mtaala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Linahitajika somo la mtaala wa darasani kuwaelewesha wanaume tabia za mahusiano za wanawake

    Kuna kidume kinalalamika wanawake wako tayari kutoa penzi la bure kwa wanaume tajiri au maarufu wakati kwa mafukara na wavuja jasho wanawabania wakitaka chochote kitu kwanza! Ni jambo linalotia hasira kama wewe ni mwanaume masikini lakini ni jambo linaloeleweka ukichukua muda kutafakari na...
  2. C

    Mtaala mpya haujaeleweka? Au tunacheza na maisha ya watoto wetu?

    Mtoto wangu anasoma shule ya sekondari MGULASI, iliyopo kata ya CHAMWINO, MANISPAA YA MOROGORO. (Anaingia kidato cha pili) Wakitumia mtaala mpya, ukianza rasmi mwaka 2025. Mtoto wangu alichagua mkondo WA biashara, baada ya kupewa elimu ya kuchagua Masomo na wanataka nini wakiwa wakubwa. Mwaka...
  3. Mageuzi Katika Mtaala wa Kufundusha Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MAGEUZI KATIKA MTAALA WA UFUNDISHAJI WA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Nimepokea ujumbe huo hapo chini kutoka kwa mwanafunzi wangu mmoja: ''Leo rafiki yangu mmoja ambaye ni muhitimu wa Shahada ya Ualimu wa Historia mwaka huu amenipa habari njema kwamba habari za Abdulwahid Sykes na wazee...
  4. Shekhe kundecha apongeza elimu ya dini katka mtaala mpya

    Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?" "Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu) hapa...
  5. T

    Dkt. Hussein Omar aipongeza TET, atoa wito kuandaa Mtaala utakaosaidia kukabiliana na changamoto ya taka ngumu

    Avutiwa na Utendaji katika Mifumo ya TEHAMA NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa jitihada wanazofanya za kukuza Sekta ya Elimu nchini hasa kupitia eneo la mifumo ya TEHAMA inayosaidia katika ujifunzaji...
  6. Hivi mpaka leo mitaala ya elimu yetu ni ile wanasoma Bunsen burner

    Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu. Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda na mazingira ya dunia inavyotaka.Kwa nini kwetu bado tuna elimu zile zile ambazo sio msaada kwa...
  7. Jamani haya ndio maswali kutoka mtaala mpya?.

    Kwa elimu yetu ya kibongo na shule zetu za st kayumba ambazo mara nyingi ukute shule Haina mabechi ya kutosha,mara madarasa hayatoshi,mara wazazi wachangie Hera za mitihani na kuanda report sijui km mtoto wa darasa la kwanza anaweza kujibu swali Hilo hapo.
  8. Mtaala na changamoto za utekelezaji wako

    Mtaala mpya ulioboreshwa wa elimu ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania unalenga kutoa elimu jumuishi, shirikishi na yenye mwelekeo wa ujuzi zaidi kuliko nadharia. Mabadiliko haya yanakusudia kumwandaa mwanafunzi kuwa mbunifu, mjasiriamali na mshiriki hai katika maendeleo ya jamii na taifa...
  9. Dkt. Aneth Komba: Somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba amesema somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala ulioanza kutekelezwa Januari 2024. Akifungua kikao kazi cha siku mbili cha Makatibu Tawala wa Mikoa na maafisa Elimu kilicholenga kujadili...
  10. Msaada kuhusu mtaala mpya Kwa level ya Advance

    Habari Wana JamiiForum, naomba msaada wa topics zinazopatukana kwenye mtaala mpya wa A level katika masomo ya Biology, Chemistry na Physics, watakao anza nao form five wa mwaka 2025. Lakini pia kama Kuna mwenye pdf anisaidie kupata nitashukuru sana. Naomba kuwasilisha wakuu
  11. Mtaala mpya wa A level Kwa 2025/2026

    Habari wakubwa, natumai mko vizuri, Niende Moja Kwa Moja kwenye maada, nilikuwa naomba Kwa wale wadau wa elimu wanisaidie nifahamu topics za Biology, Chemistry na Physics hasa Kwa Form five, lakini pia kama naweza kupata Pdf ya hivyo vitabu nitashukuru sana. Naomba kuwasilisha
  12. Waislamu amkeni sasa, mtaala mpya wa elimu hauna nafasi ya kuwabeba kiujanja watoto wenu!

    Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala (sera) mpya wa elimu. Jambo hilo limekuwa likifanyika vivyo hivyo kwa jamii za waumini wa kikristo. Ni...
  13. D

    Na sisi wakatoliki tunaomba kilatini kiingizwe kwenye mtaala kama kiarabu kilivyo ingizwa kwa ajili ya waislam

    kwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu. Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
  14. MTAALA MPYA WA ELIMU: Kilio kipya kwa watoto wa maskini na janga la kizazi chao chote!

    Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo. 1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka. 2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila...
  15. B

    Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

    Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs . Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu. Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya...
  16. Hii imekaaje kuhusu huu mtaala mpya wadau

    MABADILIKO MAPYA YA MITAALA YA ELIMU SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO 2025 MABORESHO YA MITAALA AMBAYO YANAENDA KUBADILISHA MFUMO WETU WA ELIMU: 1.Mtihani wa darasa la Saba utafutwa. 2.Mwanafunzi akianza darasa la kwanza lazima amalize Kidato cha nne. 3.Kutakuwa Mtihani wa Upimaji wa...
  17. Wazazi wengi hawana Home Curriculum ( Mtaala wa Nyumbani)

    1. Wazazi wengi hawana home Curriculum. Wazazi wanapaswa kuwa na mtaala wa Nyumbani maalumu Kwa ajili ya kuwafundisha watoto wao stadi za maisha . 2. Kwa sababu ya kukosa mtaala wa Nyumbani wazazi huwaona watoto Kero Wawapo nyumbani jambo ambalo ni upumbavu WA Hali ya juu sana... Ndio...
  18. Suala la mtaala ulioboreshwa lisifanyiwe mzaha

    Shule zimefunguliwa takribani siku Nne Hadi Sasa na kwa uhakika wanafunzi wa Kidato Cha kwanza Wana miminika mashuleni. Uhakika uliopo ni kuwa wote wanakuja kuanza mtaala ulioboresha (alimaarufu mtaala mpay) Pasipo kupinga mtaala ulioboreshwa umelenga kupunguza changamoto za mwanafunzi...
  19. D

    Kesho ndo utekelezaji wa mtaala mpya kwa kidato Cha kwanza unaanza: vitabu havijafika mashuleni, mafunzo kwa walimu yametolewa wakati likizo na Bure..

    Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya! Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika. Mafunzo yalikuwa...
  20. Mtaala mpya wa kidato cha kwanza 2025; Somo la Biashara ni lazima kwa wanafunzi wote nchini?

    Wajumbe nimepitia mtaala mpya nikakuta masomo 6 ya lazima moja wapo ni somo business studies ikielezwa kwamba ni mbadala wa commerce. Somo hili linaambatana na hesabu, historia ya Tanzania 🇹🇿 , Kiswahili, Kiingereza na Jiografia. Masomo 6 ya lazima, kama business studies(commerce) zamani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…