Nadhani isishie kujitambulisha tu au kuelezewa kosa lako tu ila tuende mbali kidogo pawepo na mashahidi /kiongozi wa mtaa, ifamike hao wana usalama ni wa kituo kipi na waache vielelezo na wana elekea wapi na mtuhumiwa.
Kujitambilisha sisi ni askari istoshe raia kurusu mpendwa wao kuondoka , ni...
Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa...
UPDATE:
August 22, 2024
KUTOROKA KWA WAFUNGWA: SHAHIDI ADAI WALITOKEA MLANGO MKUU KWA KUTEMBEA
Taarifa mpya zinaeleza Wafungwa 13 walitembea na kutoka kupitia mlango mkuu wa kituo cha Polisi wakiwa chini ya uangalizi wa maafisa wawili wa polisi waliokuwa zamu usiku
Idadi ya Wafungwa ni 13...
Wakuu mpo salama? Jana (August 19) tulishuhudia mengi back to back, huku RPC akahamishwa nkule watuhumiwa wakafikishwa mahakamani, lakini kwaini watuhumiwa wanne?
Walikuwa 6 ikiwemo na yule aliyetambulishwa kama 'afande' pamoja na mtu wa 5, ambako kwenye video watano wote walionekana. Sasa huyu...
Nafikiri kuna haja ya Mahakama kuweka taratibu fulani za kuhakikisha mavazi wanayovaa watuhumiwa na washitakiwa wakiwa mahakamani hayana maandiko, picha au nembo yoyote.
Nimeona kuna mtuhumiwa wa ubakaji kafikishwa mahakamani akiwa ametupia jezi ya Ajax. Hii inaweza kutafsiriwa kama ni kuchafua...
Tarehe 13.08.2024 majira ya 12:20hrs huko katika Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, Seleman Mzirai Kibiki, Miaka 49, Fundi magari na Mkazi wa Kiluvya, Kisarawe alijinyonga akiwa mahabusu ya Mahakama akisubiri kupelekwa gerezani mara baada ya kutiwa hatiani.
Marehemu alihukumiwa...
Polisi ameonekana akimshambulia "mshukiwa" katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Uingereza.
Baada ya video ya hilo tukio kusambaa mitandaoni;
1. Kulisababisha "wananzengo" wa Manchester kuandamana hadi kituo cha Polisi kuonesha hasira zao (ila hawakufanya fujo)
2. Kuliwaibua wabunge...
Katika hali isiyotarajiwa, shahidi wa tatu kwenye kesi inayomkabili Zephania Ndalawa anayeshtakiwa kwa kosa la kuua kwa kukusudia, amemtambua Jaji Graffin Mwakapeje kama mtuhumiwa wa mauaji ya Thomas Masumbuko.
Shahidi huyo, Salome Cheyo (9) akiongozwa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Musa...
Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Marco Chilya amesema Francis Ngonyani Severianus ambaye ni mtuhumiwa uhalifu wa uvunjaji wa maduka maeneo ya Ruhuwiko Stendi amefariki Dunia baada ya kupoteza damu nyingi kutokana na jeraha lililotokana na risasi aliyopigwa na Askari Polisi wakati anatoroka akiwa...
Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo.
Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana serikali hiyo hiyo inayofanya madudu ndiyo ati isomewe report.
Nashauri marekebisho yafanyike na CAG awe...
Wanaukumbi.
BREAKING: INTERROGATION VIDEO OF MOSCOW TERROR SUSPECT
HE CLAIMS HE WAS RECRUITED VIA TELEGRAM:
'Police: “What did you do in Crocus?”
Suspect: “Shot.”
Police: “Whom?”
Suspect: “People.”
Police: “For what?”
Suspect: “For money. Half a million Rubles.”
Police: “Where did you...
Kwa mara nyingine tena, Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linatuhumiwa kuhusika katika kifo cha Mwananchi aliyekamatwa na Askari Polisi kisha kudaiwa kumpiga na kumsababishia maumivu makali na hatumaye kusababisha kifo chake.
Matukio ya Jeshi la Polisi kupiga au kujeruhi watuhumiwa na...
A Clark County, Nevada judge and a marshal were injured on Wednesday afternoon after a defendant who was denied bond threw himself over the bench and attacked the judge, video shows.
It is reported that the public information officer for the Clark County District Court said the incident...
Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa mauaji ya Beatrice James Minja ambayo aliyafanya huko Tarekea Wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjro Tarehe 12.11.2023 na mtuhumiwa aliyefanya aliyefanya tukio hilo kukimbia.
Akitoa taarifa hiyo leo kwa vyombo vya Habari...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Kelvin Amanyisye [19] Mkazi wa Lubele- boda ya Kasumulu kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 13.
Akizungumza na waandishi wa habari Desemba 30, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi wa Polisi...
Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani.
Sasa changamoto...
Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake.
Sasa huku sio ndio kujimaliza...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kwalakamu wilayani Rombo kwa madai ya kuhusika na mauaji ya fundi nguo, mkazi wa Kijiji cha Ngaseni, Anord Tarimo (30).
Agosti 29, mwaka huu fundi huyo, anadaiwa kucharangwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili...
Mahakama ya Wilaya ya Tabora imechukua uamuzi huyo dhidi ya Denis Kantanga, aliyekuwa Askari Polisi nafasi ya Konstebo baada ya kukiri makosa mawili ya Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 18,000,000 kinyume na Sheria.
Mahakama ilimhukumu kutumia kifungo cha miaka miwili Jela au kulipa faini ya...