mpenzi wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bilionea wa Ubelgiji atuma bilioni 1 kwa mpenzi wake, Mahakama yataifisha

    Mahakama kuu Nchini Kenya imeiruhusu Serikali ya Nchi hiyo kutaifisha zawadi ya pesa za Kenya milioni 102 milioni (TSH. Bilioni 1.74) iliyotumwa kutoka Ubelgiji na Bilionea aitwae Marc De Mesel kwenda Kenya kwa Mpenzi wake ambaye ni Felista Nyamathira Njoroge (23) baada ya kubainika kuwa huenda...
  2. JamiiForums Tanzania Ndoa kwa mara nyingine Tena ya Dula Makabila na Mpenzi wake Naira wa Jua Kali

    Hello!! Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali Dullamakabila muda huu anatoka kwenye hotel yenye hadhi ya nyota tano Hyatt Regency na kuelekea kufunga...
  3. JamiiForums Tanzania Mbakaji Bester na mpenzi wake Dkt. Nandipha walisafirishwa kwa Tsh. Milioni 175

    Serikali ya Afrika Kusini imetumia Tsh. Milioni 175 sawa na (R1.4 milioni) kukodi ndege kutoka Tanzania hadi Afrika Kusini kuwarejesha wafungwa Thabo Bester na Dk Nandipha Magudumana waliokamatwa Arusha Aprili 7, mwaka huu. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Afrika Kusini, Aaron Motsoaledi aliiambia...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki nyumbani kwa mpenzi wake

    Emmanuel Kayuni (21) mwanafunzi katika shule ya Mansa, amefariki akiwa nyumbani kwa mpenzi wake katika mji wa Ndola alikokwenda baada ya kutoroka shule huku wazazi wake wakijua anaendelea na masomo, tovuti ya Zambian observer imeripoti. Baba mzazi wa marehemu aitwaye John Kayuni, alisema mtoto...
  5. JamiiForums Tanzania Amber Lulu apigwa na mpenzi wake na kujeruhiwa vibaya

  6. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia kubadilisha sheria zake ili kuruhusu Ronalo aishi na mpenzi wake bila ndoa

    Saudi Arabia ambayo huendeshwa kwa sheria za dini ya kiislamu, wanafanya maandalizi ya kupindisha sheria ili Ronaldo aruhusiwe kuishi na mpenzi wake ndani bila ndoa.... Ni nchi ambayo huwa hawakawii kukata watu vichwa ka sheria zao kali za kidini...... Saudi Arabia is likely to bend its laws...
  7. JamiiForums Tanzania Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

    Mapenzi bwana. Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana. Katika harakati ya kuitafuta G-SPOT juma kisauti alimkunja kisawasawa msichana huyo kiasi kilichopelekea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni wakati gani mtu anaweza kuthibisha amemfumania mpenzi wake: Kumuona anaongea na mtu? Kumkuta chumbani kwa mtu? Kukuta SMS ya mahaba?

    Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto. Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi. Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa. Fumanizi huwa ni kipindi gani?
  9. JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

    Wakuu nadhani mko poa Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano...
  10. JamiiForums Tanzania Ang’atwa ulimi na mpenzi wake wakijamiiana usiku

    Gembe Singu (32) mkazi wa kijiji cha Mwamakalanga wilayani Shinyanga anadaiwa kung’atwa ulimi na mpenzi wake, Leticia Elias (40) wakati wakijamiiana. Inadaiwa wapenzi hao walikuwa na ugomvi, na siku ya tukio mwanamke huyo alimuita Singu nyumbani kwake ili wazungumze na kumaliza tofauti zao...
  11. JamiiForums Tanzania Rombo: Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Kushirikiana na Mpenzi wake Kumuua Mama yake

    Wapenzi wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua bibi kizee wa miaka 100 kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati wakigombea ardhi. Bibi huyo, Felister Silayo, mkazi wa Kijiji cha Kirongo juu, Kata ya Kirongo Samanga, Wilaya ya Rombo alifikwa na umauti...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume auliwa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwa mpenzi wake, yadaiwa alikuwa akitembea na mke wa mtu

    Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Kibwana Musa mkazi wa Kijiji cha Kiziwa Kata ya kiroka wilayani Morogoro, amekutwa ameuawa alfajili ya kuamkia leo Juni 22, 2022 kwa kukatwa panga nyumbani kwa mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake. Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa kijiji hicho...
  13. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa saluni ya kike Sinza adaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake

    Matukio ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini. Inadaiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Dar: Mchina adaiwa kumuua mwenzake na kumjeruhi mwingine kwa risasi, chanzo ugomvi wa mapenzi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mtuhumiwa ZHENG s/o LINGYAO, 42, raia wa China Mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma za kumuua FU s/o NANNAN, 26, Raia wa China, mfanyabiashara na mkazi wa Kalenga Ilala Dar es salaam. Tukio hilo limetokea tarehe 11/06/2022, Mtaa wa Kalenga...
  15. JamiiForums Tanzania Dar: Jamaa adaiwa kumuua mpenzi wake kisha naye kujiua kwa kunywa sumu, vidonge na pombe

    Bunaza Doto Manyanda (34) anadaiwa kumuua mpenzi wake, Happiness Mzalile Zakaria (23) kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali tumboni kisha naye kujiua, marehemu wote wakiwa ni Wakazi wa Charambe kwa Mbiku Wilayani Temeke, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea jana Jumatano Juni 8, 2022 ambapo...
  16. JamiiForums Tanzania Grand P amuonya mwanaume anayesemekana kuwa na ukaribu na mpenzi wake

    Star wa muziki kutoka nchini Guine Grand P amuonya mwanaume ambaye anashutumiwa kuwa na ukaribu na mpenzi wake Grand P alinukuliwa akisema kuwa "Kaka yangu Roga Roga nina kuheshimu sana na ninafahamu vyema kua wewe ni raia kutoka Congo na ninawaheshimu sana wakongo lakini chombo unachojaribu...
  17. JamiiForums Tanzania Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwaajili ya mpenzi wake wa zamani

    Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwa ajili ya mpenzi wake wa zamani, mahusiano hayadumu siku hizi kwasababu tunawapata watu wanaowapenda na kuwakumbuka watu wao wa zamani, tunakabiliwa na ukosefu wa amani ambao hatukuusababisha sisi. Tunachumbiana na kuwa kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Mwanamke kutopenda Kuomba Omba Hela kwa Mpenzi wake ina Maana gani?

    Nianze kwa kusema OLE OUT! Wanangu wa MAN-U na Leo tunakufa tena. Turudi kwenye Topic. Wakuu hapo nyuma nilikua na Mpenzi Dadek Pisi kali ya kwenda ila ilikua inapenda Pesa sana hela za Shopping ilikua kila week mara kusuka na ukweli alikua hakuna mda hajapendeza hadi Rafiki zangu walikua wana...
  19. JamiiForums Tanzania Usimfanyie wema wa kuzidi mwanamke aliye - single au mbali na mpenzi wake

    Sijui kama ni nature ya wanawake au ni dunia imekua na watu katili kiasi cha kuwa ukimfanyia wema mtu anakuona wewe ni wa ajabu na anatafuta mbinu kurudisha wema wako. Mwanzoni ilikua najua labda ni kwa walio single tu ila sasa hadi mke wa mtu yaani unamsaidia jambo kwa wema then yeye...
  20. JamiiForums Tanzania Anatumiwa video za girlfriend wake WhatsApp. Je, afanye maamuzi gani?

    Kuna mambo mengine ya ajabu sana aisee, kuna muhuni anamtumia rafiki yangu videos nyingi 50 kidogo, akiblokiwa anatuma kwa namba nyingine, namba za Whatsapp anazotumia ni za china , india, urusi, n.j binafsi nlicheki video mbili tu kwa lengo la uchunguzi Ili nitoe wazo au msaada ila nilitoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…