Mtaala wa Pre-form one ni upi?

tunaomba waziri wa elimu atueleze mtaala wa pre-form one ni upi? maana kwa sasa kila shule inaibuka na pre-form one.
Natamani kujuwa, mwaka uliosoma ili nikuulize wewe ulisoma hiyo pre-form one?
 
Pre form one sio mtaala, ni programme ambayo inamuandaa Mwanafunzi na masomo ya sekondari. Sio lazima kuisoma ila ni muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
mnatuharibia jamii na tamaa zenu za kutengeneza pesa kupitia wanafunzi.

mnaenda mnabuni vitu vinavyochukua mda wa wanafunzi wote kuwaondolea mda wa kufanya kazi zingine.

mtoto huyu amesoma darasa la saba bila kupumzika mmechukua mda wake wa likizo. amemaliza mtoto anatakiwa apumzike ajifunze maisha nje ya shule yanaendaje.

hakuna maandalizi yoyote mtoto anayeingia sekondari anahitaji labda watoto hawa wafundishwe vitu visivyofundishwa mashule ya sasa kama kujua kujichanganya na watu, kujua haki zao na kuzisimamia.
 
Huku nilipo tunawafundish kuchora, kuimba,gwaride na kuongea lugha ya malkia gharama ni 300,000 kwa muda wote... tuna watoto sio chini ya 150
 
Hakuna mtaala maalumu ila no muhimu kwa waliosoma shule za kajamba nani wapate mwangaza
 
Mnapigwa mchana kweupeee!
Ni kweli tunapigwa mkuu na serikali iko kimyaa! Sipendi hicho kinachoitwa pre form 1, wanatuibia na kuwachosha watoto wetu, likizo zao za darasa la 7 walinyimwa, wamemaliza darasa la 7 wanatulazimisha waende Form 1.

Vv
 
Hiyo ni biashara binafsi, sio lazima, kama hutaki mwanao akasome hakuna atakayekuja kukukamata, ww mfundishe mwanao kazi zingine hizo basi. Na akifaulu aende sekondari kama kawaida, mbona wengi tuu hawasomi, hata mm sikusoma lkn tumemaliza hiyo sekondari vizuri tuu.
 
,
Screenshot_20211011-171254.jpg
 
Back
Top Bottom