mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni wajibu wako wewe Mtanzania

    Watanzania wenzangu, Tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku muhimu ya maandamano ambayo tunatakiwa kuungana kwa pamoja kuonyesha sauti yetu kwa watawala na mshikamano mkubwa. Maandamano haya ni jibu la mshikamano wetu wa kumwambia aliye madarakani, dunia, na viongozi wetu kuwa hatutakubali tena...
  2. JamiiForums Tanzania Fabian Joseph ndo Mtanzania wa kwanza kupata medali ya dhahabu kwenye mashindano ya ubingwa wa Dunia

    Medali aliyoshinda Simbu ni ya kwanza Tanzania kwa mbio za marathon na siyo ya kwanza kupatikana kutoka IAAF World Athletics championship. Mwanariadha Fabiano Joseph alikuwa mtanzania wa kwanza kuipatia Tanzania medali ya dhahabu kwenye World Athletics Championship mwaka 2005 jijini Edmonton...
  3. JamiiForums Tanzania Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza nchini kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni

    Mtanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya kwanza na kushinda Medali ya Dhahabu katika mbio za Marathoni Kilometa 42.195 upande wa Wanaume katika mashindano ya Dunia ya World Athletics Championships 2025 akimshinda Mjerumani Amanal Petros. Simbu ametumia Saa 2:09:48 akipishana na Petros...
  4. JamiiForums Tanzania Sema watu wana ujasiri sana jamani. Hapa Mtanzania angetoboa kweli?

    Wakuu, Hawa wenzetu wana ujasiri sana mtu unawezaje kuendesha chombo kama hiki kwenye eneo hatari kama hili? Mimi hii sijaribu labda mnipeleke mental hospital Alafu Watanzania sionagi tukifanyaga video za aina hii, kwanini hatupendi kujaribu risky stuffs
  5. JamiiForums Tanzania Hivi mtanzania anaweza kwenda China na kuwekeza kwenye michezo ya kamari kama za Madubwi.

    Nauliza tu kwa nia njema , je inawezekana? Maana sisi ni nchi rafiki since 1960s kama inavyosemekana. 😎😎. Maana kuna mmoja anaitwa steven mchina. Anakusanya hizo 200 kama mchanga huko vijijini ndani ndani sana alipoyatega.. nauliza tu wadau sio kwa nia mbaya.
  6. JamiiForums Tanzania EV zina gharama ndogo za uendeshaji kuliko magari ya ICE. Sema ngumu sana kumshawishi Mtanzania

    Wakuu, nimekutana na mjadala wa magari ya EV (electric vehicles) vs ICE (internal combustion engine) kwamba ipi ni afadhali kwa mtu mwenye mizunguko mingi (~km 50 hivi kwa siku). Mabishano yakikua kwenye issue kuu tatu, gharama za matengenezo, uendeshaji na uwoga wa battery kuchakaa. Najua kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Padre Emilius Kobelo: Anayevunja haki ya Mtanzania ni Mtanzania

    Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuombea haki na amani nchini Tanzania, iliyofanyika Agosti 23, 2025 katika Parokia Teule ya Mt. Agnes Nanenane, Jimbo Katoliki Morogoro, Padre Emilius Kobelo alisitiza umuhimu wa kuiombea taifa huku tukitambua wajibu wetu kwani anaevunja haki au kuharibu amani...
  8. JamiiForums Tanzania Mmeona video ya Mtanzania muuza karanga akifanyiwa unyasasaji nchini Kenya? SASA HII IMEKUWA TOO MUCH!

    Inasikitisha sana ni namna gani siasa zinaweza kutenganisha watu
  9. JamiiForums Tanzania Msaada Mtanzania Anayeishi Namibia.

    Habari za wakati huu wanajukwaa? Naomba kupata mawasiliano ya Mtanzania anayeishi nchini Namibia,Kuna jambo la muhimu naomba kumshirikisha ili niweze kupata ushauri stahiki. Kama yupo yeyote hapa,tafadhali naomba tuwasiliane kwa Direct Message (DM). Naomba kuwakilisha.
  10. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gwajima anaongea Kiswahili cha wapi?

    Anavyoongea kiswahili chake utadhani si msomi? Neno kura yeye hutamka kula. Angalia spech yake ya jana. https://youtu.be/ApwVq9JJww4?si=bE11Rfya8oU5QgJx
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nakusanya Majina na viwango vyote vya fedha vya watu walioichangia CCM, nitayafikisha majina yao kwenye mamlaka zinazohusika na financial crimes

    Niko nakusanya Majina na viwango vyote vya fedha vya watu walioichangia CCM, kila mtu aliyesikika na atakayekuwepo humo ni complicity wa Ukiukwaji wote wa haki, Nikishakusanya hawa watu wote nitayafikisha majina yao kwenye mamlaka zinazohusika na financial crimes katika mataifa ya Ulaya na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea wa Urais UMD Mwajuma Noty Mirambo: Tunaamini katika sera za majimbo, kila mtanzania pale alipo atafurahia uchumi wa eneo lake

    Mgombea wa Urais kupitia chama cha Union for multpart Democracy (UMD) Mwajuma Noty Mirambo Amesema Sera za chama hicho zimejikita katika uchumi wa majimbo ambapo kila mtanzania atafaidika na vitega uchumi pamoja na miradi inayopatikana katika maeneo wanayo ishi wananchi. Mgombea huyo wa urais...
  14. JamiiForums Tanzania Ulanguzi wa Silaha: Serkali ya Marekani imemfungulia kesi Mtanzania Subiro Osmand Mwapinga kwa ulanguzi wa silaha kwa makundi ya ugaidi na uasi dunia

    BBC News, Swahili Ruka hadi maelezo Yaliyomo HabariMichezoMakalaAfyaBurudaniVideoVipindi vya Redio Moja kwa moja, Israel yaua mwanahabari mashuhuri wa Al Jazeera na wenzake 4 katika shambulio lililoelekezwa Gaza Shirika hilo la habari lashutumu vikali ''ushambulizi dhidi ya uhuru wa vyombi vya...
  15. JamiiForums Tanzania Heche: Watanzania mjiulize, mnaifanyia nini nchi yetu ili vijana wapate ajira

    "Watanzania popote mlipo hili swali tujiulize mnaifanyia nini nchi yetu, ilimadini yetu yarudi mikononi mwetu, ili vijana wapate ajira, ili mbuga zetu zitumike kwa ajili yetu, Tunaifanyia nini? sisi wote tunafanya nini?" - John Heche, Makamu mwenyekiti CHADEMA
  16. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

    Wakuu, Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka
  17. JamiiForums Tanzania Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

    Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani . MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana . Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
  18. JamiiForums Tanzania Tuweke mishahara kuendana na maisha ya mtanzania

  19. JamiiForums Tanzania Ifike mahali " Wachawi" Wa Tanzania waelimishwe kwamba Mtanzania kwenda Marekani sio achievement

    Ni binti mtoto wa Single Mother masikini mama ntilie. Kasoma kayumba kuanzia primary hadi Six..Kaenda UDSM kapiga first class kapata full scholarship ya Masters in a prestigious University in the USA. Watoto wa kike kama mnavyo wajua tena, alipo fika US akawa anapiga Sana picha yupo Marekani...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Kuna "Mtanzania Halisi" Asiyekuwa na Asili ya Nje?

    Hapana, hakuna Mtanzania halisi ambaye hana kabisa asili ya nje—kwa sababu karibu watu wote waliopo Tanzania leo ni matokeo ya mchanganyiko wa makabila, mataifa, na tamaduni zilizokuja kupitia: Uhamiaji wa kale kutoka Afrika ya Kati na Magharibi (Bantu migration) Wafanyabiashara na waarabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…