msata

Serial ATA (SATA, () abbreviated from Serial AT Attachment) is a computer bus interface that connects host bus adapters to mass storage devices such as hard disk drives, optical drives, and solid-state drives. Serial ATA succeeded the earlier Parallel ATA (PATA) standard to become the predominant interface for storage devices.
Serial ATA industry compatibility specifications originate from the Serial ATA International Organization (SATA-IO) which are then promulgated by the INCITS Technical Committee T13, AT Attachment (INCITS T13).

View More On Wikipedia.org
  1. Plot4Sale Mashamba Bagamoyo Chalinze

    Kwa anayehitaji Mashamba pori Wilaya ya chalinze na Bagamoyo kwa ajili ya kilimo,ufugaji na ujenzi anichek 0626431257. (MWAVI,KIWANGWA,TALAWANDA,MSATA,MWETEMO,MASUGURU,NK) WHATSAPP/CALL:- +255626431257
  2. Miji ya Chalinze na Msata kama lango la jiji la Dar es Salaam haipaswi kuwa vile kama ilivyo

    Kama unakaribia Dar es Salaam kama umetokea morogoro ni wazi kwamba ukifia chalinze ni kama unaanza pata picha jiji la dar es salaam, same kwa msata kama unatokea njia ya Tanga ukifika msata ni kama umeanza kupata picha ya Dar es Salaam Ila cha ajabu unapofika chalinze au msata haya maeneo sio...
  3. GYM nzuri Msata au Chalinze inapatikana wapi?

    Habarini wanajamiiforums... Naomba kuuliza ni wapi kuna gym nzuri mitaa ya Msata au Chalinze
  4. Kumbukizi za Kilingeni Msata: Aina mbalimbali za hirizi na makafara

    Kwa mahitaji na matumizi mbali mbali Kuharibu Kutengeneza Kukinga Kulinda Kufungwa Mvuta nk
  5. P

    Shamba linauzwa heka 60 lipo msata

    Shamba Lina ukubwa wa heka 60 lipo msata umbali kilometers 3 kutoka balabala ya lami msata bagamoyo Lina nyumba ya tofali vyumba 2 bei 350,000 wa Kila heka Kwa mawasiliano 0659891515
  6. Ridhiwani Kikwete na Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wajumuika kwa futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani

    KUMI LA PAMOJA CHALINZE Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani. Futari hii iliyokutanisha Masheikh na...
  7. Kwa wenyeji wa Msata (Bagamoyo)

    Heshima yenu wakuu. Naomba uzoefu wenu kuhusu MSATA. Je Kuna fursa gani ya BIASHARA mtu anaweza kufanya? Vipi kuhusu Gharama za nyumba za kupanga? Au Kama Kuna sehemu nyingine NI nzuri kwa BIASHARA pia sio mbaya kama utasema Msaada wenu tafadhali,ndugu yangu anahitaji kujua.
  8. J

    Fedha za mauzo ya kitabu "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" kilichoandikwa na CDF Mabeyo zakarabati Msikiti na Kanisa huko Msata!

    Wakazi wa Msata wamemshukuru Mkuu wa majeshi nchini Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kwa kutoa sehemu ya fedha za mauzo ya kitabu chake kiitwacho "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" ili kukarabati Msikiti na jengo la Kanisa Katoliki katika eneo lao Naye mkuu wa shule ya jeshi Msata ameahidi kusaidia...
  9. Vijana 10 wa JKT Msata kufariki wakiwa kambini wa kuwajibika wawajibike tu

    Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika na wa kuwajibishwa...
  10. Jando na unyago toka kilingeni Msata

    Kazi ya ugaguzi ina vitengo vya customer care, ushauri nasaha, afya, ndoa na mahusiano..... Si kila wakati ni matunguli na vibuyu... Kuna nafasi pia za kuangusha moja moja.. Na kufanya bumpingi.... Kuna maneno watu wazima wakiwa wenyewe huyatamka.. Na pengine bila kutaka, yani sio kwa hiari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…