Sawa umeamua kuleta karata ya Udini hii ndo inaenda kukudumbukiza kabisa shimoni wewe na huyo anaekushauri aya mambo Watu sio wajinga kwamba utawagawa kwa msingi ya dini...
Polepole amesema kuwa amekutana na mshauri mmoja ambaye anampenda sana Rais Samia, na kwamba wakati wote wa majadiliano yake, yeye Polepole alipotaka kuzielekeza lawama zake kwa Samia, huyo mshauri alikataa kabisa na kusema kuwa Rais Samia ni mtu mzuri sana ila kuna watu waovu ndio...
Salaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,
Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea...
Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
Hali inazidi kuwa tetes hivi Israel inawapataje hawa? Hili ndo swali ninalojiuliza kila wakati. Maana naona wao wanaua mara moja tu. Sisi tulishamuua sana Benjamini Netanyau kwa mujibu wa Ritz kipindi flani alikuwa kila mara akipost habari za kuuawa kwa Netanyau.
Mzee Ayatollah anaachwa mpweke na lile vazi lake, huyu mshauri ndiye alikua mojawapo wa watu wa karibu yake sana, kawahishwa kwa mabikira 72.
Israel imeamua kwanza kutomgusa Ayatollah ajionee Iran inavyoporomoka.
----++++++
senior adviser to Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, Ali...
Ni ukweli usiopingika kuwa Mzee Mbowe na Lema ni ndugu wa karibu kabisa na wametoka eneo moja (Machame).
Pamoja na ukaribu huu ,Mzee Mbowe hakuwahi kumtegemea Lema kama mshauri wake wa kisaasa kutokana na sababu zifiatazo;
1.Lema anaao upeo mdogo sana wa kufikiri kutokana na kushindwa...
Habari ya mchana
Kuna jamaa amenisaidia sana kwa ushauri uliobadilisha maisha yangu baada ya kutengana na mke wangu miaka kadhaa iliyopita na kupata weweseko kidogo. Nimeona nishee maelezo haya ili kama Kuna mtu anayepitia mateso ya kisaikolojia basi aweze PATA nafuu. Sina maslahi na huyu mtu...
Elon Musk, mshauri mwandamizi wa Rais wa Marekani, Rais Trump, amtaka bosi wake huyo kumpa msamaha muuaji, Derek Chauvin, mweupe, aliyekuwa na cheo cha afisa wa polisi nchini humo.
Elon Reeve Musk ni tajiri mkubwa anayemiliki kampuni za Tesla, Inc., SpaceX, na Twitter, na pia ofisa mwandamizi...
Habari Wakuu. Binafsi sijaleta mada hapa kama njia ya kutetea watu kuishi maisha yanayohatarisha afya zao. Ila nakumbusha tu kwamba hapa JF kufikia 20100, wote hatutakuwepo pasipo kujali wanaolinda Afya na wasiolinda.
Binafsi mimi napenda kuishi katika maisha yanayonipa furaha ila licha ya...
Kwako Rais wa JMT,
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan,
Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia kufika muda na wakati tukiwa tu wazima wa afya na kuendelea kulijalia Taifa letu amani, umoja na mshikamano.
Pia, nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya...
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
Naomba nisiseme sababu hapa ila kama Raia Tukuka wa Afrika Mashariki naomba atulie Kwanza kwani Hali ya Anga kwa sasa si nzuri Kwake.
Na kama itampendeza basi ajitahidi mno kwa mwaka huu wa 2025 aende akatulie nje ya nchi na asijishughulishe sana na Siasa za Afrika Mashariki na Afrika kwa...
Wataalam wa aina hiyo wanapatikana Tanzania? Nafahamu kuwa Tanzania kuna watu waliosomea masuala ya FINANCIAL PLANNING, lakini sikumbuki kama nimeshawasikia Watanzania wakishuhudia jinsi ushauri wai ulivyowawezesha kufikia malengo yao ya kifedha!
Lakini kupitia baadhi ya vitabu nilivyovisoma...
Heri ya Xmas
Niende kwenye mada kwa Tanzania asaiv huenda bwana DUDU BAYA akawa ndio MSHAURI mashuhuri wa NCHI hii ni baada ya kuona ikitokea sintofahamu yoyote nchini waaandishi mara moja hukimbilia kumuomba ushauri au maoni iwe kisiasa kimapenzi nk...
Wakuu.
Hata baada ya kusema kuwa this time around hatohusisha wanae kwenye uongozi wake, Trump inaonekana ameendelea kuteua watu wake wa karibu.
Hivi karibuni Donald Trump amemteua Massad Boulos, baba mkwe wa binti yake Tiffany, kuwa mshauri wa masuala ya Waarabu na Mashariki ya Kati...
Habari JF , kuna kipindi nliwahi anzisha uzi ambao lengo lake lilikuwa ni kujua ni nani hasa mmiliki wa UTT , nlipata majibu mengi ambayo yalinirodhisha kwa Asilimia kama 70 .
Najua biashara ina risk zake , Voda, UTT kwa kiasi chache Tunawajua wamiliki .
Mabenki iko wazi umiliki wake .
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.