"....Wabunge 16 ambao tovuti ya Bunge imethibitisha rasmi kwamba wewahi kuingia bungeni wakiwa na kiwango cha elimu ya msingi ni Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku (Msukuma) ambaye ameandika alipata elimu yake hiyo katika Shule ya Msingi Fulwe, Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen...