Mimi Kuna chakula watoto wangu nimepambana mpaka wamekipenda na kukizoea
Mfano. Bamia na baadhi ya matunda watoto walikuwa hawapendi ila kwa sasa nimewazoeza na wanakula balaa.
KATAA NDOA sio suluhisho na kuzalisha mwanamke na kumkimbia sio suluhisho pia. Katika maamuzi yote utakayotaka kufanya usikubali kuona mtoto wako anapewa malezi na baba mwingine, kama unampenda mtoto wako kwel na unataka apitie katika mema ya maisha basi hakikisha uyo mtoto unamlea wewe na mama...
Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mwanao nyumbani? Elite Home Tuition tunakuletea huduma bora ya walimu waliobobea kwa:
✅ Masomo yote – Sayansi, Hisabati, Lugha n.k.
✅ Mitaala yote – NECTA, CAMBRIDGE, IB
✅ Ngazi zote – Nursery hadi A-Level
✅ Lugha za kigeni – Kiingereza, Kifaransa, Kichina...
"Kaeni mzungumze vijana wetu wasitumike walivyotumika, unaporudi leo mzee kulia kijana wako kaumizwa mguu, kijana wako kwa bahati mbaya alikufa, ulishindwa nini kumzuia asitoke? ulishindwa nini kumwambia maneno ya hekima asiende?"
Rais Samia akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam...
Kujiamini ni sifa muhimu ya kumsaidia mtoto kufanikiwa katika maisha. Kama mzazi, unachukua jukumu muhimu katika kujenga msingi imara wa kujiamini kwa mtoto wako. Hizi hapa ni mbinu tano za kumsaidia mtoto wako ajiamini zaidi.
1. Msifie kwa Juhudi, Sio kwa Vipaji
Badala ya kumsifia tu kwa...
Unaishi mkoani Mara. Mwanamke mmoja ambaye mliwahi kuwa na uhusiano wa muda anakutafuta na anadai kuwa una mtoto naye. Amekuwa akikukamua pesa kila mwezi kwa madai ya matunzo ya mtoto. Huku ukiamini wewe ni baba halali, umekuwa ukitoa msaada kimya kimya.
Lakini, kwa kutaka kuthibitisha ukweli...
Sikuhizi wazazi wamekuwa wavivu sana katika uangalizi wa watoto wao. Wazazi wanawaacha watoto wao wadogo wanavuka barabara kuu (high way) pekee yao wakati wa kwenda shule.
Right Marker
Dar es salaam
Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako.
Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu
Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
Mwanaume unaempiga vita asiwe kiongozi wa kwanza kwenye nyumba na jamii, ndio mtoto wako wa kiume anaekua kwa kasi ndani kwako, usisahau..
Ni ngumu kuwa juu ya mumeo, na ukatamani mtoto wako wa kiume, aje kuwa juu ya mkewe.
Ngumu sana kumfanya mtoto wako wa kiume awe mwanaume kwa familia yake...
KATIKA KOSA AMBALO HUTAKIWI KUFANYA KAMA BABA NI KUOGOPA MTOTO WAKO KUPEWA SUMU NA MWANAMKE. TOTO JINGAJINGA FUKUZA. USIBABAISHWE WAPUUZI WASIOKUTII
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli!
Wewe ni Mwanaume, sasa ni Baba. Usiwe dhaifu kiasi cha kufanya vitu ili kutafuta validation kuwa wewe ni...
Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi.
MTU Kama mirradayo , diamond n.k
Max Melo
Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi
Dunia inashuhudia economic transformation kubwa Sana.
"Mtu anatolea mfano mtoto kipenzi wa rais et akitobolewa macho itakuwaje? Huu ni utovu mkubwa wa nidhamu anajua uchungu wa kulea kweli? Nashauri chama changu kimuite kamati ya maadili achukuliwe hatua hatuwezi kuwa na mtu ana kadi ya chama halafu anatusumbua"_kauli ya mbunge wa jimbo la...
Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika sana huko nyuma na Wazee wetu na bado Kwingineko Afrika inatumika.
Haya kama Mtoto wako ana ule Umri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.