mrisho gambo

Mrisho Mashaka Gambo (born in Arusha) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament presently serves Arusha Urban Constituency since November 2020. He was also a District Commissioner and Regional Commissioner for the Arusha Region replaced by Iddi Kimanta.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    Gambo kama MwanaCCM yupo sahihi, MAKONDA akiwa RC Gizani aliumiza watu wengi sana

    Watanzania wanatakiwa wajuez Watu wachafu wanakawaida ya kuvaa mavazi masafi. Makonda aliumiza Clouds Media Makonda aliumiza wafanyabiashara wengi sana kwa Kutumia Jina la Magufuli. Makonda ametajirika isivyoajabu kwa Matendo ya kihuni na na kikatili aliyonayo . Ilifika wakati Makonda...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Mrisho Gambo: Mimi na yeye nani ameumiza wengi?

    "Kuna mambo mengine sikutaka kuyasema kwasababu nina uwezo mkubwa sana wa kupuuza lakini nimechokonolewa sana na baadhi ya watu kiasi ambacho inawezekana kuna baadhi ya watu mkachanganywa. Kwahiyo kwasababu nimelazimishwa, mengi nitapuuza, nitasema walau moja, naomba mnikubalie. Kuna mtu mmoja...
  3. Erythrocyte

    Baada ya Muda Mfupi Ujao Wataanza kutaja Majina ya Watu waliowaumiza na huenda wakamtaja hata aliyekuwa anawatuma

    Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mjini Arusha, Mrisho Gambo, Ameongea mengi sana. Lakini liko moja lililowaamsha Wananchi na kuanza kwa minong'ono, Bwana Gambo amewauliza Wananchi kwamba , Nanukuu " Kati yangu mimi na yeye nani kaumiza wengi? " Mwisho wa kunukuu. Baada ya swali hilo...
  4. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Gambo nilianza kumdharau siku ile alipowafukuza wafadhili walioletwa kujenga hosptali ya akina mama na watoto

    Hakuna siku roho iliniuma kama siku ambayo Mhe. Lema alileta wafadhili watujengee hospital yakina mama na watoto lakini huyu jamaa anajiita Gambo alikataa kuweka Jiwe la msingi Eti kisa ni upinzani umeleta hayo maendeleo yaani nilimuona katika watu bogus na wajinga katika Taifa hili huyu...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Meya jiji la Arusha: Mrisho Gambo ndiye anayemchokoza Makonda, ni mgomvi kwa kila mtu

    “Si kwamba namtetea Makonda lakini katika sakata lao hili, Gambo ndie anaemchokoza Makonda, Gambo ana ugomvi na kila kiongozi anayekuja Arusha, alikuwa na ugomvi na viongozi waliopita wakina John Mongela, Kennani Kihongozi hata mimi hayuko sawa na mimi” Maximilian Iranqhe - MEYA JIJI LA ARUSHA...
  6. Erythrocyte

    PreGE2025 Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta

    Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu, Yeremia 17: 5-7) Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho...
  7. Orketeemi

    PreGE2025 Paul Makonda: Gambo waombe radhi uliowaumiza

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amemtaka Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo kuomba radhi kwa watu aliowaumiza, huku akitaja kuwa aliwafitinisha. Makonda amesema hayo wakati akizungumza katika maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano yanayofanyika leo kimkoa katika uwanja wa Soko la...
  8. Carlos The Jackal

    Kwa hiyo Mrisho Gambo, kuomba kwako MSAMAHA unakiri kua Umetoa Taarifa za Uongo Bungeni zenye chuki na kisasi dhidi ya Makonda na Mchengerwa?.

    Duuhh Gambo Gambo Gambo !!
  9. funaku

    Mrisho Gambo anaweza kuwa na hoja lakini amekosea namna ya kuwasilisha

    Inawezekana Mbunge wa Arusha alikuwa na hoja muhimu lakini amefanya makosa namna ya kuiwasilisha. 1-Kosa la kwanza yeye alikuwa ni mmoja wa wanaserikali ambao mara nyingi hupingwa na jamii. 2-Kama mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Serikali yapo mengi sana aliwahi kuyafanya na kuyaamua ambayo...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Gambo akubali yaishe. Aomba radhi na kufuta kauli yake

    Wakati wa kuhitimisha mjadala wa leo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kuna ombi la Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo anataka kusema jambo. Amesema kwa kutumia kanuni namba 70 ya kanuni za Kudumu za Bunge Tolea la Februari 2023 anampa nafasi ya kusema ambayo inasema kutokusema uongo...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Mchengerwa: Gambo hakushiriki kikao lakini posho alichukua

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa, leo amefichua kuwa malumbano ya kiuongozi katika utekelezaji wa mradi mmoja yalikwamisha maendeleo kwa kipindi kirefu hadi pale Waziri Mkuu alipoingilia kati mwaka 2023. Akizungumza mbele ya...
  12. J

    Mrisho Gambo: Ninapitia mateso lakini Yesu Kristo alishapitia mateso makubwa zaidi kwa ajili yangu, Leo Nimezaliwa Upya!

    Mbunge wa Arusha mjini mh Mrisho Gambo amesema ikiwa mwana wa Mungu Yesu Kristo alipitia mateso yeye Gambo ni nani hadi asiteseke? Gambo amesema ibadani kwamba anapitia mateso lakini Yesu Kristo alipitia mateso makubwa kwa ajili yake na amejihisi Leo amezaliwa Upya Source: Upendo tv Mlale unono 😁
  13. Cute Wife

    PreGE2025 Gambo achangia milioni 1 na bati 50 Kanisa la KKKT Sinoni

    TEC na Shura ya Maimamu waongeze sauti, huu upuuzi ukome. Hivi madehebu mengine hawaoni aibu wenzao wakiwa mstari wa mbele kupigania haki wao wakibaki kuwa chawa?🤔🤔 ==== Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameahidi kuchangia uboreshaji wa miundombinu katika Kanisa la Kiinjili la...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Gambo aibua tuhuma za ufisadi wa mabilioni Arusha, Spika Tulia amwagiza Mchengerwa kuandaa ripoti iwasilishwe Bungeni

    Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, amedai kuwepo kwa harufu ya upigaji fedha katika Ujenzi wa Jengo la Utawala Arusha. Akiwasilisha hoja yake leo, Jumatano Aprili 16, 2025, wakati akichangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Mrisho Gambo: Naibu Waziri upo tayari kujiuzulu?

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amembana maswali mawili madogo ya nyongeza Naibu Waziri Ofisi ya Rais (Tamisemi), Mhe. Dk. Festo Dugange kama yopo tayari kujiuzulu endapo ujenzi wa stendi maeneo ya Bondeni City jimboni kwake hautaanza mpaka ifikapo Mei, 2025. Kupata matukio na taarifa zote...
  16. Just Pray

    PreGE2025 Mrisho Gambo atoa msaada kwa wajasiriamali Arusha mjini, waimba 'Dear Gambo hatudanganyiki'

    Wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo mkoani Arusha wamemshukuru Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuhimiza sera na kuweka mazingira wezeshi ya kufanyia biashara nchini. Wafanyabiashara hao wamesema kuwa...
  17. Mindyou

    PreGE2025 Hawa ndio Wakuu wa Mikoa wanaotarajiwa kugombea Ubunge mwaka huu na kwanini wanataka kugombea

    Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze kujazwa kwa wakati? Sasa hali hiyo inajidhihirisha wazi, kwani baadhi ya viongozi hao, hasa wakuu wa mikoa...
  18. W

    PreGE2025 Viongozi wa dini Arusha wamuombea Dua, Mrisho Gambo na Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha. Kwenye hafla hiyo viongozi wa Dini wamemuombea DUA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu...
  19. W

    PreGE2025 Gambo afuturisha Arusha, asema anajivunia kuwa sehemu ya shughuli hiyo ya kujenga jamii iliyojaa huruma na upendo

    Wakuu naona Iftari zinaendelea kwa wingi Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameandaa Iftar maalum kwaajili ya watoto yatima na viongozi wa dini, iliyofanyika jana Machi 22, 2025. Hafla hiyo ya Iftar iliwaleta pamoja watoto yatima waishio katika maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha...
  20. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mrisho Gambo atoa ufafanuzi wa million 400 za bodaboda Arusha

    Baada ya kutokea sakata la fedha za bodaboda katika jimbo la Arusha Mjini kuoneka zimeliwa na mmoja wa walitajwa ni Mbunge wa jimbo hilo Mrisho Gambo. Soma Pia: Arusha: RC Makonda aiagiza TAKUKURU kumhoji Mrisho Gambo upotevu wa Tsh. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia...
Back
Top Bottom