Kwa wenyeji wa Msata (Bagamoyo)

Ester505

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
794
1,030
Heshima yenu wakuu.
Naomba uzoefu wenu kuhusu MSATA.
Je Kuna fursa gani ya BIASHARA mtu anaweza kufanya?
Vipi kuhusu Gharama za nyumba za kupanga?
Au Kama Kuna sehemu nyingine NI nzuri kwa BIASHARA pia sio mbaya kama utasema
Msaada wenu tafadhali,ndugu yangu anahitaji kujua.
 
Back
Top Bottom