mtu

  1. Video: DC Bomboko huku ni Kujidhalilisha, Si kila mtu ni mwoga. Haya sasa unajisikiaje?

    Ni aibu kwa huyu DC hata lugha yenyewe inamchanganya haijui. Anaishia kutishia tu na yupo kwenye paniki mode.
  2. Mwambukusi: Je, kupishana na serikali kunaondoa thamani ya uhai wa mtu?

  3. Naona ACT Wazalendo leo wana furaha sana, inaonekana kuna mtu watampokea, je ni nani?

    Ukiinhia kule X naona wote kuanzia Dalali wao Zitto Kabwe ni full shangwe kwamba leo wana mpokea Kigoho, je ni nani huyo? 1. Sugu? 2. Gwajima? 3.Mbowe? 4.Yeriko Nyerere? 5. Wenje? 6. Wale Covid 19? mmoja wao? Nazani hapo kuna mmoja wao na kwa Gwajima nitaeleza baadae.
  4. Uhuru wa Kuabudu na Haki ya Askofu Gwajima Kufundisha Amri za Mungu: Usiue mtu asiye na hatia, Usiue jina zuri la mtu baki, na Usiibe mtu kwa Kumteka

    https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y I. Usuli Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
  5. L

    CCM Ni Dude Moja Kubwa Sana Ambalo Mtu na genge lako Huwezi Kushindana Nalo na Ukaliweza au Kulidhoofisha. Waliojaribu waliishia Kufedheheka

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni dude Moja Kubwa sana, ni dude ambalo mtu binafsi na genge lako au kikundi chako cha uchumia tumbo au usaka tonge au uroho wako wa madaraka huwezi kupambana nalo wala kushindana nalo wala kulidhoofisha wala kulihujumu wala kulidodosha wala kulitikisa wala...
  6. Umaarufu usikufanye ukebehi mtu mteule wa Mungu!

    Kutoka enzi na enzi Mamlaka zipo na zina nguvu isiyo kifani. Huwezi na kamwe haitatokea wala kukubalika eti upambane na mamlaka halafu uwe mshindi. Hilo haliwezekani kamwe. Bwana wetu Yesu Kristo alikua maarufu sana kwa nia njema mno na baadae pamoja na kusema kuwa hakuja kutengua torati au...
  7. Dhana ya "kusitisha au kufuta usajili wa kanisa" inahusisha nini hasa hasa ? Je, ni kutia kufuli majengo ya kanisa hilo ili asiwepo mtu ndani mle?

    https://youtu.be/8reLapCOf0s?si=d0DkYnApY4VvHj_U Hebu msikilize vizuri Afande Jumanne Muliro, RPC Kanda Maalumu ya DSM kwenye video hiyo akielezea namna alivyokuwa very sharp yeye na polisi wake kwenda kuzingira na kuwafurusha waumini waliokuwa wakiendelea na ibada ya maombi ya siku 7 ndani ya...
  8. W

    Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  9. K

    Ushawahi kufukuzwa au kumfukuza mtu nyumbani kwako kisa umemnyima au kunyiwa mbususa

    Nani kawahi kukutwa na hili jambo kufukuzwa ama alimfukuza mwanamke nyumbani kwake baada ya kunyimwa ngono au wenyewe mnavyoita kizungu sex Kisa changu mimi 👇👇 Kuna Kijana mmoja nimemuwekaga tu kama backup kipindi nikiachwa yeye yupo tu.. huyu nilisoma nae hivyo tulianzaga mahusiano tukiwa...
  10. Hivi mnataka kuniambia hakuna mtu amewahi kufanya written ya admission officer ii utumishi humu jukwaani?

    Wadau tunauliza mara kwa mara but hakuna anaetoa jibu,mnataka tufeli ndo mfurahi? Kuna paper 14/06/2025. Tupeni muongozo bwana.
  11. W

    Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
  12. Kuna mtu kavuliwa nguo badala ya kuchutama kainama

    Huwa wanasema mtu mzima ukivuliwa nguo chutama. Yaani chuchumaa. Nimeshangaa sana. Kuna mtu kavuliwa nguo. Yeye kainama... Sasa tunashangaa kusudio lake nini? Amejitoa mhanga? Hajali au Kiburi?
  13. Raisi ni mtu wa kejeli na vijembe ila hakisemwa yeye anafura.

    kama kawaida ya CcM ukiwauliza leteni hoja wao ni kusimanga chama kitakacho kuwa mwiba kwao tena na kutunga. Sasa leo dodoma tumethibitisha yale ya Idd amin kule uganda yule marehemu alikuwa na kauli za kejeli na masimango mpaka zikamfanya raisi nyerere kumtandika.
  14. Huwa sipendi kumpa mtu pesa

    Leo ndo ninemegundua Tatizo langu kubwa ni kutopenda kumpa mtu pesa. Nimeombwa pesa ya Kununulia umeme nikamwambia Tuma miter namba, kilichofuata mtu kaka kimya hajibu sms Wala simu Hapokei. Baada muda akatuma sms "Yaani wewe ni Mgumu sana kumpa mtu pesa, mtu akikuambia anashida unamuuliza...
  15. Video: Kuna sababu gani kumpeleka mtu kama huyu Mahakamani?

    Ushahidi uko wazi, kwanini asipelkwe jela moja kwa moja? https://web.facebook.com/reel/1100919795416621
  16. Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu

    Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu. Huu mfumo wa kuiba kura na kuwa na tume isiyohuru unaweza kutuingizia watu wanaojua kusoma na kuandika tu. Kwahiyo kwa misingi hii mtegemee nini ? utaona mtu anauza...
  17. Hii ndio sababu halisi kwanini mtu akijitoa kwenye uchawi anauliwa.

    Kutoka Pm: " Mkuu Likud mbona siku hizi uandiki mada kuhusu uchawi? Anyways mtaani kwetu kuna mdada kafariki ghafla, mama ake anasemekana ni mchawi. Tetesi ni kwamba binti aliingizwa Kwenye uchawi then akaukataa. So nauliza kwanini MTU akijitoa Kwenye chama cha uchawi wana muua...
  18. Mke wa mtu kaniomba tukapumzike Zanzibar weekend hii.

    Habari zenu Kuna mchepuko wangu ni mke wa mtu,sasa kazini kwao weekend hii wanatakiwa kwenda training somewhere huko arusha ila yeye kaniambia hatoenda huko kwenye hiyo training instead kaniambia twende zetu zanzibar tukale raha. Nikubali au nikatae wakuu?
  19. Israel ni nchi ya ki-Demokrasi hakuna ubaguzi wowote kwa mtu yeyote

    Kuna watu wengi sana wakishakula Maharage ya jana wanakula mstari wa mbele kueneza uongo wa kila aina kuhusu Israel. Wengi wanaoeneza uongo huo hata hawajui Historia ya Israel na hawajawahi kufika katika nchi hiyo wengi wamemezeshwa uongo na viongozi wao wa kidini na wengine wamevutwa tu na...
  20. Kama wabunge wangekuwa Elite wasingejibishana na Gen Z wa Kenya. Lakini wameonyesha ni daraja Moja. Mtu timamu hawezi kuwajibu na Gen Z wakenya

    Mpo salama! Mbunge mzima, yupo bungeni, anatumia muda wa bunge na watanzania kujibishana na Gen Z ya Kenya. Kweli! Ni ukosefu wa mambo ya kujadili au ni nini? Ni kuongozwa na mihemko au ni kitu gani? Yaani mtu mzima na akili zake asumbuliwe na Gen Z wa Kenya kweli? Nimesikitika Sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…