Ni binti huyu mtoto wa 2000, nilimweka anisaidie dukani.
Mishahara kwa maduka mengi ni laki hadi laki na nusu, mimi nampa 180k.
Kila siku anachukua 5k,
Nimeweka wifi dukani ya ttcl asiboreke sana, 55k kwa mwezi.
Jumapili siku ya kupumzika
Leo kuna namna nimeweza kunakili chats zake zote...
Mimi ni mmoja wa wafanyakazi katika taasisis moja wapo inaratibiwa na HJFMRI hawa wamechelewesha mshahara ,
Mshahara wetu WA mwezi wa nne mpaka Leo hatujapata na tukijaribu kuuliza halmashauri ya mbeya inajibu payroll yetu ishawasilisha je hii ni haki , na kazi bado tunaendelea kufanya pasipo...
Habari wana JF
Natumaini tuna vipato tofauti tofauti humu ndani embu leo tupeane utaalamu kidogo wewe unaweza kusave kiasi gani kwa mwezi na ni asilimia ngapi ya kipato chako kwa mwezi hiyo ela unayosave na Je kama huwezi kusave kabisa ni nini kinakukwamisha.?
Binafsi kwa mwezi nimejiwekea...
Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.
Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.