Anapitia hali ngumu sana kiafya na kiutumishi, na hadi leo hajapatiwa msaada unaostahili. Alipata ajali mwaka 2024 mwezi Oktoba akiwa anafanya kazi katika kiwanda cha vyombo vya plastiki Kibada, Kigamboni, ambapo mkono...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni taratibu gani huwa zinafuatwa ioi mtumishi wa umma ili mtumishi wa umma kwenda kusoma nje ya nchi?

    Kuomba ruhusa kwa muajiri wako. Basi.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Umma adaiwa kupokea rushwa ya milioni 320/- kwa mwezi

    OFISA mmoja wa serikali anadaiwa kujipatia kiasi kinachokadiriwa kufikia shilingi bilioni 4, kwa njia ya rushwa. Anayepewa tuhuma hizo ni Ofisa Uvuvi Msaidizi Mkuu, anayesimamia Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, Masanja Kadashi. Tuhuma dhidi yake zinadaiwa kuanza muda mrefu ambapo Machi 31, mwaka...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ngumu kumfukuza mtumishi wa Umma Mzembe kazini | Salamu za Meimosi kutoka kwa David Kafulila

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika salamu zake za Meimosi amesema ingawa sheria ya kumlinda mtumishi wa Umma dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka kutoka kwa viongozi waovu, Lakini kwa sasa imekuwa mzigo kwa walipa kodi kwa sababu ugumu wa kumwondoa mtumishi...
  14. JamiiForums Tanzania Huwa unafanya nini pale ambapo jambo ambalo linaku stress likipita bila madhara yoyote

    Binafsi nimetulia sehemu napata kinywaji hasa baada ya leo kumaliza kikao cha bodi ya wakurugenzi salama bila mushkeli. Nipe uzoefu wako wewe mambo huwa yanaendaje baada ya jambo ambalo huwa linakupa presha kupita salama
  15. M

    JamiiForums Tanzania Inashangaza sana Mtumishi wa umma kulawiti watu watatu Igunga

    Hata kama ni kweli zaidi ya miezi mitatu anawalawiti alafu anakuja kukamatwa mwezi huu! ======= Watu Watatu wakazi wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wanadaiwa kulawitiwa na mtumishi wa halmashauri ya wilayani humo kwa nyakati tofauti. Akizungumza na Mwananchi leo Aprili 12, 2026 Kamanda wa...
  16. JamiiForums Tanzania Adui wa Tanzania Siyo Mtumishi wa Umma, Siyo Miundombinu ya Umma, Wala Siyo Mwanachama wa Chama Fulani

    GTs 1. Kwenye mijadala ya sasa kuhusu hasira, maandamano na maumivu ya kile kilichotokea tarehe 29–30 Oktoba 2025, kumekuwa na dalili za uhasama unaoelekezwa kwa watumishi wa umma, miundombinu ya umma, au hata wanachama wa chama fulani. Ni muhimu kusimama na kusema hayo siyo malengo sahihi. 2...
  17. JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma Usiombe mkopo ESS CRDB utajuta

    Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa . CRDB...
  18. JamiiForums Tanzania Rais ni mtumishi wa Umma sio Kiongozi wa dini. Viongozi wa dini punguzeni Udini tunapokuwa tunajenga hoja zetu kukemea jambo

    Kumekua na tabia ya Viongozi wa dini wakiwa wanakemea jambo la flani wanaleta udini aku kwenye kujenga hoja zao. Rais kiongozi wa serikali ni mtumishi wa Umma vyama vyote dini zote wasiokua na dini na pia serikali haina dini anaongoza watu wote kuna wengine sisi sio watumwa wa dini. Tumwombee...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu Kama Huyu Hastahili Kutekwa, Historia ya Utumishi wa Humphrey Polepole kwa Taifa

    Ndugu Humphrey Polepole akiwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi akiwapokea askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walipofika Lilongwe, nchini Malawi kutekeleza amri ya Amiri Jeshi Mkuu. Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walipeleka msaada wa kibinadamu kwa Serikali ya Malawi...
  20. JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma pindi anaposaini mkataba wa kudumu wa kazi apewe na mkataba wa nyumba yake ya kudumu, baada ya miaka 10 apewe gari ndogo

    Niseme tu ukweli watumishi wa umma wamaipiga sana serikali. Kitu serikali ingeimgiza million 50 mtumishi anachepusha ili tu apate million 1. Hana hasara potelea mbali. Miaka 10 ya Utumishi wa umma nimejionea mengi na kujifunza mengi. Serikali isione hasara kumpa nyumba mtumishi wa umma either...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…