msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Betting ni biashara inayolipa, mpaka radio zimeamua kuachana na malengo ya msingi zimehamia huku. TCRA mpo kimya tu

    Radios na TVs ila Radios sana sana, yaani ukifungua tu unakutana na tangazo la kamari. Kama zamani ilikuwa matangazo ya waganga wa kienyeji. Sasa hivi Radio zimeamua zichezeshe zenyewe michezo hii. Hii biashara inaonekana kulipa sana. Sijui tunatengeneza kizazi cha aina gani? Ukifungua hapa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani: Kijana aua watoto 19 wa shule ya msingi kwa kuwafyatulia risasi darasani

    Kijana mwenye umri wa miaka 18 ameua Wanafunzi 19 kwa kuwafyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb Elementary iliyopo Texas, akifanya tukio hilo kwa kuhama darasa hadi darasa, kabla ya vyombo vya usalama kumthibiti na kufanikiwa kumuua na yeye pia. Seneta wa Jimbo hilo, Roland Gutierrez...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Data Management kwa shule za msingi na sekondari

    .
  4. JamiiForums Tanzania Asante sana Chadema kwa maamuzi yenu ya leo, nafarijika kuwa bado kipo chama makini chenye msingi imara, hakiyumbi wala hakiyumbishwi!

    Mimi pia si Chadema ila namshukuru Jenerali Ulimwengu kwa kusema niliyotaka kuyasema, ni wakati muafaka sasa madaraka yawe mikononi mwa wananchi wenyewe pale pale walipo Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya, Kitarafa na Kimtaa! Jukumu hilo linaweza kusimamiwa tu na chama imara ambacho kaulimbiu yake ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna haja ya kumwambia mpenzi wako kuwa upo off mood bila ya kumpa sababu yoyote ya msingi?

    Hii tabia naona inataka. Kuota mizizi kwa mpenzi wangu, Mara nyingi ninapompigia kumjulia Hali, maana tunaishi mikoa tofauti amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi. Nashindwa kumuelewa kwamba anakuwa anamaaniaha Nini?kwamba nisimsemeshe au ni Nini? mwenye uelewa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Historia ya utumwa ifutwe msingi na sekondari

    Ukienda katika jamii zetu hata watoto wadogo ambao hawajui maisha yanaendaje wanaamini mzungu ni mtu bora kuliko mtu mweusi. Nimejiuliza sana dhana hizi zinatokana na nini lakini nimekuja kubaini kuwa dhana hizi walitujengea wakoloni enzi za ukoloni. waafrika walichukuliwa kama tabaka la chini...
  7. JamiiForums Tanzania Itel Yaanzisha maktaba Shule ya Msingi Ubungo NHC

    Mwishoni mwa juma lililopita tulitembelea shule ya Msingi Ubungo NHC kwaajili ya kuweka nguvu zaidi ya kuendeleza elimu, sote tunafahamu serikali inafanya jitihada kubwa sana kuendeleza miundombinu ya elimu ikiwemo kujenga madarasa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watoto. Hivyo nasi...
  8. JamiiForums Tanzania Kuwezesha Ufikiaji Stahiki wa Elimu ya Digitali Katika Taasisi za Elimu ni Utekelezaji wa Haki ya Msingi ya Watoto, Vijana

    Katika zama hizi za digitali, moja ya mambo yanayoibua mijadala sana ni pamoja na suala la ‘ujumuishaji wa digitali’ au mfumo jumuishi katika masuala ya kidigitali (digital inclusion). Hii inatafsiriwa kama dhana inayoshughulikia masuala yanayohusiana na ujuzi wa kidigitali na ufikiaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Tafakari yetu kwa shule za msingi.

    Wiki hii nilikuwa kwenye matembezi yangu mtaani mzazi fulani akiwa hoi anatoka shamba akakimbiliwa na mwanaye mtoto akamwambia mzazi,kule shule wameagiza traksut mzazi akaonekana kuzidi kuchoka mana hali ngumu ya maisha inampiga na mtoto ndiyo hivyo.Ukimuangalia mtoto kavaa yebo ametoka shule...
  10. JamiiForums Tanzania Mtaala mpya wa elimu kufundisha coding katika shule za msingi na sekondari

    Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding. Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu katika teknolojia na startups wanatuzidi. Sisi bado hatuko serious katika mambo mengi hata elimu yetu pia...
  11. JamiiForums Tanzania Katavi : Shule ya Msingi ina walimu sita tu, Mawimbi ya Radio hayafiki .

    Shule ya msingi Ilangu. Iliyopo katika kata ya Ilangu wilayani Tanganyika inakabiliwa na upungufu wa walimu pamoja na vyumba vya madarasa. Siyajali Odasi ambae ni Makamu Mwenyekiti wa kijiji hicho amesema kuwa shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya mia tisa (900) iliyopo kijijini kwake ina walimu...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanza: Wanafunzi watoro Shule za Msingi (19,133), Sekondari (7,594)

    Serikali Jijini Mwanza inatarajia kuanza zoezi la kuwaondoa watoto wanaoishi mitaani ambao wamekithiri hususani katikati ya Jiji kuhakikisha wanarejea katika familia zao na kupata haki yao ya msingi ya kurejea shule. Zaidi ya asilimia 90 ya watoto walio mitaani Jijini Mwanza wana umri wa kwenda...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanza jiji: wanafunzi wa shule ya Msingi Kasota wakipata Elimu chini ya Miti

    Wakuu Kwa mujibu wa Mkuu wa Shule hii, Hii Shule ina madarasa ambayo hayakidhi mahitaji kabisa. Shule iko katika manispaa ya jiji la Mwanza, ina eneo kubwa tu ambalo wangeweza kuongeza madarasa matatu ama manne kabisa ambayo yangekidhi mahitaji ya shule.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mageuzi ya kidemokrasia yaweka msingi kwa maendeleo ya Tibet

    “Kutoka mtwana kuwa bwana, na kuondokana na umaskini na kuwa na maisha bora, ni mambo mazuri zaidi niliyopata maishani mwangu!” Bibi Shiangchiu Ram mwenye umri wa miaka 77 ni makzi wa kijiji cha Anmaixi, Mji wa Chamdo, kusini-mashariki mwa Tibet. Ana nyumba nzuri kubwa ya orofa tatu iliyo karibu...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu Waongezeka

    Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu wa kufundisha madarasa ni Waongezeka. Hii ni baada ya malalamiko mengi kuandika Jf sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuendelea kutumia Kiswahili Shule ya msingi ni kujipiga mtama wa kitaaluma

    Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi. 1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza. 2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau. Hasara tunazopata 1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia azindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Msalato jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya Makao Makuu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha website au App ya Elimu, iguse wanafunzi shule ya msingi mpaka university

    Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university. Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule direct, mtabe wala smartclass. Nilikuwa nawaza kuwa na app ya kuuza vitabu ila nikaona bado utamaduni...
  19. JamiiForums Tanzania Ushiriki Huru wa Wananchi Katika Shughuli za Kisiasa Ndiyo Msingi Thabiti wa Utawala Bora

    Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya maamuzi hayo. Ushiriki huu ni sehemu muhimu ya utawala wa kidemokrasia. Lengo kuu la...
  20. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni haki ya msingi kwa kila mtu; usimamizi sahihi wa ulinzi huo ndio mfumo fanisi wa kuilinda haki hiyo

    Haki za Kidigitali kimsingi ni haki ya binadamu katika enzi hizi za mtandao. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, kuwatenganisha binadamu na mtandao ni ukiukaji wa haki hizi na ni kinyume na sheria za kimataifa. Kadiri tunavyoendesha maisha yetu mtandaoni - kununua, kushirikiana kijamii na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…