mtoto wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rombo; Kilimanjaro Baba aua mtoto wake na Kisha kuchimba shimo na kumfukia

    Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Edward mwenye umri mwenye umri wa miaka 66 anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto wake wa kiume Kwa shoka na Kisha kuchimba shimo na kumzika mwenyewe usiku. Hali ya Taaharuki imeikumba Kijiji Cha Kilema katika kata ya...
  2. JamiiForums Tanzania Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake amemchorea ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!.

    Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake ameshamchorea Ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!. Kumbuka Jay Z katoka familia za kimasikini Sana , aliwahi hadi kuuza drugs , n.k Alichokifanya ni kuamua kuukataa umasikini kwa kuhakikisha...
  3. JamiiForums Tanzania Baba aitaka Hospitali ya Aga Khan imlipe fidia ya Tsh. Bilioni 1.2 baada ya mtoto wake kukatwa mguu

    https://www.youtube.com/watch?feature=shared&v=5DrxCZ8iVZs Mwanaume anayefahamika kwa jina Ally Mkii, Mkazi wa Msongola Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, ameishtaki Hospitali ya Aga Khan iliyopo Jijini Dar es Salaam imlipe fidia ya kiasi cha Shilingi Bilioni 1.2 kutokana na madai yake...
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu sielewi hii kitu nimemleta single maza kwangu ila mtoto wake analia Ahsubui mpaka jioni nahisi kuchoka

    Wakuu sielewi hii kitu nimemleta single maza kwangu ila mtoto wake analia Ahsubui mpaka jioni. Ukimzuia kitu analia , mama yake hataki aguswe Ana miaka 2 sasa. Ila akimuacha mtoto anakaa kimya yaani anamlea kimyai mayai .
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu aliekuja kunisalimia na mtoto wake kachukia baada ya kumkataza anavyompa kazi za ziada house girl, nimekosea ?

    Kuna ndugu yangu (sio wa damu) kafikia kwangu siku ya jumatano, alifika na mtoto wake ana miaka miwili Nilikuja kuambiwa na wife nikahakikisha kwa watoto, ndugu huyu anampa kazi house girl kama kufua nguo za mtoto, kumuogesha mtoto, kupasha maji, kuandaa uji, kumtuma tuma, n.k. Nikamuita na...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, aweze kumtunza mtoto wake mwenye ulemavu

    Kuna dada mmoja anamtoto mlemavu wa mguu, mtoto Hana mguu mmoja, huyu dada amesomea certificate ya mipango ,mwanaume aliyemzalisha alimkataa alipojifungua tu Mtoto mlemavu, anaomba msaada aweze kupata kazi ili aweze kumuhudumia mwanae, kila mwaka mtoto anatakiwa abadilishiwe mguu bandia, hali...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Biden alimfutia mtoto wake mashitaka; Trump kawafutia mashitaka mashabiki zake na kuwafukuza kazi wote waliomhukumu. Demokrasia ipo wapi?

    Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!!
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama mzazi namuunga mkono Inspector Haroun (Babu) kumtembezea kipigo mtoto wake baada ya kumkuta studio

    Inspector Haroun (Babu) amemtembezea kipigo mtoto wake akidai kwamba mtoto amempeleka chuo ila anashangaa kumkuta studio Yupo sahihi kwasababu uchungu wapesa anayolipa chuo tunaujua tunaolipia ada. Mzazi au mlezi unaweza kutimiza wajibu mtoto aende kusoma shule za serikali bure lakini utaanza...
  9. JamiiForums Tanzania Sipatii picha hio outrage ingekuwa vipi kama ndio single father angemuachia boda boda mtoto wake kupelekea maafa yake.

    Nakuambia hadi vyama vyote vya wakina mama wangepiga kelele karibia mwezi mzima. Wakina jackline na tv showz na hawa wabunge wa nafasi maalum wa kike bungeni.. "Ooh hayo ndio matokeo ya kuwatesa wanawake mnakataria watoto alafu watotonashindwa kuwalea" Lakini imewatokea kwa single mother...
  10. JamiiForums Tanzania Yani unakimbia usiku kufukuzana na Castle Lite na Savanna huku umeacha mtoto wako mdogo eti mtu akuangalizie

    Endeleeni kuzaa na maslay queens. Dogo ndio kashafariki hivyo kwa uzembe wa starehe na akili za ku-slay slay
  11. JamiiForums Tanzania Trump amteua demu/girlfriend wa mtoto wake kuwa balozi wa Ugiriki

    Rais wa Marekani anayesubiriwa kuapishiwa Donald Trump amemteua Kimberly Guilfoyle ambaye ni demu wa mtoto wake Don Junior kuwa balozi wa Marekani nchini Ugiriki. Hata hivyo girlfriend huyo wa mtoto wake atahitaji kuthibitishwa na bunge la Seneti la Marekani kuwa balozi mteule. =======...
  12. JamiiForums Tanzania Elon Musk akiwa na mtoto wake kipenzi X

    Tajiri Elon Musk aliyeteuliwa na Rais Trump kuongoza idara mpya ya Ufanisi wa Serikali, ameingia kwa mara ya kwanza kwenye ofisi za bunge la Marekani kwa ajili ya kufanya kikao huku akiwa amembeba mabegani mtoto wake kipenzi anayeitwa X. Elon anamkubali sana huyu mtoto wake. Inasemekana huyu X...
  13. JamiiForums Tanzania Billnass amzawadia mtoto wake Naya, gari aina ya Alphard, aahidi kumpa gari la kifahari 'Escalade'

    Baada ya Rapa na mfanyabiashara, Billnass kumzawadia mke wake, Nandy, gari la kifahari siku ya kuzaliwa kwake, sasa ni zamu ya mtoto wao kupata zawadi ya gari. Kupitia mtandao wa Snapchat, Billnass alionesha zawadi ya gari aina ya Alphard aliyomzawadia mtoto wake baada ya kufikia kuhitimu...
  14. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kujaribu kumuua mwanae wa kike

    Mwanaume anayejulikana kwa jina Peter Mayala (45) mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli, Manispaa ya Shinyanga, amejiua kwa kujinyonga ndani ya chumba chake cha kulala baada ya kujaribu kumuua mtoto wake wa kike anayeitwa Anna Peter (6) huku chanzo cha tukio kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa familia kati...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Nature Mwanaume anapenda na anafurahi kufanana na Mtoto wake

    NI NATURE MWANAUME ANAPENDA NA ANAFURAHI KUFANANA NA MTOTO WAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hili Wala siô Siri ingawaje wàpo wachache watapinga lakini ukweli utabaki ukweli Siku zote Wanaume hufurahi Sana na Kupenda pale àmbapo Mtoto aliyemzaa anapofanana na kuelekeana naye Kwa kiasi...
  16. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa thread ya rafiki yangu alienipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake. Jana kafanya jambo ambalo mkewe hatokuja kulisahau maishani kwake

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ONE 1: Kwanza naomba nitumie nafasi hii kumshukuru kiongozi mkuu wa mtandao wetu huu Mhe. Maxence Melo na team yake nzima ya JF kwa kuuboresha mtandao wetu, hadi kufikia level ya kimataifa. Mtandao huu umekuwa sauti kwa watu wasiokuwa na sauti, umekuwa mtetezi kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Jirani na hapa nnapoishi mimi kuna home boy fulani ambae tumetokea kuzoeana, kushauriana na hata sometimes kutembeleana. Tulitokea kujuana nae miezi 6 iliyopita baada ya yeye na familia yake kuhamia hapa. Kwa Tanzania ni mzaliwa wa Kinondoni, wakati mimi mzaliwa wa...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Kila Mtu amlinde mtoto wake, kuna watu kwa tamaa wanawateka watoto

    Prof. Mkumbo Kufuatia hali ya sintofahamu iliyoripotiwa kutokea eneo la shule ya msingi iliyopo Mburahati Kata ya Mkurumla iliyopo Wilaya ya Ubungo kwa wazazi na walezi kukusanyika kwenye eneo la shule kutokana na hofu ya madai ya watoto kutekwa, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua mtoto wake kwa kutofanana naye ahukumiwa kunyongwa

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/aliyemuua-mtoto-wake-kwa-kutofanana-naye-ahukumiwa-kunyongwa-4663540 Credit: Mwananchi
  20. JamiiForums Tanzania Binti amuombea Mama yake umri mrefu, ili amuhudumie yeye na mtoto wake aliezaa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…