mshambuliaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC Kocha Robertinho akiendelea Kutompanga Mshambuliaji Moses Phiri nitamtaja Kiongozi anayemchukia

    Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila kitu anakalishwa Benchi. Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
  2. Kurunzi

    Yule Beki wa Marumo Gallants Tshepo Gumede wa Marumo Gallants alikimbizwa na Yanga Fiston Mayele Akubali Mziki Wake, Afananisha na Ronaldo

    Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya kuanza mbio hizo. Haikuwa kukimbiza pekee Mayele akaenda kutoa pasi ya maana akimlipa Kennedy...
  3. M

    Nasubiria kusikia Adhabu Kali kutoka TFF kwa Mshambuliaji Mayele na Kocha Nabi

    Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa. Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila...
  4. Izy_Name

    Simba SC yatinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia huko twitter

    Klabu ya Simba SC Kutoka Tanzania Inatinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwenye Mtandao wa Twitter Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia linaloendeshwa kupitia mtandao wa...
  5. Izy_Name

    Mshambuliaji Jean Baleke awasha moto Simba SC

    Habari kuhusu mshambuliaji Jean Baleke wa Simba imewaacha mashabiki wa Yanga wakishangaa kutokana na ubora wa mchezaji huyo katika kupiga mabao. Baleke amekuwa akifunga mabao kwa wingi na kwa sasa kocha wake amewapa mabosi wa Simba ramani ya kumweka ndani ya timu hiyo. Kocha wa Simba...
  6. Yoda

    Freeman Mbowe kapaki basi, kaamua kuwa mlinzi zaidi ya mshambuliaji

    Baada ya kuondolewa zuio haramu la mikutano ya kisiasa, alichokifanya Mbowe katika ufunguzi kwa kumsifia Rais Samia badala ya kujikita katika hoja za kushambulia ni mkakati wa kisiasa wa aina yake. Ukitizama vizuri baada ya mkutano wa kwanza wa CHADEMA Mwanza, MATAGA ndilo kundi linaloonekana...
  7. Suley2019

    Kocha Robetinho wa Simba ataka Mshambuliaji

    Baada ya kufanya mazoezi na kikosi kwa siku mbili katika kambi waliyoweka nchini Dubai Kocha Mkuu Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amejiridhisha kuwa anahitaji mshambuliaji mwingine. 🔹 Robertinho amesema kikosi chake kina washambuliaji wazuri huku akimwagia sifa Nahodha John Bocco lakini ameweka...
  8. Labani og

    Musonda: Mfahamu mshambuliaji hatari kutua Yanga wiki ijayo

    Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo kujiunga na Yanga, Kitenge (2023). Sifa za huyu mwamba; ~ Unaambiwa huyu...
  9. GENTAMYCINE

    Mshambuliaji wa KMC FC Mateo Antony, wewe ni 'Mnafiki' na zaidi ya 'Yuda Iskarioti' katika Biblia

    Na usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary. Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo kucheza mpira na kuisaidia timu yako ya KMC FC ipate ushindi dhidi ya...
  10. M

    Asante kwa aliyetuletea Fiston Mayele, Yanga tulikosa mshambuliaji wa aina yake kwa muda mrefu kidogo

    Habari wanamichezo, Juzi niliangalia goli alilofunga Mayele, kasi yake alvyopokea mpira, utulivu wake, akili yake ya kufunga, control yake hakika niseme asante Engineer Hersi kwa kutuletea huyu mtu. Wanayanga tulimkosa huyu mtu kwa muda mrefu sana tangu Yanga ya Donald Ngoma nadhani hatujapata...
  11. T

    Movements za striker wa Simba zinafanana kabisa na Mshambuliaji wa Juventus, Dusan Vlahovic!! Ni suala la muda tu awadhihirishie ubora wake

    Bila ya salamu!! Toka karne hii ya 21 ianze hakujawahi kutokea katika ligi kuu ya soka ya Tanzania kupata mshambuliaji mwenye movements bora ndani ya eneo la kumi na nane kama alivyo mshambuliaji wa miamba ya soka ya Tanzania, Simba Sc,Mheshimiwa Dejan Georgijevic. Sehemu pekee ambapo...
  12. luangalila

    Uongozi wa Simba fanyeji usajili wa mshambuliaji (readmade) sio huyu mzungu

    Tuna muda mchache sana kuelekea Mashindano ya CAF lazima macho yenu na akili zenu zifanye kazi chap chap hatuwezi fika popote katika mashindano ya CAF kama striker ni huyu Dejan Simba haitajin striker wa kumpa muda anatakiwa striker wa kuja kufunga sio huyu wa kumjaribu
  13. demigod

    Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

    Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC. Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani...
  14. Little brain

    Inasikitisha sana hakuna mshambuliaji wa simba mwenye magoli 6 mpaka sasa

    Inasikitisha sana wachezaji wetu wanaoimbwa kila siku kwamba ni wakali hawajamfikia hata mpole japo anacheza kwenye timu dhaifu ila ana goli 8, . kina sakho sijui chama hawapo hawajafikisha hata goli tatu lakini ndio ma star wetu msimbazi..! kwa kweli wachezaji wetu ni level ya dar city tu
  15. Area 56

    Mayele ndio kinara wa Magoli mpaka sasa, kuna mshambuliaji kazidiwa na wazawa, aibu

    Huu ndio msimamo, sasa yule straika wenu kazidiwa hata na mzawa George Mpole😂 afu mnataka kusema eti Mayele ajifunze kwake, kueni walau na aibu.
  16. I

    Kwa mshambuliaji aina ya Kibu Denis unaonyesha kwasababu gani Simba wanapata tabu kupata matokeo.

    Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa...
  17. M

    Wana Simba SC wenzangu tafadhali tumkope Akili Beki Dickson Job na tumpe Mshambuliaji wetu John Boko ili zimsaidie Kiufanisi Uwanjani

    Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana. Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu (...
  18. N

    Rivers United tumeuza mshambuliaji Sweden

    IGWEEEE! Mshambuliaji wetu Godwin Aguda kasajiliwa na team ya Falkenberg inayoshiriki ligi daraja la kwanza huko Sweden,tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya kisoka Vilevile Nitaendelea kuwajuza maendeleo ya team katika michuano maalumu ya kujipima nguvu inayofanyika huko Benin...
Back
Top Bottom