mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna kundi kubwa la watumishi ambao bado hawajapata mshahara mpaka leo tarehe 25-10-2024

    Ni kweli taasisi nyingi tu za umma bado hawapata mishahara yao hadi muda huu saa7 kasoro dakika 13 mchana. Naomba Mungu anipe nguvu na huruma ya kuwavumilia watumishi niliowakopesha, nilipatwa na jazba sana kwa hatua ya kuchukua simu zao. Nimetafakarii sana hatua Ile, nimejifunza jambo kama...
  2. Hivi CCM imeishiwa watu wenye akili na hekima mpaka kuendelea kumkumbatia mtu kama Makonda?

    Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania. Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda? Hivi CCM...
  3. Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
  4. Mfalme Abdallah wa Jordan na Rais El Sisi wa Misri waitaka Israel ifungue mpaka haraka

    Juhudi za kuwafikishia raia wa Palestina misaada kwa haraka zimepata nguvu baada ya washirika wawili muhimu wa Israel kupaza sauti zao kwa pamoja. Mfalme Abdallah hapo juzi Alkhamis alitua Cairo bila mwaliko akitokea Italia,Uiengereza na Ujerumani kushauriana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana...
  5. Mwakarobo Hali yao ni mbaya mpaka Sasa, sababu hizi kuwaacha uchi kesho

    Wamezoea kupenyeza ushirikina katikakati ya uwanja na kufukia uchawi lakini safari hii wale wanaowatumiaga wanajiita "makomandoo" uchwara wamepigwa marufuku kuingia ndani ya uwanja wakijifanya wanaulinda wakati tiyali uwanja una walinzi wake!!! Kitendo Cha kuifanyia marekebisho pitch ya uwanja...
  6. Mpaka sasa watu zaidi ya milioni wameondoka Gaza. Je, palikua na huu ulazima?

    Kuhamisha watu milioni moja sio kazi rahisi kihivyo, ukizingatia wote hawa wanateseka bure na hawakuyataka haya, majengo yao yote yanasambaratishwa na kuwa mashamba na magofu, na wanaenda kuteseka kwenye baridi na mahangaiko mengine, kwa kifupi HAMAS na mashetani mnaowaabudu kisa dini mkae...
  7. Misri yaruhusu wageni watumie mpaka wake kuitiroka Palestina, ila imezuia Wapalestina wasithubutu

    Wapalestina wajifie huko wasithubutu kuingia Misri kwa Waarabu wenzao, ila wageni wasio Wapalestina wapite tu shwari. https://www.youtube.com/watch?v=qGBuzavPCf4
  8. N

    Gaza: Mpaka sasa, Watu zaidi ya 1,055 wamekufa na 5,000 kujeruhiwa

    Habari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo Gaza watalala giza! Hawa jamaa saivi wanajuta walichokifanya Israel, unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia!!
  9. K

    Safari ya treni ya mwendokasi Dar mpaka Morogoro itaanza lini?

    Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita. Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
  10. Beki wa kulia kisiki Kouassi Yao Attohoula aongoza kwa assists katika mechi tano za NBC PL zilizochezwa mpaka sasa

    Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake. Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje...
  11. Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

    Habari wakuu , naomba kuuliza...
  12. S

    Ukiona mpaka navaa Condom tafsiri yake sina imani na afya yako

    Huwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue Condom na alivoona sitaki kuvua akaniuliza "huniamini" ??? Mpaka navaa Condom tafsiri yake ni kwamba...
  13. Je! Wajua kuwa Palestina haijapata uhuru mpaka leo?

    Ndiyo, licha ya kwamba Palestina ilitawaliwa na auingereza tangia mwaka 1920 baada ya kukabidhiwa na shirikisho la umoja wa mataifa (League of Nations) baada ya vita ya kwanza ya Dunia ila bado Palestina haijapata uhuru mpaka leo. League of Nations ilipitisha Azimio la kuiweka Palestina toka...
  14. Olivier Giroud sio kufunga tu mpaka kwenye kudaja yumo

    Naam unachokiona hapo kwenye picha sio ndoto wala editing, ni hali halisi iliyotokea katika mechi ya leo ya ac milan ambapo katika dakika za salama kipa namba moja wa ac milan alilimwa kadi nyekundu akaingia kipa namba mbili naye pia akalimwa kadi nyekundu na ndipo ikambidi giroud achukte...
  15. Njombe: Tisa wahukumiwa kunyongwa mpaka kufa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imewahukumu kunyongwa hadi kufa Washtakiwa tisa akiwemo Beatus Salum aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Kipengere Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe kwa makosa ya mauaji ya Ndugu wawili mwaka 2020 Kijijini hapo. Hukumu hiyo ya kesi ya mauaji namba...
  16. Mbwa wa Biden aondoshwa ikulu kwa kung'ata ovyo mpaka walinzi wake

    Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15 Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13. Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata...
  17. Ni kiumbe gani hukipendi/ unakiogopa mpaka leo?

    Nimefanikiwa kua na urafiki na paka, mbwa, kuku, ngombe, mbuzi. Urafiki in a way kwamba akikuona anakufata anataka awe karibu yako. ila Binafsi nyoka ni kiumbe ninaemchukia kuliko wote, hata niende Zoo niambiwe huyu hana sumu, Kwanza ila ngozi yake siipendi kabisa.
  18. M

    Sababu ya kusafirisha mafuta kutoka Uganda kupitia Bomba mpaka Tanga

    Za weekend wanaJF, Nimekuwa nikifikiria sababu inayotumiwa na nchi za Afrika kusafirisha mafuta kupeleka nchi za mbali bila kupata majibu. Nilitegemea mafuta ya Uganda na Tanzania tungeya-,process hapa kwetu Africa sababu sisi ni watumiaji wa bidhaa hii muhimu halafu ndio tuuze nje. Lakini...
  19. Bosi mpya TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga asema: Tunatarajia changamoto ya upungufu wa umeme imalizike Machi 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme. Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
  20. T

    Mungu hatutolala hatutochoka kukuita mpaka utakapo jibu

    Mungu uliopo juu Mungu muumba wa vyote vinaonekana mpaka visivyo onekana. Wewe ni Mungu tusema Asante kwa kila Zawadi umetupa Taifa zuri Tanzania. Mungu wa Tanzania ni wanyonge na wachache umewapa kutuongoza wamekuwa na tamaa na kiu yakulitafuna hili Taifa kwa uchu wa mchwa walio na njaa Kali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…