mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Mabeyo wewe ni Mtanganyika kabla kuwa Mtanzania

    Loliondo FM Loliondo FM Habari za Jumla Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi 7 May 2024, 11:17 am Mwenyekiti wa bodi yawakurugenzi NCAA katikati jenerali Venance Mabeyo wakati wa ukagunzi wa ujenzi wa jingo la NCAA Karatu, picha...
  3. JamiiForums Tanzania Jiji la Adis ababa sasa halishikiki Africa! Mtanzania atamani maendeleo hayo yangekua yanatokea Tanzania

    Kutoka kwa kijana machachari Abi ahamed Jiji la Adis Ababa limegeuzwa kuwa jiji la kimataifa kwa kuliwekea international standard Abiy anadai Lengo ni kuifanya Adis ababa kitovu cha usasa na miundo mbinu ambayo haipo popote pale Africa. Asilimia 90% ya vitu vilivyotumika katika ujenzi...
  4. JamiiForums Tanzania Adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenzake wala si serikali

    Nitasema tena na tena kuwa serikali yetu haijawahi kuwa adui kwa raia wake. Haijawahi kuwa na nia ovu kwa raia wake hata siku moja. Watanzania wenzenu ndio wanageuka kuwa adui wa maisha yenu kisha nyie mnaisingizia serikali. Serikali inatenga mabilioni kununua dawa kwenye Vituo vya afya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za bara tunaomba wote, lakini za Zanzibar wanataka Mzanzibar pekee

    Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili. Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar. Mzanzibar anafaida mara 2...
  6. JamiiForums Tanzania Tuwe wawazi, Je unajivunia kuwa Mtanzania?

    Karibuni:
  7. JamiiForums Tanzania Naapa kutomkopesha Mtanzania hela mpaka naingia kaburini

    1. Mligo wa njombe 600000/= 2. Evodi wa kibaha 100000/= 3.Elibariki wa moshi kati ya 280000/= umenirudishia 15000/= 4. Dotto wa kibaigwa 45000/= 5. Mama Thadeo wa ilemela 68000/= Haya madeni yana miaka miwili na zaidi Mungu atanilipa. Ila mligo wa njombe ushapata adhabu yako hapahapa duniani...
  8. JamiiForums Tanzania Mtanzania hatarini kuuwawa huko Uingereza

    Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki amesema kuanzia jana kuna ujumbe mfupi wa video uliozunguka katika mitandao ya kijamii uliorekodiwa na Raia wa Uingereza mwenye asili ya Tanzania Martina Farrall, akielezea maisha yake kuwa hatarini huko anapoishi Ireland ya Kaskazini. Kwenye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania atishiwa kuuwawa Ireland

    Mtanzania mmoja aliyeolewa huko kaskazini mwa nchi ya Ireland amerikodi videonakieleza jinsi mumewe mzungu na polisi nchini humo wanavopanga kumuua. Katika video hiyo ameeleza jinsi anavopitia unyanyasaji na vitisho na mipango ya mumewake kutaka kumuua.
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mtanzania aliyefanya Makala ya kuonesha ubora wa SGR na Vituo vyake

    Rais Samia ameandika kupitia X Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote zitakamilika. Badru ameonesha kiwango cha ujenzi wa Kituo ch Reli ya SGR cha Morogoro. Ikumbukwe...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania amefanikiwa kutengeneza Metaverse?

    Nadhani ni kama mwaka mmoja sasa umepita kulikuwa na kijana alikuwa hewani kupitia redio mojawapo akasema yuko mbioni kutengeneza metaverse yake (virtual universe). Sijasikia lolote.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania ashinda mechi judo kwenye Olimpiki

    Mtanzania Andrew Thomas Mlugu {uzito wa 73kg} ashinda mpambano wa kwanza wa mchezo wa judo katika mashindano ya 33 ya olimpiki ya majira ya joto huko nchini paris baada ya kumtoa mpinzani wake William Tai Tin, kutoka nchini Samoa ambapo aliutawala mchezo mzima leo Julai29, 2024 ...
  13. JamiiForums Tanzania Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

    Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Rais. Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Makamu wa Rais. Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Polisi (IGP). Mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa Magereza. Mwanamke wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzie hapa, kupunguza matumizi yasiyo ya msingi ili kubana matumizi. Ili kutompa mtanzania mzigo mkubwa

    Serikali tunawashauri mapema. Msije kusema hamkushauriwa kwenye upande wa matumizi ya fedha za wananchi bila mpango mzuri. Kwanza futa post za wakuu wa wilaya na majukumu ya uenyekiti wa ulinzi na usalama atachukua DSO, Futa post za wakuu wa mikoa na majukumu ya uenyekiti wa ulinzi na usalama...
  15. JamiiForums Tanzania Mtanzania hajawahi kumpenda Mtanzania mwenzake. Ushahidi huu hapa chini

    1. Ni nani aliidhinisha kampuni za bahati nasibu nchini zije zikusanye billions of money kwa Watanzania na kuacha pesa ndogo kwa jina la kodi? Jibu ni Mtanzania. 2. Ni nani ametoa kibali na ni nani anazifanyia matangazo kampuni za mikopo ya kihuni na kitapeli mitandaoni? Jibu ni Mtanzania. 3...
  16. JamiiForums Tanzania Zerobrainer ni Mtanzania? Anaishi wapi?

    Huyu jamaa ni moja ya watu wenye vipaji na amekuja tofauti kabisa na comedian tuliowazoea. Comedian wenye hutumia maneno kuchekesha, lakini yeye anafanya komedi ya soka Je, ni nani huyu mtu? Namuona huvaa jezi ya Taifa Stairs kwenye clips zake, bila shaka ni mtanzania, sina hakika. Lakini...
  17. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujenga Tanzania ya Ndoto ya Mtanzania

    Tanzania ni nchi iliyojaaliwa kuwa tofauti na nchi zingine za Afrika Mashariki na Afrika; kijiografia imebarikiwa kuwa na eneo kubwa la ardhi kutosha kwa kilimo, vyanzo vya maji na bahari yenye ukanda mrefu wa pwani na vivutio vya utalii vyenye umaarufu mkubwa duniani. Kijamii, imebahatika kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Sakata la Mpina na Kinachoendelea Kenya: Kila Mtanzania Anamlaumu Mwenzie

    "Kila mtanzania analaumu watanzania wengine ni wajinga hawaleti mabadiliko, na hao wanao laumiwa nao wanalaumu" - min -me Kwa takriban juma zima sasa suala la kashfa ya sukari ime trend sana kwenye mitandao ya jamii na JF ikiwa ni moja wapo. Hatimaye sakata la sukari likiwa linaendelea...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa taratibu za kubadili uraia kutoka kuwa mtanzania bara na kuwa mzanzibari

    Wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie namna ya kuhama kutoka kuwa mtanzania wa Tanzania bara na kuwa mtanzania wa Zanzibar yaani kuwa mzanzibari Nataka kuwa mzanzibari wa kuhamia ili niwe na haki ya kumiliki ardhi kule na Tanzania bara pia, kugombea uongozi kule na nafasi za Muungano kama...
  20. JamiiForums Tanzania Inakuaje Mchina Kariakoo anauza bidhaa/vitu kwa bei chee lakini Mtanzania anakuuzia kwa bei ghali? Kwanini Mtanzania naye asiuze bei chee kama Mchina?

    Inakuaje Mchina Kariakoo anauza bidhaa/vitu kwa bei chee lakini mtanzania anakuuzia kwa bei ghali? Kwanini mtanzania naye asiuze bei chee kama mchina? Mfano unakuta mtanzania anakuuzia kitu kwa 90,000/= Tsh lakini ukienda kwa mchina anakuuzia 45,000/=Tsh Kwanini mtanzania asiende kununua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…