msongamano

  1. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Gereza la Segerea kuweni na utaratibu mzuri ili kupunguza msongamano wa watu

    Kumekuwa na utaratibu ambao si rafiki sana wa muda ukifika gerezani hapo kwenda kumuona ndugu au jamaa yako mfungwa au mahabusu, kati ya mambo yanayopelekea sanasana uhatibifu wa muda eneo lile kwanza:- Kuna baadhi ya watu huwa wanapewa masaa mengi zaidi kuonana na kuongea na wapendwa wao mle...
  2. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mashuleni wanafunzi madarasani watakaaje na msongamano huwa ni mkubwa?

    Huu muongozo haulezi wanafunzi watakaaje madarasani na kawaida wanafunzi kubanana ndani ya darasa moja ni hatua gani itachukuliwa kuwalinda wanafunzi hasa upande wa social distance?
  3. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Leo Waziri wa Afya ametangaza virusi hatari vya Corona kuwepo nchini mwetu. Mgonjwa mmoja amethibitishwa kwa vipimo vinavyofanywa kwenye maabara moja tu hapa nchini kwetu. Maana yake kuna uwezekano wa kuwepo wengine wenye virusi hivyo ambao hawajabahatika kufanyiwa vipimo hivyo au ni carriers...
  4. J

    JamiiForums Tanzania TABOA: Stendi za mabasi ya mkoa na daladala wawepo wasafiri pekee wafanyabiashara waondolewe kupunguza msongamano

    Katibu mkuu wa chama cha wasafirishaji abiria (Taboa) ndugu Mrutu ameiomba Tamisemi kuhakikisha vituoni wanabakia wasafiri tu ili kupunguza msongamano nyakati hizi za majanga ya Corona. Mrutu amesema hata kwenye vituo vya daladala mfano Makumbusho kuna msongamano mkubwa sana wa watu lakini...
  5. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Habari wana jamvi, Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila...
Back
Top Bottom