njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,663
IGWEEEE! Mshambuliaji wetu Godwin Aguda kasajiliwa na team ya Falkenberg inayoshiriki ligi daraja la kwanza huko Sweden,tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya kisoka
Vilevile Nitaendelea kuwajuza maendeleo ya team katika michuano maalumu ya kujipima nguvu inayofanyika huko Benin ambapo kuna teams kama Horoya na As vita zinazoshiriki
INBOX NA DM zinaruhusiwa kwenye page za club na wanachama kuwapa mbinu haramu zitakazotumika uwanja wa mkapa tarehe 12 September, nishaanza kufanya hivyo karibu week nzima kama umesikia lolote litakalokuwa na manaufaa kwa team yetu ya Rivers utd nitaarifu nitawafikishia