mpanda

Mpanda is a city in Katavi Region of Tanzania, East Africa with a postcode number 50100. It is the administrative centre of Katavi Region, Mpanda District and is itself one of the four districts of the region.Mpanda is a "frontier town" in the far west of Tanzania, roughly 500 km north of Mbeya and 380 km south-west of Tabora. It is the administrative headquarters for the Katavi Region, (created by subdivision of the Rukwa Region in 2012), and for the Mpanda District. It is an important centre in the rural economy, especially for the marketing and transshipment of rice and maize. The Katavi region is increasingly of interest to mineral prospectors, especially for gold. It is also a staging point for visiting the beautiful Katavi National Park, with its headquarters just 35 km to the south at Sitalike. The Park has a good cross-section of East African wildlife but is perhaps best known for its populations of hippopotamus.
As yet all roads into Mpanda (from Sumbawanga, Tabora or Kigoma) remain unsealed and may for brief periods become impassable at the height of the wet season (particularly February–March). The Tanzanian government has in progress a project to seal a large part of the road north from Sumbawanga. Sumry operate two daily bus services to Sumbawanga (240 km 5hours), one of those going on to Mbeya. Several bus lines operate to Tabora (380 km, 9 hours). Local services include minibuses to Sitalike, and daily bus services to Usevya and to the fishing villages of Karema and Ikola on Lake Tanganyika. Mpanda is the endpoint of a rail line with passenger services from Tabora (approx 12-15hours). In 2012 the government completed an upgrade of Mpanda airport to a 2 km sealed runway and a commercial air service has commenced.
Mpanda was made the centre of a new Catholic Diocese in October 2000 and boasts a very fine cathedral with magnificent pictorial windows. The town is also the centre for the Anglican Diocese of Lake Rukwa created in June 2010. There is a fine Moravian church and other Christian services are provided by Lutheran, African Inland Church and Tanzania Assemblies of God. Moslem people are well served by several mosques spread through the urban area.

View More On Wikipedia.org
  1. Hatimaye nimefika Mpanda maeneo ya Mwese kwenda kuangalia ardhi ya kilimo na ufugaji

    Wakuu Amani iwe kwenu!! Nimebahatika kusafiri Tena kusafiri kutoka kahama kwenda mpanda -katavi Kwa lengo la kuendelea kuangalia fursa za kilimo na ufugaji nk. Na hapa nitakupisha maeneo yote tangu safari nilipoianza. Safari niliianzia kahama katika stend ya Cdt kahama to mpanda nauli 30k...
  2. Sehemu gani hapa mpanda nitapata pisi za maana?

    Siku ya pili niko hapa mpanda. Huu mji umepoa kichizi sana,hakuna viwanja vya maana vya kujirusha. Sehemu pekee ni Kingstone na B'eps,na penyewe hakuna jipya. Kwa wenyeji wa hapa naomba mnipe machimbo nitakayoweza kupata pisi za kusuuza rungu langu.
  3. A

    DOKEZO Wajawazito wanalipishwa, risiti hawapewi katika Idara ya Afya Mpanda Manispaa Mkoani Katavi

    Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi, wajawazito wanadaiwa kulipia kadi za kliniki Shilingi elfu 2, hii si sawa kwa sababu huduma za mama na mtoto ni bure kwa mujibu wa sera ya Afya! Mganga Mkuu wa Halmashauri atolee ufafanuzi, bahati mbaya hawatoi risiti. Pia, wafuatilie katika Kituo cha Afya cha...
  4. Mpanda vs Singida wapi pazuri kuishi na kutoboa haraka kimaisha?

    Kuna jamaa yangu kapata kazi kwenye private coy flani,kaambiwa achague kati ya Singida au Mpanda wapi anataka awe reallocated. Binafsi nimeishi singida ila mpanda sipajui coz sijawahi kufika. Ungekua wewe ungemshauri huyu jamaa aende wapi kati ya Singida na Mpanda?
  5. A

    KERO TANESCO Katavi (hasa Mpanda) wanakata umeme bila taarifa, ni kawaida kukatika asubuhi kisha unarudi jioni

    TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana. Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
  6. KERO Responded Wakulima wa tumbaku Mpanda Kati walalamikia makato ya 3% na kutolipwa fedha zao

    Wakulima wa zao la tumbaku kutoka Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamika kutolipwa fedha zao hadi hivi sasa licha ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kutoa maagizo kwamba kabla ya siku kuu ya Nanenane Wakulima wote...
  7. GE2025 Waziri Aweso aagiza mradi wa maji Mpanda uharakishwe

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekataa maelezo ya Mkandarasi na kumtaka aoneshe vitendo zaidi katika kazi ya utekelezaji wa mradi wa maji miji 28 Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi; unaogharimu shilingi bilioni 22.863. Akizungumza na Wananchi wa Mpanda baada ya kutembelea na kukagua eneo la...
  8. Halmashauri ya Mpanda yafafanua uchafu Vyoo Stendi ya Mizengo Pinda, yasema inafanya ukarabati

    Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kueleza kushangazwa na hali ya uchafu ya vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda, kutokana na kujaa maji taka na hivyo kuweka rehani afya za watumiaji ambao wanaweza kupata magonjwa mbalimbali kama UTI, Mamlaka imetoaufafanuzi. Kusoma hoja ya...
  9. TAKUKURU: Manispaa ya Mpanda imelipa Tsh. 220M kinyume na utaratibu, yakaletwa mabati yasiyo na kiwango

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, imebaini mabati yenye thamani ya fedha Sh Milioni 220 yaliyonunuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Katavi na Sekondari Rungwa kuwa yako chini ya kiwango. Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi...
  10. KERO Ni lini Daraja la Milala Shongo lililopo Manispaa ya Mpanda litajengwa?

    Daraja la Milala Shongo lililopo Kijiji cha Milala, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni tatizo sana kwetu Wananchi wa Milala. Sisi wakazi wa Milala tatizo hili limetuchosha kwa sababu limedumu kwa muda muda mrefu sana na kuwa kikwazo cha mawasiliano na kufanya shughuli zetu za kiuchumi...
  11. M

    DOKEZO KERO Kulikoni mbona Bohari ya Dawa (MSD) mmefunga Duka la Dawa - Mpanda? Tunaomba huduma irejeshwe

    Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo inasababisha kukosekana kwa dawa ambazo Wananchi tunalazimika kununua kwa bei nafuu. Kukosekana au kufungwa...
  12. Kutuhumiana ubadhirifu wa fedha na minyukano wa viongozi CHAKUHAWATA Mpanda inatukatisha tamaa Waalimu

    Nasikitika kwa kile kinachotokea kwa Chama chetu cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kwa baadhi ya viongozi kuona sasa chama hiki kugeuzwa kuwa mradi wa viongozi wa chama Manispaa ya Mpanda kujipatia fedha. Tumechagua viongozi kwa...
  13. DC Mpanda aagiza Mgodi wa Madini ufungwe kutokana na mlipuko wa Kipindupindu

    Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Jamila Yusuf amesitisha shughuli za uchimbaji madini katika Mgodi wa Lumuka uliyopo Kijiji cha Dirifu, Manispaa ya Mpanda kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu uliozuka katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo. Agizo hilo amelitoa mara baada ya...
  14. Serikali yapanda miti mingine zaidi ya 1500 eneo la Milala (Mpanda - Katavi) baada ile ya awali kunyauka

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali imechukua hatua ya kupanda miti mtingine. Awali, Mwanachama huyo alisema kulikuwa na Kampeni ya...
  15. Mpanda: Tsh. Milioni 500 zatengwa kujenga Kituo cha Afya, fedha zimeisha ujenzi haujakamilika

    Ujenzi wa Kituo cha Afya Ugalla, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kimeshindwa kukamilika licha ya fedha Shilingi 500 kutolewa miaka mitatu iliyopita kutoka Serikalini. Kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho imebainika ni kwa sababu ya vitendo vya ubadhirifu wa fedha huku ikibainika watu...
  16. Narudi tena! Kati ya Mpanda na Morogoro wapi sehemu sahihi kwa hustle?

    Wakuu hivi sehemu sahihi ya kiutafutaji katika ya Morogoro na Katavi ipi ni sahihi? Kwa maana ya biashara ya mazao na maduka ya dawa Morogoro maeneo ya Ifakara, Mvomero, Malinyi, Kilombero na Mlimba?
  17. LGE2024 Katavi: Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi, apiga Kura Kata ya Nsemulwa, apongeza mwitikio wa Wananchi

    Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini mkoani Katavi Sebastian Kapufi amepiga kua katika kata Ya Nsemulwa kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wa serikali za mitaa. Akiwa hapo Kafupi amesema kuwa hali ya watu kujitokeza ni nzuri huku akisisitiza watu kujitokeza mapema kwakuwa utaratibu unaotumika ni...
  18. KERO Jengo la Wilaya ya Tanganyika lililopo Manispaa ya Mpanda linaharibu taswira ya Mji kwa uchafu

    Hili ni moja ya majengo yanayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika zamani Mpanda DC yaliyopo Manispaa ya Mpanda, Jambo la ajabu jengo hili limetelekezwa kwa sababu mazingira yake yanaonekana machafu sana. Ni aibu kubwa mazingira ya jengo hili kuwa machafu ili hali liko katikati ya...
  19. Wakandarasi wa Barabara ya Mpanda kwenda Kigoma na Sitalike kwenda Kibaoni wako wapi?

    Ninachojiuliza ujenzi wa barabara ya Sitalike kwenda Kibaoni ulianza kujengwa kwa kiwango cha lami kwa kasi sana na pasipo shaka fedha nyingi zimetumika kwenye hatua waliyoishia, je fedha hizo zimeenda bure mbona mambo yamesimama? Wananchi tulitegemea barabara itakamilika kujengwa kwa wakati...
  20. Morogoro, Mpanda na Mwanza ni sehemu poa sana na mna nafasi yenu peponi

    Kataa au ukubali sehemu tajwa hapo juu kusema ukweli ni poa sana kuishi na kufanya makazi na watu wake wala hawana shida na wageni kabisa yaani ukiishi kwenye hiyo mikoa unapata ladha ya furaha ya maisha sio kama wale wa kanda ya kaskazini wamejaa ubinafsi na majungu tu na wivu kwa wageni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…