mpishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

    Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana. TUPIGIE SASA 0657 33 2814 Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hangzhou: Mpishi roboti apika chakula kwa wateja

    Hangzhou: Mpishi roboti apika chakula kwa wateja
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mpishi wa Mbuzi Choma anaitajika-Bunju

    Natafuta Chef mwenye uzoefu mkubwa waapishi mbalimbali ya mbuzi, kuanzia choma, foil mpaka supu. Kama ni eneo lako naomba nitumie SMS kwa 0759 819 819. NB: Kituo cha kazi ni Bunju B na malipo ni maelewano. Ahsante
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mpishi anaitajika

    Anaitajika mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kupika biriani na Mande pia n avyakula vingine kwa ajili ya biashara ya mgahawa Bunju B. Noamba ni PM kama una sifa hizo.
  6. JamiiForums Tanzania Mpishi wa kukaanga chips na kuku

    Habari wana JF Anahitajika haraka mpishi aliye kua mtalamu waku kaanga chips na kuku, kuchoma kuku na mishkati na mapishi mengine aina hio ya jiko. Anatakiwa awepo Dar. Tuwasiliane 0789155571
  7. JamiiForums Tanzania Asante sana mpishi wa biriani Mwanza

    Wakuu Jana nimejichanganya sehemu moja Mwanza nikaambiwa wanapika birian zuri sana nilichokutana nacho Mungu anajua. Asanteni sana Mwanza [emoji1487][emoji1487][emoji1487]
  8. JamiiForums Tanzania Abarikiwe mpishi ajawe na afya njema na furaha moyoni

  9. JamiiForums Tanzania MPISHI ANATAFUTA KAZI

    Mpishi mzoefu na aliebobea katika mapishi ya aina mbalimbali anahitaji kazi.Iwe ajira ya kudumu au part time;nyumbani au hotel/mgahawani.Pia nafundisha wale wanaotaka kujifunza mapishi. Wasiliana nami 0776727788 AU 0787823817.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mpishi ambaye anajua kupika

    Habari zenu wana JF, Anahitajika mpishi ambae anajua kupika (mwenye uzoefu na iyo kazi atapewa kipaombele) pamoja na kuwa na uwezo wa kupima sahani za chakula kwa ajili ya mgahawa. Pia anahitajika mpishi mwengine kwenye chipsi na nyama choma, watakuwepo wawili na mmoja ameshapatikana bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…