mshahara wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teko Modise

    Hivi ni kweli mshahara wa Rais ni Milioni 9 kama alivyowahi kutuambia Hayati Magufuli?

    Enzi ya uhai wake, hayati Magufuli aliwahi kutuambia kuwa analipwa shilingi milioni 9 kwa mwezi na akirudi toka mapumzikoni Chato atatuonyesha hati yake ya mshahara (salary slip). Bahati mbaya mpaka anaingia kaburini hakuwahi kutuonyesha hiyo salary slip yake. Je, ni kweli mshahara wa Rais ni...
  2. James Martin

    Naomba mshahara wa Rais upandishwe uwe kama zamani

    Kwanza napenda kumpongeza mama yetu mpendwa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya. Kitu kingine ningeomba sana mshahara wa Rais upandishwe tena uwe angalau kama enzi ya Rais Kikwete. Magufuli alijishushia mshahara lakini lazima tujiulize, je alikuwa anauhutaji? Kwa kuanza tu...
  3. Dumelang

    Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

    Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato. Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na...
Back
Top Bottom