mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuachieni Yanga na Simba zetu, zilipambania uhuru wetu. Ninyi mmefanikiwa tu kutuambia Abdul ni mtoto wa Rais Samia

    CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana
  2. JamiiForums Tanzania Wadau mimba ya tarehe 17 mwezi wa 12 mtoto anazaliwa lini?

    Tarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida. NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wa miezi 6.5 hatambai wala kumove

    Habari wakuu nimekuja kwenu kutaka mawazo bint yangu wa Umri miezi 6.5 hatambai ukimuweka hata kujaribu kumove hamna... anakua kama anataka kujivuta hawezi kabisa kumove Wala kutambaa. Nimekuja kwenu kutaka ushauri nini chakunya aweze kutambaa kumove na kusimama. Naaambiwa kuwa na watu kwa umri...
  4. JamiiForums Tanzania Cardi B na Offset wamkaribisha Mtoto wao wa Tatu, ni baby girl

    Septemba 7 mwaka huu, Cardi B na Offset waliungana kwa pamoja kumkaribisha ulimwenguni mtoto wao wa Tatu pamoja. Cardi B ame-share nasi picha pamoja na video kwenye akaunti yake ya instagram, mtoto huyo ni wa Kike na anakuwa wa tatu akiwafuata; Kulture Kiari Cephus (6) na Wave Set Cephus...
  5. JamiiForums Tanzania Utafanyanini ukigundua kua mkeo ana mtoto aliyemzaa zamani na alikuficha?

    Komassava! Msaada wa ushauri. Kaka yangu ameoa na imepita miaka mitano sasa . Lakini hivi karibuni kagundua kua mkewe alikua kashazaa kipindi anasoma na kumuacha mwanae kwabibi yake na hakuwahi kumwambia ukweli. Kaanza kukosa imani na mkewe kwamba huenda kuna mambo mengi anamficha Je...
  6. JamiiForums Tanzania Aunt Sadaka: Mtoto akichora chora friji muache, anathubutu!

    Kumekucha wadau! Leo nikiwa namsikiliza Aunt Sadaka, Mwanasaikolojia na Mshauri wa masuala ya Malezi, Ndoa na Mahusiano kwenye redio, nikajikuta nakumbuka mambo ya utotoni na vile vipondo. Aliweza kuzungumza kwa kina kuhusu jinsi wazazi au walezi wanavyopaswa kuwaachia watoto wao nafasi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la kunesa kichwa kwa mtoto wa mwaka mmoja

    Habari za asubuh wakuu, kama kichwa cha habari kina vyojieleza hapo juu.mimi ni BABA wa mtoto mmoja wa kike wa mwaka mmoja, mtoto amekuwa na tatizo la kunesa kichwa anapoangalia kitu kwa mara ya kwanza mfano akiangalia TV at the first look ananesa kichwa then anakaa sawa au akiangalia mtu,kitu...
  8. JamiiForums Tanzania Inavyokuaga mtoto wa mjini unapoenda kijijini.

    Kila mtu anakuomba hela kumbe wewe mwenyewe ni misheni taun coz tangia umemaliza chuo 2016 hadi leo haujapata ajira. Kila mtu anataka atembee na wewe ili awaoshee wengine. Wanakuuliza kama unaishi karibu na nandy ili uwape stori zake kumbe we mwenyewe una share geto na mwanako mikorochini...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wa darasa la nne Shule ya Mapinduzi adaiwa kubakwa Mbeya

    Hii hali sijui inaisha lini huzuni sana sana Mtoto wa darasa la nne amebakwa na kijana mmoja akielezea kama una mtoto wa kike unaliaa Mtoto anasema alichukuliwa akapelekwa nyumba moja alipoanza kulizia kuna nn kijana alimtisha ukisema kwa watu nakunyonga Kijaana akaanza kufanya anayotaka...
  10. JamiiForums Tanzania Mwalimu jenga Uhusiano mzuri na wazazi ili kulinda hisia za mtoto shuleni na nyumbani

    Image source: Pinterest Kumekuwa na tatizo la wazazi kulaumiana katika kusimamia maendeleo ya mtoto shuleni. Hivyo kurudisha umoja ili kufanikiwa kumjenga mtoto Na wakati mwingine mzazi anaingia msongo wa mawazo kutokana na taarifa mbaya za mtoto kutoka kwa mwalimu. Mwandishi wa kitabu cha...
  11. JamiiForums Tanzania Namuachaje kwa Amani? Nilimtoa kwenye ndoa ili anizalie sasa mke wangu kapata mtoto

    Namuachaje kwa amani, nilimtoa kwenye ndoa yake ili anizalie sasa mke wangu naye kapata mtoto sitaki tena kuchepuka! Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7. Katika kipindi chote hicho mimi na mke wangu tulikuwa hatujabarikiwa kupata mtoto. Tulikwenda hospitalini kupima, ikagundulika yeye ndiye...
  12. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Ulinzi wa Mtoto

    BUNGE LAPITISHA MUSWADA, MAREKEBISHO YA SHERIA ZA ULINZI WA MTOTO. Na WMJJWM, Dodoma Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria zinazohusu ulinzi wa mtoto wa mwaka 2024 leo Agosti 30, 2024 jijini Dodoma. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mtoto aliyeimba na Kala Jeremiah 'Wana Ndoto'?

    Miriam Thomas Chirwa, anayejulikana kwa jina la "Mwinjilisti Miriam," alizaliwa tarehe 15 Septemba 1998, akiwa na ulemavu wa macho Alianza safari yake ya muziki akiwa na umri wa miaka 6, ambapo alirekodi nyimbo 5. Akiwa na miaka 10, alirekodi nyimbo 10 na kutoa albamu yake ya kwanza "Mseme...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna mtoto wa tajiri au mwenye cheo anasomea ualimu

    Wasalaam,hakuna mtoto wa mwanasiasa au tajiri anayesomea ualimu hapa Tanzania. Education ni kazi isiyo na marupurupu na posho. Huwezi kuta mtoto wa mtu anayejiweza anasomea ualimu. Ukitaka ufe kwa pressure somea coz hizi zenye posho na mianya ya ulaji. Kaka yangu kasomea PSPA toka 2010...
  15. JamiiForums Tanzania Ni miujiza mtoto mchanga kukaa siku tatu kwenye shimoni la chooni akiwa hai. Hongereni Jeshi la zimamoto na mtoa taarifa

    Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 . Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto. Tukio limetokea huko Dodoma
  16. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lawashikilia watu watatu akiwemo mtoto anayedaiwa kuiba watoto sita

    Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili waliosikika wakimhoji mtoto aliyejitambulisha kwa jina la Evaristo katika moja ya picha jongefu zilizosambaa katika mitandao ya kijamii. Pia, Jeshi hilo limesema linamshikilia mtoto huyo na kuendelea na uchunguzi wa maelezo yaliyozungumzwa naye katika...
  17. JamiiForums Tanzania Mfundishe mtoto bado mdogo programming computer sio aje kukukuta ukubwani ndio maana tunazidiwa na wenzetu

    Programming computer ni mfumo wa lugha za vifaa ambavyo vyenyewe vinajua moja na ziro tu. ila kutokana na uwezo mfumo wa digital moja ziro ndio zinaweza kutambua mamilioni ya ziro na moja kwa wakati. Vifaa vyote tunavyotumia kuanzia simu,computer,mawasiliano kama internet na vyote kwa ujumla...
  18. JamiiForums Tanzania Mama siwezi kukutumia hiyo elfu hamsini uliyoniomba kwasababu kesho natakiwa kulipa ada ya mtoto shuleni

    Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any how) Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote...
  19. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume ingia kwenye mahusiano kitaalamu

    Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni. Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila malengo. Ndio maana wanaume hawa huwa wanaishia kutumika na wanawake kwa malengo binafsi, kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Usaliti: Jamaa atoa uthibitisho kuwa mtoto si wake kwenye babay shower

    https://x.com/crazyclipsonly/status/1826962090382561718 Tafrani yazuka kwenye sherehe baada ya Mume kushika maiki na kueleza umma uliokusanyika kusherehekea (jionee mwenyewe)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…