mpina

Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Ajabu sana kwamba Kumzuia MPINA kurejesha Fomu , ni Hadi mitutu ya Bunduki ??

    Hawa watu Maisha yako YAMEKAA Kuua ua na Kuteka teka !!.
  2. Hivi pale ACT-Wazalendo tatizo ni ombwe la uongozi makini wa kitaasisi au shida ni uchu wa madaraka na kukurupuka kwa Luhaga Mpina kugombea urais?

    Hii ni kashfa kubwa na ya kipekee kwa uongozi mzima wa ACT-Wazalendo kitaifa, hasa katika kipindi hiki nyeti kuelekea Uchaguzi Mkuu wa kihistoria wa Tanzania. Swali la msingi ni: kweli viongozi wote wa ACT-Wazalendo hawajui taratibu za kikatiba zinazowataka wanachama wapya waendelee kuwa ndani...
  3. W

    SI KWELI PreGE2025 Maandamano Mtwara leo ya wanachama wa ACT wakimkataa Mpina

    Kuna hii video inaonekana kama si halisi, naomba uhalisia wake. Na je, ni kweli kulikuwa na maandamano huko Mtwara leo Agosti
  4. GE2025 Mpina kwiiiiisha, atakiwa kutorudisha fomu ya kugombea Urais

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimepokea barua kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikielekeza kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Luhaga Mpina asifike ofisi za tume kwa ajili ya kurejesha fomu. Taarifa iliyotolewa na Chama hicho imesema tume imetoa zuio hilo kutokana...
  5. Mpina na Zitto wanatuchezea Kombolela Kwenye uchaguzi

    GT Kwa akili ya kawaida hakuna asiyejua behind the scene kwamba Zitto anang'ata huku kule anakuja kupuliza. Hizi sarakasi za mpina kuzuia kugombe Zitto is involved 💯 haya matamshi na mabarua mengi ni kujikosha tu but they know everything. Mpina naye anasumbuliwa na ushamba kama hajatumwa na...
  6. GE2025 Wako wapi waliokuwa wanasema Tumefanya Reforms hakuna tena Wapinzani Kuenguliwa au Kukatwa? Mmeona ya Mpina sasa?

    Tuseme tu ukweli. CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi. Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anayepanga nani awe nani...
  7. S

    Luhaga Mpina katiba imemuengua

    Mwenezi ACT alitoa vifungu vinavyoonesha kuwa hana vigezo vya kugombe urahisi. Katika katiba ya ACT vifungu vifuatavyo vinamuengua 16(4)(I) Awe mwanachama wa ACT kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya tarehe ya mwisho ya uteuzi wa mgombea. 16(4)(iii) Awe tayari kutangaza mali binafsi na...
  8. Ya Mpina: CCM akili kubwa lakini wenye ufahamu wanaelewa

    Kukatwa kwa Luhaga Mpina ni kuionyesha dunia kwamba ACT si projekti ya CCM. Na pia kuonyesha kwamba POLEPOLE anaongea uongo. KWA WENYE UFAHAMU IKO HIVI KWA KIFUPI KABISA. Mpina aliandaliwa na mpango huu ni wa MPINA+CCM+SAMIA kwa upande mmoja , ZITTO NA CCM NA MSAJILI KWA UPANDE WA PILI...
  9. Luhaga mpina na ACT wazalendo ni wakuogopa km ukoma.

    Wasalaam. Hawa ni wale viongozi wenye tabia za kimalaya malaya kwa mujibu wa nukuu ya mwl nyerere. Watanzania wote wanalia kutokana na mifumo mibovu ya uchaguzi lakini cha kushangaza huyu bwana mpina na ACT wanajaribu kulaghai wananchi eti waingie kwenye uchaguzi na yeye atashinda na atalinda...
  10. GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa,awaketisha ACT na Monalisa uteuzi wa Mpina

    Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga...
  11. R

    GE2025 Polepole kasema ACT ni kitengo cha mfumo wa CCM, Mpina katumwa na CCM kwenda ACT? Dorothy asingelitosha kucheza scene hiyo?

    Najaribu ku connect matukio ya Mpina na Samia wake.............................tunakudai, kukatwa, then kwenda CCM. Dorothy kuachia urais, Mpina kuchukua fomu...WHAT DOES ALL THAT MEAN? Quencher All in all. main take home msg ni kuwa vyama vyote vilivyoingia kwenye uchaguzi ni matawi ya CCM...
  12. J

    GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
  13. GE2025 Monalisa: Dorothy ni kiongozi mzuri kuliko Mpina

    Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anasema kwa dhati ya moyo wake kuwa Dorothy Semu ni kiongozi mzuri kuliko Luhaga Mpina.
  14. M

    Mpina ,wenzako wakiwa upande huo Huwa hawako hivyo

    Umeaingia upande huo huna hata mwezi una mwaga masifa tu Kwa tume na polisi, Ukiingia huko hata kama una jua nyie ni chama sindikizi unatakiwa kujifanya radical , kuponda na kukosoa sana . Jifanye kama huoni mazuri yaliyofanywa Zitto hebu mfundidhe jinsi munavyo ishi upande HUU...
  15. GE2025 Polepole: Luhaga Mpina hana sifa kikatiba na kikanuni kugombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani 1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4): "Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
  16. GE2025 Mpina: Hakuna kura itakayoibiwa, tuna imani na INEC

    Mpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi. https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz
  17. CCM watamwandama Mpina kuhakikisha anazuiwa kugombea ili mgombea wao asipate mpinzani yeyote

    Derby ya Samia na mpina haiwezi kutokea kwa sababu ni derby ngumu Mpina hata asiposhinda lakini atawahenyesha sana kwa kuwaeleza wapiga kura fact ngumu ambazo mpinzani mwingine kwa waliopo Sasa hawezi ! Mpina huwezi kumhonga Wala kumzuia kuongea lolote !! Samia na timu yake sasa wanaweza...
  18. GE2025 Wananchi wa Shinyanga: Mpina tunakudhamini tunajua utatusaidia

    Wananchi wa Shinyanga mjini mkoani humo wameeleza kuwa sababu kubwa zilizowafanya kumdhamini Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ni imani yao kuwa atakwenda kuwatatulia kero zao ambazo zimeshindwa kupatiwa majibu kwa muda mrefu. Wamesema changamoto zinazowakabili ni...
  19. Tetesi: Luhaga Mpina aonekana Chato, je kuna nini?

    Au ndio anakuwa anaenda kupata baraka? Maanda Yeye nae hapendi rushwa, uzembe na wizi wa mali za umma
  20. J

    GE2025 Naona kuna hujuma ya kumtoa Mpina ili ionekane Uchaguzi ni kama wa Upande mmoja, CCM iwe makini

    Fikiria kama huyo Luhaga Mpina akiondolewa kugombea Urais Uchaguzi huu, katika kubalance mambo mbalimbali na utamaduni wetu vitaonekanaje? Nahisi hawa hawa ACT wazalendo kuna kamchezo wanafanya kuiumiza CCM Haiwezekani wao kama chama walikubaliana na kumpokea Mpina na kumpa uanachama na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…