mtaala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tulifumua mtaala na kutengeneza upya mkatucheka, oneni sasa wenyewe mnajisema - Why Tanzania’s education is a joke

    Sisi Wakenya tuna uthubutu, tulikusanya wazawa wazalendo wa nchi hii kutokea kwa washika dau wote wanaohusiana na elimu, wakafumua mtaala uliokuwepo na kuunda upya herufi kwa herufi kwa kuzingatia mifumo ya kisasa, mahitaji ya soko la ajira, uzalishaji kwenye uchumi na suala lote la kijamii...
  2. Elimu: Changamoto za utekelezaji wa kalenda ya mtaala

    Nawasalimu kwa jina la JMT Kazi iendelee..... Nikiwa kama mdau wa Elimu nimebaini haya yafuatayo hasa baada ya kupitia maoni ya baadhi ya watu ambao wengi wao ni walimu juu ya utekelezaji wa kalenda mpya ya mtaala inayowataka walimu wote Tanzania kuwa sawa ktk ufundishaji. Kwa maana kama leo...
  3. Wizara ya Elimu kuliko kuboresha utekelezaji wa mtaala huu mbovu ni bora mngeelekeza juhudi zenu kuandaa mtaala mpya

    Naendelea kuona jinsi mtaala mbovu unavosababisha janga la ukosefu wa ajira nchini! Kila mwaka graduates wanalundikana mtaani tena wakiwa wamekata tamaa kabisa hata huko kunakoitwa kujiajiri wanashindwa kwa kukosa mitaji ikumbukwe bado Wana deni la bodi ya mikopo!!unaweza vuta picha ya hali ya...
  4. Mbunge ashauri Serikali kuweka mtaala wa kufundisha Watoto kalenda ili kuzuia Mimba za Utotoni

    Dodoma. Mbunge wa Kigoma Kusini nchini Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nashon Bidyangunze ameshauri Serikali kuweka mtaala ambao utawafundisha watoto kufahamu vyema kalenda. Nashoni ameyasema hayo Oktoba 24, 2021 wakati akizungumza katika semina ya kuangalia namna bora ya kuboresha...
  5. E

    Mtaala wa Pre-form one ni upi?

    Tunaomba Waziri wa Elimu atueleze mtaala wa pre-form one ni upi? Maana kwa sasa kila shule inaibuka na pre-form one.
  6. A

    If you want to destroy any nation without war, destroy their education system

    Watz wanawasiwasi na chanjo ya uviko 19 kutoka kwaabeberu. Hata hivyo vitabu vyote vya elimu mashuleni, vya mitaala, kiada kwa miaka zaidi ya 10 vinafadhiliwa na pesa za mabeberu. Ukitafakari kwa kina utaona kabisa ule usemi wa kimombo usemao if you want to destroy any nation without war...
  7. Mtaala wa Elimu ya Taifa unairuhusu TAMISEMI ngazi ya Mkoa kuratibu na kusimamia shughuli za Shule ikiwemo ratiba za masomo

    Habari Wanabodi! Ukisoma Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ukurasa wa 5 kuhusu Utekelezaji wa Ibara ya 146(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inayohusu ugatuaji. Katiba inatamka katika Sura ya Nane (kuhusu madaraka kwa umma), kwamba...
  8. Somo la 'Historia ya Tanzania' alilotaka Magufuli lasitishwa

    Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena Somo la historia ya Tanzania lasitishwa Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote. Source ITV news ============== Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia...
  9. H

    Nini kifanyike kuboresha mtaala wa elimu

    Wadau bado kuna ufahamu mdogo nini kifanyike kuboresha mtaala wa elimu. 1. Kuandaa vijana wetu kwenye mtaala ili washiriki uchumi wa viwanda lazima Sera ya Elimu lazima ibainishe kuwa Shule ni kituo cha kukuza ubunifu. 2. Ili kutekeleza hilo, mtaala utabainisha ufundishaji unakuza na kujenga...
  10. Toa Maoni yako kwenye Uboreshaji wa Mtaala wa Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari

    Hello Tupo na Mkutano hapa Dodoma Uboreshaji wa Mtaala wa Elimu Awali, Msingi na Sekondari Wapenda kujenga nchi mnaombwa kutuma maoni yenu kwa namba hii 0735041169 Unaweza kutuma maoni yako Hapa mkutano unaendelea, pia unaweza kufuatili kwenye mitandao ya kijamii na TBC One Asante
  11. Nani mwanzilishi wa mtaala wa elimu yetu?

    Samahani wakuu naomba kufahamu hilo kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Nimejaribu kujiuliza elimu yetu vs msaada katika maisha ya kawaida our educational is non creativity, hata ukiuliza nini matarajio hakuna anayeweza elezea zaidi ya baada ya kumaliza ntaajiriwa. Nimwaza sana juu ya elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…