Amepachikwa jina la utani: "Shetani wa Waarabu", kutokana na uovu wake alioueneza nchi zote za Kiarabu. Mohammed bin Zayed, anapumulia mashine, na taarifa nyingine zinasema "kisha kitoa". Ulimwengu mzima wa Kiarabu uko katika shamra shamra za kufurahia, hata kama haijathibitishwa rasmi kifo...
Wafu wamefikia hatua wanasema hawataki kuona picha yake.
Ila yeye kakamoaa kuwa karibu na vijana. Mara tutawapa hiki, mara tutawapa kile. Tutawajengea studio na bado ahadi kibao.
Lakini ukija uraiani vijana ndio wanamkataa kabisa.
Yohana Mbatizaji alisisitiza na kuhubiri juu ya Toba. Akawahimiza wayahudi kumsubiri mesiah Yaani Yesu.
Kubwa kuluko yote alipinga maovu ya watawala na kuwaeleza ukweli juu ya uovu wao. Akamuambia Herode juu ya uovu wa kuoa mke wa kaka yake.
Kama mtangulizi wa Yesu Yohana mbatizaji alikemea...
Huyu hapa Bibi yetu wa Kizazi kipya ambaye amekataa kukaa kimya dhidi ya uovu kwenye nchi yetu, akianzia kwa kunukuu maandiko ya Biblia na kueleza uzoefu wa wananchi chini ya tawala tofauti. Alisema kuwa katika vipindi ambavyo watawala walikuwa wenye haki na waliwapenda watu wao, wananchi...
Sio utani wala kupindisha Moderator kuna mda unataka kupindisha ila mtakumbuka haya maneno.
Mtawala ndio analeta chuki ambayo sasa kaingiza kwenye udini kabisa akijua kitamuokoa.
Mimi sipendi kuweka wazi ila wanayofanya kwenye ku promote huko kuna kitu sio kizuri.
Sisi wa tanganyika wanataka...
Kitu cha kushangaza kabisa mkoa niliokuwepo hakukuwa na maandamo wala uharibifu wowote ule siku ya uchaguzi.! Lakin siku ya pili tena jioni ndio vurugu zinaanza kwa kasi ya ajabu ?? Hawa walikuwa wapi kuanza vurugu siku husika.???
Inaonekana ilikuwa mpango maalum wa kumtia doa kiongozi kwa...
Vitabu vitakatifu vinaeleza kuwa Duniani kuna uzao wa shetani. Hao walitokana na mashetani yaliyozini na wanadamu, wakazaliwa viumbe wenye sura na maumbile ya wanadamu. Hao viumbe kazi yao kubwa huwa ni kuwaangamiza wanadamu, kuwaua wanadamu. Hayo mashetani yenye maumbile na sura za wanadamu...
Mochwari zimejaa maiti za Watanzania ambao wamekufa kutokana na uchaguzi ambao wao waliamini hufai kuwa kiongozi wao.
Wanalalamika mitaani kuwa wewe na Familia ya Kikwete na wenzako Kama Angela Kiziga ndio mnanufaika na kodi za taifa hili.
Utawahudumia nini hawa Watanzania ambao ndugu zao...
Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
Habari za Leo!
Unapomkoaa Boss au mtawala au kiongozi wako. Moja ya mambo muhimu ya kuzingatia ni mtazamo wake juu yako.
Je ni Negative au positive?
Kama mtazamo wake ni Negative, hata ukimkosoa kiungwana na kiupole kwake ataichukulia kama dharau, chuki na vita. Hivyo majibu yake yanaweza...
Hakuna kitu hatari kama uranium kuanzia kibailojia,kifizikia,kikemia na kivita.
Swala la kusema tuanze kuwa na vinu vya nyuklia ila turudi nyuma kama uwendeshaji utakuwa ni wa serikali basi ni kuleta maafa kama mlivyo fanya Mwendo kasi,bandari na n.k
Uranium itaki uccm wala wakina lucas...
Hii ni safi sana.
Wambane kila kona aishie kwenda Burundi, Msumbiji, Uganda, na jamhuri zingine za midizi kama ilivyo nchi anayoitawala.
Hakuna pa kujificha wala pa kukimbilia.
https://youtu.be/VgcKuwarg1I?si=DtEUKkMHS6Yd0fvW
Mungu anatwala.
Haugui
Hafi
Hachoki
Hazimii
Hatishwi
Matendo yote ya heshima na inada uyaelekezwe kwa Mungu asiyekufa.
Viongozi wa kidini na kiserikali wapewe heshima za kibinadamu. Heshima kuu irudi kwa Mungu Muweza wa Yote.
Kwa Mujibu wa Biblia. Baba mtakatifu (Yohana 17:11) sio mtu.
Ni...
Katika hali ya kawaida ni ajabu kwa mtu kuamua kuthaminisha andazi na mtu au taasisi. Hata hivyo, kama ambavyo Sheria ya Sababu na Athari (Cause and Effect Law) ya Aristotle (384–322 BC) inavyoeleza; kila kitu hutokea kwa sababu na kila athari huwa na sababu maalumu.
Aristotle anaona kuwa...
Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo.
Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia...
Moja ya sifa ya kuna demekrasia ni uwepo wa utawala bora, dhana hii ya utawala bora imekuwa na mtazamo tofauti tofauti kutoka kwa mtu mmoja kwend akwa mwingine, kila mtu amekuwa akiweka kipimo cha kumjua mtawala bora kulingana na na jinsi alivyokuwa akitegemea kuongozwa na mtawala au kiongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.