mtaa

MTAA Super (Motor Trades Association of Australia Superannuation Fund) is an industry superannuation fund established to serve the motor trades and allied industries.
Created in 1989, it has become one of Australia’s largest super funds. As at 2019, MTAA Super has more than $12 billion funds under management and represents more than 200,000 members and more than 50,000 active employers.MTAA Super is a public offer fund and allows membership to all Australians.
MTAA Super was named SuperRatings 7 year platinum performer for 2003-2010. In 2020, the fund was again awarded Platinum Rating by SuperRatings, who named MTAA Super a “best value for money” super fund.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Morogoro Mjini: Baadhi ya maduka vocha zinauzwa bei za juu kiholela (mtaa wa Falkland)

    Duka vocha za tsh 500/= zinauzwa tsh 600/= na zile zenye thamani ya 1,000/= zinauzwa kwa 1,200/=. Jambo ambalo limetokana na ukweli kwamba tunaoishi hapa kwa asilimia kubwa ni jamii ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine hivyo wenye maduka kutumia fursa hiyo kuongeza bei za vitu kiholela...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wakusanya tozo za parking Jijini Mwanza wala Rushwa wakubwa mtaa wa Kalutta

    Mkurugenzi wa jiji kuna kikundi kinachotoza tozo za parking jijini Mwanza hususani eneo la mtaa wa Kaluta wanakamata magari na kuyafunga minyororo huku wakidai Rushwa msipoangalia kikundi hiki kitawaharibia kabisa CCM kipindi hiki kwa vile wanafai kutumwa kufanya hivyo na Mkurugenzi Kibamba...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nauza abaya dresses kwa Tshs 50,000

    Nauza abaya dresses, Size l,Xl,2xl&3xl, Bei Tsh 50,000/= Tunapatikana kariakoo Mtaa wa Raha 📞0686841100
  4. JamiiForums Tanzania Mtaa upi K.koo nitapata wauzaji jumla wa ndala, yebo, flip flops na rainboots?

    Karibuni wakuu mnielekeze.
  5. JamiiForums Tanzania Si lazima mtu afe ndiyo mtaa upewe jina lake

    Hakuna shaka kwamba Mama Maria Nyerere, atadumu katika historia kama mke wa mwasisi wa Taifa letu. Kama ukili wetu ukiona mafanikio ya mwanamme basi nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara. Tusingoje Maria afe ndo tumpe mtaa.
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kutunza Mazingira na kuongeza ajira, serikali iweke mashine za recycle kila mtaa au kila kata

    Ili kutunza Mazingira na kuongeza ajira ,serikali iweke mashine za recycle kila mtaa au kila kata. Utangulizi Jukumu la kutunza mazingira ni langu na ni lako hivyo tunaweza kutumia fursa ya kutunza mazingira kwa kuongeza ajira, hii itafikiwa baada ya kuchakata taka kwa kutumia mashine za...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge wako na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wanafika eneo lako kushughulikia Kero au ndio wamepotea hadi Uchaguzi ujao

    Tunaelekea mida ya kuanza kuwaona Waliotuomba Kura 2019 na 2020 wakitaka nafasi za Ubunge na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wakijipitisha tena kama vile walikuwepo. Vipi hapo kwako Kiongozi uliyemchagua anashughulika na Kero zenu au ndo hata hujui alipo?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa location, Huu ni mtaa wa wapi?

  9. JamiiForums Tanzania Barabara za Mtaa Kibaha Maili Moja hali ni mbaya, Mbunge kaingia mitini, DC na RC wameuchuna tu

    Haya ndio Maisha yetu watu wa Kibaha Maili Moja, hii ni sehemu tu ya mfano mdogo jinsi changamoto ya Barabara ilivyo hasa mvua zinaponyesha. Watu wameshapiga kelele sana kuhusu hii Barabara inayoanzia Kituo cha Sheli kuelekea Muheza hadi Mpiji, sasa hivi magari hayapiti kwa urahisi, yakipita ni...
  10. JamiiForums Tanzania Wanayo yapitia Watoto/ Wanafunzi wa Mtaa wa Mbopo, Mabwepande ni huruma

    Habari! Kwa huzuni kubwa leo naomba kwa mara nyingine niwakilishe kadhia wanayopitia wakazi wa Mbopo kata ya Mabepwande kufuatia ubovu wa miundombinu kwenye kata hii iliyo kwenye jimbo la kawe! Tangu mvua ya December 2023 mpaka January 2024 iliyoharibu kabisa barabara na miundombinu katika...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Silaa aagiza Mwenyekiti wa Mtaa akamatwe kwa kuuza eneo la Mchina akijua kafa na Corona

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji...
  12. JamiiForums Tanzania Bifu la maslahi, linavyokatisha maisha ya mwana harakati wa mtaani

    Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap. Na zaidi nikaja kusikia kuwaKwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko rapper yeyote. Lakini mwisho nikasikia habari mbaya zilizo husu kifo chake Habari zilisema...
  13. JamiiForums Tanzania Kiteto: Mwenyekiti wa Mtaa Jela Miaka 4 kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 60,000

    Mahakama ya Wilaya Kiteto imemhukumu MAMBE MOHAMED MAMBE, Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasetan, Kata ya Engusero, Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara. Mshtakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa kwenda Jela miaka minne au kulipa faini ya shilingi 1,000,000/= kwa makosa ya kuomba na kupokea hongo kiasi cha...
  14. JamiiForums Tanzania Dar: Mwenyekiti wa Mtaa ashtakiwa kwa kuomba na kupokea Rushwa

    Katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imefunguliwa kesi ya Jinai Namba (Cc.6600) dhidi ya Bw. BENJAMIN CHALRES CHUMA kwa mashtaka ya kuomba na kupokea RUSHWA kinyume na kifungu cha 15(1)(a) na 15(2), cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa [CAP 329 RE 2019] Mshtakiwa akiwa Mwenyekiti wa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino)

    Wakazi wa mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino) tumekosa maji toka July 2023, DAWASA hawatoi majibu ya kuridhisha. Na si mbali na ofisi za Mkuu wa wilaya ya Ubungo lakini hakuna utatuzi wowote wala jitihada za kuleta maji.
  16. JamiiForums Tanzania Hatimaye wazoaji taka wametimiza wajibu wao kwa kuzoa taka Mtaa wa Mzimuni - Kawe

    Yaani muda mfupi baada ya kuweka andiko langu hapa, jana hiyohiyo magari mawili ya kuzoa taka yalifika mtaani kwetu na kubeba taka zote zilizokuwa zimezagaa. Kumbe inawezekana, sasa walichokuwa wanasubiri ni nini? Wanataka hadi turipoti mitandaoni ndio hatua zinachukuliwa? Hii si sawa...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Goba wakarabati barabara wenyewe, Serikali za Mtaa washawishi bango litolewe

    Hii ni picha ya bango la mradi wa ujenzi na ukarabati wa kilomita mbili (2) Goba kwa Awadhi ambayo imesambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii. Mradi huu ni wa ukarabati na ujenzi wa mitaro ambapo unatokana na nguvu za wakazi wa eneo hilo. Inaelezwa wakazi hao wamekubaliana kujenga mitaro kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Siku ya Mwanamke: Bi. Mwamtoro bint Chuma wa Mtaa wa Kariakoo

    Angalia hapo juu picha ya Bi. Mwamtoro bint Chuma mama yake Sheikh Haidar Mwinyimvua. Picha hii inamwonyesha Bi. Mwamtoro bint Chuma akipiga kura Uchaguzi Mkuu wa 1970. Bila ya shaka yoyote kura yake ilikwenda kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Haiwezi kuwa vinginevyo. Bi...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyerere halmashauri ya mji wa Bunda jifunze kutoka kwa mtendaji wa mtaa wa Nyerere anavyozingatia utawala bora

    Ni ushauri tu kwa ndugu yetu Ndugu Hamis Nyamsenda,Mwenyekiti wa mtaa wa Nyerere ulio katika halmashauri ya mji wa Bunda.Binafsi andiko hili halina maana kwamba tunakuchukia bali tumeamua kufanya haya ili ubadilike na kuwa kiongozi bora. Binafsi umekuwa ukiitisha mikutano ya hadhara ambapo...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mtaa wa Mwenge, Dar es Salaam mnanufaika vipi na huyu mtu aliyefunga mtaa wa Zayumba mbele ya Kibo Bar?

    Ni miaka mingi huyu mtu amefunga huu mtaa, ambae amepangisha watu barabarani, barabara yetu ya kupita, na kapangisha watu, mbele kajenga fremu na kajenga banda la chips, kaweka mama ntilie, na katengeneza umiliki wake. Huu mtaa kiuhaalisia ukitokaa sinza hii barabara ya Africa sana kuja TRA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…