mrisho gambo

Mrisho Mashaka Gambo (born in Arusha) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament presently serves Arusha Urban Constituency since November 2020. He was also a District Commissioner and Regional Commissioner for the Arusha Region replaced by Iddi Kimanta.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    Mrisho Gambo aonekana kwenye msimba mwasisi wa CHADEMA mzee Mtei

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Mrisho Gambo, amewasili kwenye msiba wa marehemu Mzee Edwin Mtei, mmoja wa waasisi wa CHADEMA, huko Arusha. Hii ni mara ya kwanza kwa Gambo kuonekana hadharani baada ya kutoonekana kwa kipindi kirefu Gambo...
  2. T

    Mrisho Gambo wewe ni dhalimu kama madhalimu wengine.

    Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC. Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania? Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto. Usijifungamanishe na wana Arusha
  3. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Mrisho Gambo anaungana na Luhaga Mpina 'Arusha Oktoba tutalinda kura'

  4. M

    GE2025 Rasmi Paul Makonda ni mrithi wa Mrisho Gambo Arusha mjini

    Paul Makonda ameshinda kwa kupata kura zaidi ya elfu 9 ambayo ni sawa na 97% na kuwaacha mbali wenzake kwenye kura za maoni ya ccm kwenye jimbo la Arusha mjini. Wasiompenda msukuma mwana kolomije Paul Makonda sasa watakuwa nae sana hapo mjni =============== Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  5. DR HAYA LAND

    Kuna Watu pamoja kwamba umri umeenda ila hawajui kuelewa maana ndani ya neno analozungumza mtu ona sasa yule mama diplomatic anavyotoswa !.

    Ile kauli kuwa "Kuna li-MTU ambaye tuliamumini anapeleka mambo yetu nje" It was a sign that ur game is over in SISIEMU politics . Sasa kwa age yako Wasifu wako Maisha kijumla. Then unaenda kumuomba mkate MTU ambaye ameshakuonesha waziwazi hakutaki . Sielewi sisi wabantu tuna shida gani...
  6. Mganguzi

    GE2025 Mrisho Gambo anastahili Ubunge Arusha, anazo sifa ,huyu mwingine ni mchonganishi na mfitini anatakiwa kupewa ubunge labda wa kuteuliwa !

    Nawakumbusha CCM kwamba kazi kubwa wanayoipigania makada , kwenda bungeni na kuikimbia mikoa walimokuwa wameteuliwa kuongoza ,kwa ngazi mbalimbali kama u dc na u rc ni kwenda kupiga meza bungeni ,na kujihakikishia miaka mitano ya kuwa active na kula posho !! Hakuna miujiza atakayoileta Paul...
  7. simbeyetz

    Waraka wa pongezi na hamasa kwa Mrisho Gambo, mbunge wa Arusha Mjini

    Mheshimiwa Mrisho Mashaka Gambo, Mbunge wa Arusha Mjini, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa heshima na taadhima, ninayo furaha kubwa kukuandikia waraka huu kama kijana na mkazi wa Arusha, nikiwa miongoni mwa waliothamini kwa dhati utumishi wako wa dhati kwa watu wa jiji letu na taifa...
  8. E

    Tetesi: GE2025 Ole Sendeka na Mrisho Gambo wafyekwa kwenye mbio za Ubunge

    Wakati vikao vya ndani vya wilaya na mikoa vya CCM vinavyochuja wagombea vikiisha mkoani Arusha, taarifa zinadai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo wamefyekwa. Vikao hivyo vilivyoendeshwa kwa usiri mkubwa vimetaja watia...
  9. DuaZaMama

    GE2025 Arusha Mjini wapo tayari kumrudisha Gambo

    Baadhi ya wananchi katika Jimbo la Arusha Mjini wameeeleza nia yao ya kumuona Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Mrisho Gambo akirejea tena katika jimbo hilo kwa kipindi cha mwaka 2025- 2030 ili aendelee kuwasemea wananchi wakimtaja kuwa mfanyakazi hodari na mwenye kuijua vyema Arusha...
  10. The Zanzibar Echo

    GE2025 Ni Makonda vs Mrisho Gambo Arusha Mjini patachimbika bila jembe

    Mimi kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya Makonda anaenda kupita mwisho pale bungeni atapewa uwazir wa aina yoyote kama sio uwaziri mkuu mana Majaaliwa kwa za ndani ameshatolewa kwenye mfumo msisahau MAKONDA ndio mtu aliepndeekeza Samia we mgombea mweza wa Magufuli 2015 kwaio mama anahisi bado...
  11. W

    PreGE2025 Mtanange wa jimbo la Arusha Mjini utakuwa wa aina yake, Mrisho Gambo naye achukua fomu

    Mbunge anayemaliza muda wake wa jimbo la Arusha mjini na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huo Mrisho Gambo @mrisho_gambo amechukua tena fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania kuwa Mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika baadae...
  12. Knock life

    Mrisho Gambo jitahidi hii utakayopata ya kiinua mgongo uitumie vizuri kwakuwa haurudi Bungeni umeumiza sana watu

    Mrisho Gambo kwa jinsi ulivyoumiza watu Sana , nakupa huu ushauri huu usiharibu kiinua Mg on go chako kugombea. I hope you gonna shine with another way Nigga.
  13. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Balozi Nchimbi awakutanisha Paul Makonda na Mrisho Gambo, wapiga picha ya pamoja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025. Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Katibu mwenezi wa CCM Arusha: Gambo Aulizwe mke wake ni nani ndani wajumbe wa CCM

    Baada ya katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha kuulizwa kuhusiana na hela ambazo mke wa mbunge wa Arusha mjini mrisho Gambo alizigawa kwa wajumbe wa CCM akiwepo katibu mwenezi ndani ya kikao hicho Na mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo aligawa gesi na mke wake alitoa kama elfutano ya nauli ya...
  15. Dalton elijah

    PreGE2025 Mrisho Gambo ashauri wenyeviti wa mtaa kulipwa Laki 3

    Wenyeviti wa serikali za mitaa ndio msingi wa uongozi katika nchi hii, kama sasa hivi wanapita nyumba kwa nyumba, kuhakikisha kwamba wanatambua nyumba zilizopo, wanapiga picha ili mwisho wa siku serikali iweze kukusanya kodi kwenye sekta hiyo, wanafanya kazi kubwa lakini wanalipwa laki moja tu...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Mrisho Gambo: Ananyanyasa Watumishi kisa kuutaka Ubunge

    "Wangapi mlienda kwenye mkutano soko kuu? mlisikia maneno aliyoyapiga mke wangu? baada ya pale walienda kumsimamisha kazi na sasa yupo nyumbani ana amani kabisa na yupo tayari akiambiwa achague kazi au mume wake atachagua mume wake. Wanasema hana vigezo tukaulizana vigezo hana baada ya kuongea...
  17. TheMaster

    PreGE2025 Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Makonda hatoboi Arusha

    Kuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda. Nimezunguka kutaka kufahamu maoni ya wanachama waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha kuhusu mkuu wao wa Mkoa na hamu yake ya...
  18. ngara23

    Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

    Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
  19. vnn

    PreGE2025 Mrisho Gambo anapata wapi ujasiri wa kuposti mradi huu mtandaoni? Kama mbunge inabidi aone aibu!

    Mradi gani thamani yake hata elfu kumi haufiki? Hii nchi uhuru umepitiliza sana, Serious mbunge unapost hivi? Dharau zimezidi
  20. DR HAYA LAND

    Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong !

    Mrisho Gambo (MP) usilalamike wala kuumia stay strong ! That is ur karmic debt. - huu ndo muda unavuna kile ulichokipanda ukiwa RC na ukiwa DC , matatizo huwa hayakosei njia . Mtalalauana Sana na VITA yenu haitoisha salama lazima mtajane na kuvuana nguo. Jambo lolote baya au zuri alifanyalo...
Back
Top Bottom