msaada wa kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Moshi: Mahakama yatoa ahirisho la mwisho kesi ya makosa ya mtandao ya Mchungaji Malisa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imeahirisha usikilizwaji wa mashahidi wa upande wa mashtaka katika kesi ya makosa ya mtandao inayomkabili Mchungaji Godfrey Malisa, baada ya mshtakiwa kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo akisubiri msaada wa kisheria kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)...
  2. Heparin

    GE2025 Boniface Mwabukusi: Kumtuhumu Heche kwa Ugaidi ni kumwaga Petroli kwenye moto, DPP na Polisi acheni kuwachokoza tena vijana

    Ofisi ya mashtaka ya taifa (DPP) na Polisi kwa matendo yao wanamwagia petroli wakidhani wanazima moto. it is an illusion kumtuhumu John Heche kwa ugaidi. Achaneni na huo upuuzi. Hali ya Usalama siyo nzuri kuendelea na desturi zenu za kupika Kesi ili kubambika watu mnatia aibu taaluma na mnakera...
  3. Mafyangula

    GE2025 Luhende: Tutaanzisha dawati maalumu la kisheria la kuwasaidia wale wananchi wasiokuwa na uwezo wa kupata wanasheria

    Kutokana na changamoto za msaada wa kisheria zinazodaiwa kuwakabili wakazi wa Jimbo la Bukene, Mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) John Luhende, ameahidi kuanzisha dawati maalumu la kisheria na kuajiri wanasheria kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa Jimbo...
  4. Mkyamise

    Msaada wa kisheria unahitajika

    Naombeni wataalam wa sheria mnisaidie. Kuna hospitali moja nimewahi kwenda kupata matibabu. Sasa imekuwa kero kila uchao. Natumiwa sms kila wakati kama matangazo ya huduma zao. Naombeni ushauri ninataka kuwashtaki kwa usumbufu wanaonisababishia.
  5. Frustration

    MSAADA WA KISHERIA WA ARDHI

    Habari wanajf kwa ujumla. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja kwa kuanza kutoa maelezo mafupi. Mashamba ya familia yangu yapo kijiji jirani na mashamba hayo tuliyapata wakati huo tukiwa kijiji kimoja ila baada ya kujigawa ikawa mashamba yetu yapo kijiji kingine. Kuna viashiria vya...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Familia ya Bushiri Pazi wamshukuru Rais Samia kwa msaada wa kisheria waliopata kurudisha nyumba yao

    Familia ya Bushiri pazi wamshukuru Rais Samia kwa msaada wa kisheria waliopata kurudisha nyumba yao iliyopo Congo mchikichi iliyodhulumiwa kwa takribani miaka 25 iliyopita
  7. M

    Kanuni za Ulinzi wa Mashahidi zitatumikaje kwenye kesi dhidi ya Lissu?

    Naomba kusaidiwa na wanasheria nguli waliomo humu jf na msaada wenyewe ni kuhusu kanuni za ushahidi zilizokuwa gazetted jana tarehe 17 July 2025. Kanuni hizi zinawezaje kuwa applicable kwenye kesi ya Lissu iliyofunguliwa April 2025 ambayo kimsingi ni nyuma ya kanuni kwa miezi mitatu? Na Kama...
  8. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba

    Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba Watu zaidi ya 3,000 wamepatiwa msaada wa kisheria na Wizara ya Katiba na Sheria, ndani ya siku 13 kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), Sabasaba, yanayoendelea. Kauli hiyo imetolewa na...
  9. F

    msaada wa kisheria kuhusu mchakato wa madai ya kuachiswa kazi

    Habari Nahitaji ushauri nlikua nimeajiriwa na benjamin mkapa foundation chini ya mradi wa USAId Afya endelevu,baada ya agizo la trump la kusitisha miradi ya USAID la january tukarudishwa kazin february then march ikatolewa notisi nyingine ya kusitisha mradi wa afya endelevu,ambao mwajiri ambae...
  10. Stud

    Msaada wa Kisheria Bure Forever—Kwa Nini Wengi Hawataki Hii Itokee?

    ...
  11. innocentmark

    Rafiki yangu anaomba Msaada wa kisheria

    Rafiki yangu ametengana na Mkewe wa ndoa kanisani.Mke anataka kumpeleka Dawati la Jinsia kuhusiana na Matunzo ya mtoto suala la shule...Ni hatua gani anapaswa kuzichukua ikiwa akiitwa huko?
  12. Just Pray

    PreGE2025 Makonda: Rais Samia ametuma timu ya wanasheria kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma timu ya wanasheria watakaokuwa Mkoani Arusha kwa siku kumi kuanzia Ijumaa Machi 28, 2025 kwaajili ya kusikiliza na kutatua migogoro ya kisheria kwa wananchi wa wilaya zote zinazounda Mkoa wa Arusha. Akimshukuru Rais Samia...
  13. Dalali wa Mjini

    Msaada wa kisheria kuhusu Ardhi

    Habari wakuu. Kuna mhusika ana eneo lake ukubwa ni heka moja Kwa vipimo vya macho lakini ndani ya Hilo eneo Kuna nguzo ya umeme laini kubwa ile ya 33. Sasa anataka kupeleka wataalamu wa Ardhi kwajili ya kupima ili kuweka mawe ya Ardhi (Bikoni). Gharama zimekaaje hapo wakuu na Je anaweza...
  14. Just Pray

    Rufiji: 16003 wanufaika na msaada wa kisheria wa Samia Legal Aid

    Jumla ya watu 16003 wakazi wa vijiji 30 wilayani Rufiji mkoani Pwani wamenufaika na msaada wa kisheria bila malipo kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria wa Mama Samia. Hayo yamebainishwa na mratibu wa kampeni hiyo Wilayani humo Gloria Baltazari ambaye pia ni Wakili wa Serikali anayehudumu...
  15. Just Pray

    Msaada wa kisheria Sumbawanga kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa

    Jumla ya Kata 10, Mitaa 15, Vijiji15, kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa huku wananchi 25,780 walifikiwa ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga katika zoezi la msaada wa kisheria ambalo kilele chake ni leo Machi 6 Katika Mkoa wa Rukwa. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa...
  16. W

    PreGE2025 Mwabukusi amuomba Rais atoe ruzuku kwa taasisi zinazotoa msaada wa kisheria

    Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 alisema kuwa kuna umuhimu sasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutoa ruzuku kwa taasisi zinazotoa misaada ya kisheria kwa wannachi...
  17. W

    PreGE2025 Mawakili wa Samia Legal Aid kusimamia kesi za wananchi mahakamani

    Wizara ya Katiba na sheria imetuma Mawakili wa serikali takribani 50 ambao kwa siku nane mfululizo watakuwa Mkoani Arusha, kusikiliza na kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Mkoa huo kupitia kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayokwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya...
  18. Mindyou

    PreGE2025 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Jumanne Sagini: Kampeni ya msaada wa Kisheria (Samia Legal Aid) itafikia mikoa yote mpaka Mei 2025

    Serikali imezindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha haki inapatikana kwa wananchi wote, hususan wale wenye changamoto za kisheria lakini wasio na uwezo wa kugharamia huduma hizo. Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika leo...
  19. Mindyou

    PreGE2025 Picha: Haya maandamano ya kuzindua Samia Legal Aid Campaign mkoani Mbeya yalikuwa na umuhimu gani?

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameongoza maandamano kutoka eneo la Mafiati hadi Viwanja vya Stendi ya Kabwe panapofanyika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) katika mkoa huo. Kampeni hiyo inaratibiwa na Wizara ya Katiba na Sheria.
  20. B

    RC HOMERA KUONGOZA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA- MBEYA

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria. Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya...
Back
Top Bottom