mshahara

  1. JamiiForums Tanzania Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿 Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu, bali makundi yote yameguswa chanya na serikali yetu, utaona ruzuku zimejaa kila Kona ya nchi, na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

    kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mchezaji yupo tayari kucheza Yanga kwa mshahara mdogo kuliko uwezo wake ila anaifia timu, Kuna siri gani wanaitumia Yanga?

    Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k. Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench...
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada , je Huu si uchepushaji wa Mshahara?

    Dogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara. Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake . Na anadai kwenye kureport walikua wanapeleka kilakitu Kwa Nakala ,hivo sio rahisi kusema kwamba labda aliandika...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa clinical officers 2

    Habari Wana JF Naomba kuliza kiwango Cha mshahara wa clinical officers 2 kwa serikalini wanalipa shingapi
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa clinical officers 2

    Habari Wana JF, Nauliza mshahara wa clinical officers 2 hua nishingapi kwa sasaivi kwa mwajiriwa wa serikalini
  7. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni waoga wa maisha, wanamshangaa Mbowe kukataa ajira benki kuu, una baba tajiri wa kukupa mtaji mrefu na connections, bado uajiriwe ?

    Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha, Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote, anaweza kukupa mtaji mrefu bila kujiuliza mara mbili, uende kuhangaika kwenye ajira za mshahara wa milioni...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiona mfanyakazi anamiliki vitu havilingani na mshahara wake hiyo ni Red flag

    Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wasiwasi , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi maisha yanayozidi mshahara wake. Waajiri kuweni makini hizo ni Red flag za kupigwa
  9. JamiiForums Tanzania Kuwazidi mshahara kidogo tu kumenitengenezea maadui kazini.

    Wakuu habari za jion? Waswahili walisema dunia hadaa ulimwengu shujaa, ndio hii sasa nakutana nayo mimi. Nilikuwa muajiriwa wa kampuni (A) hivyo kampuni (B) walinitafuta sijui ni wapi walipata namba zangu. Hr wa kampuni (B) alisistiza kuwa wanahitaji huduma yangu, na mimi pasina kusita...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna kijana anauliza huu ni mshahara kiasi gani 'TRAS 1:1' ?

    Ufafanuzi wakuu hapa kuhusu hiki kiwango cha mshahara .
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa instructor wa puplic sector ambao ni ptss 3 unaweza ku range shilling ngap naomba mnifahamishe niweze fanya maamuz

    Mshahara wa instructor wa public sector ambao ni ptss 3 unaweza ku range shilling ngap naomba mnifahamishe niweze fanya maamuz
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri-DKMs ubadilishwe toka kwenye uongozi wa Dr. Munga kwenda kwa Ask. Dr Mbilu Msafiri, na...
  13. JamiiForums Tanzania Ikiwa ndani ya chadema wanaolipwa mshahara hawafiki watu 20 je ile ruzuku mil 300 ambayo chadema walikuwa wakiipokea mwaka 2015 -2020 ilienda wapi?

    Nimeshangaa juzi kumsikia MTU anayejiita Mbowe , Kwa kusema moja ya faida ya maridhiano ni chama kupata ruzuku ambayo ni bil 1 .6 iliyotumika kununua jengo ambalo ndo ofisi ya chadema na makao makuu HQ . Swali ikiwa mlikuwa mnapata ruzuku mil 300 Kwa kipindi cha miaka 5 ambayo ni sawa na Bil...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mkemia uanaeanza kazi salary scale ipi na je ni tofauti kwa tbs,gcla tpdc na wizara kwa chief pharmacist.

    Naomb kujuan salary scale ya mkemia kwa tbs,gcla na tpdc,nimr,nm
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara, nifanyeje?

    Wakuu nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara! Nishauri kama unajua kitu Wakuu msaada tafadhari.
  16. JamiiForums Tanzania NMB mshahara umeingizwa?

    Sina mengi kwenye hizi tarehe aisee je NMB mshahara umeingizwa tayari? Au ndiyo bila bila?
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar kwenye sikukuu ya Idd mwezi Aprili walilipwa mshahara tar 16. Huku Tanganyika Christmas mshahara hakuna

    Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!! Ila ona huku mpaka leo kimya.. Tujikumbushe hapa Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Watu wanaolipwa mshahara ndani ya CHADEMA hawafiki 20

    Wakuu, Naona Uchaguzi wa safari hii ndani ya CHADEMA mambo yamekuwa ya moto mno to the point where viongozi wameanza kuvujisha siri za kambi. Akizungumza siku ya leo kwenye mahojiano na Global TV, Tundu Lissu amesema kuwa, notion iliyopo ndani ya CHADEMA kuwa kuna mtu mmoja tu anajitolea...
  19. JamiiForums Tanzania Hiki ni kiwango gani Cha mshahara?

    Wakuu Salary scale TAAS 3 Hiyo ni bei gani?
  20. JamiiForums Tanzania Kuishi bila kugusa mshahara wake,Makonda anastahili kutumbuliwa haraka

    Nadhani rais Samia huko aliko anajuta kunrudisha makonda mjini. Enzi za hayati Magufuli kuna mama mmoja bosi wa kituo cha uwejezaji nchini,alitumbuliwa kwa kosa la kutotumia mshahara wake Mama huyo alikuwa akifanya kazi inayomlipa sana nje ya nchi,Kikwete akamuomba aje kujenganchi japo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…