mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Hali ya hewa itakavyokuwa kuanzia leo saa 3 usiku mpaka saa 7 usiku

    Natabiri kuanzia saa 3 usiku wa leo, wale nzi na vyura wa kijani popote pale hapa nchini, watakuwa kimya huku wale ngedere na simba wekundu wakipiga kelele za hapa na pale. Wakishangilia wenzao wakipata kipigo na mateso makali kama yale ya Yesu msalabani toka kwa Masandawani. Natabiri. kuanzia...
  2. Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

    Usijali Mkuu, hapa tunatumia fake ID'S Fungukaaaaaaaaa!
  3. Ukiwa na kipaji usikate tamaa, Push mpaka kieleweke

    Kuna dogo alikuwa anajiamini kuwa na kipaji kikali cha kurap. Ndoto yake ilikuwa ni kuja kuwa staa mmoja mkubwa sana nchini Marekani na duniani kwa ujumla. Hakujua ni kwa namna gani angetoka, akawa anafanya muziki wake chumbani kimyakimya, anatengeneza beat na kufanya ngoma kivaykevyake. Siku...
  4. Waziri Mkuu: Tsh. Trilioni 10.69 zimetumika kujenga Reli ya SGR Dar mpaka Moro

    Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro. Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake...
  5. Mpaka lini tutakuwa watu wa vitu vya mitumba?

    Swine Yaani nimekaa sehemu ya uwazi hivi mitaa ya nyumbani jimbo la muheshimiwa Gwaji Boy, kila mchuuzi anapitisha mitumba. Nimeangalia kwenye parking ya magari 80% ni mitumba Nacheck washkaji na mademu wao yaani wana vitambi na putty za kutosha usoni, yaani full mitumba Nimeletewa beer...
  6. Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

    Habari Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi. Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.
  7. N

    Watu wanazikamua hela bwana, acha kabisa; mashuleni mpaka sasa hakuna kitu tangu mwezi Januari.

    Mabilioni juu yanapigwa tu maana ni ukweli kuwa kwa sasa fedha nyingi tu zinapatikana kutoka nje n.k Mashuleni hali mbaya, tangu mwaka huu uanze inasemekana shule zimepokea fedha ya mwezi Januari tu basi. Hali mbaya...... Kuna wazabuni walioamua kugoma sasa kuendelea kuzikopesha shule, Umeme...
  8. Nataka kuoa ila nina wanawake wengi mpaka sijui nioe yupi kwa kweli

    Ndugu zangu Nina wapenzi wakike wengi sana mpaka sijui nichague yupi awe mke wangu Wanawake wangu wanatokea makabila haya na wote nimenyandua baadhi yao wanajuana katika kufumaniwa hapa na pale ila wengine hawajuani kabisa *Muha-2 *Mhehe-2 *Mchaga wa kimachame -4 *Mchaga wa kirombo-2...
  9. Makonda ni mwamba! Kila anakoenda anapanyoosha mpaka wanaomba pooo!

    Mkoa wa Dar mpaka kesho wanammiss Paul Makonda! Baada ya kuondoka kuwa mkuu wa mkoa wa Dar, Dar imepwaya sana! Kapelekwa Uenezi CCM kawajambisha mpaka wakaomba poooo! Sasa wamempeleka mkoa sugu wa biashara ya Ushoga, madawa ya kulevya, wizi wa mipakani, ulevi, watu wenye midomo mirefu (kama...
  10. Video: Pamoja na lawama kwa bodaboda, kwanini Junction ya mwendokasi Kisutu haijawekwa taa za kuongoza magari mpaka leo licha ya kuwepo ajali nyingi?

    Ajali nyingi sana zimeshatokea eneo hili. Mamlaka hazichukui hatua yoyote. Sehemu yenye junction na yenye pilikapilika kama hii tena inaingiliana na mwendokasi inakosaje taa za kuongozea? Hicho kioo kikubwa kando ya junction mnadhani kinatosha kwa madereva na watumiaji wa barabara hiyo kuona...
  11. Godbless Lemma, umeletewa kete ya kisiasa Arusha, cheza draft mpaka na huko afukuzwe, maana amekaribia mahali kitovu cha Ben Saanane kilizikwa

    Nina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori. Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of the biggest mission ya kisiasa, kumuangusha huyu kada wa kuteka na mauaji. Yaani amesogea karibu na...
  12. G

    Haijaisha mpaka iishe, Simba tunaenda kupindua meza Misri, Tunaweweza!

    Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria. Kwa namna ya uchezaji tulionaa simba tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1 tu, total shots za simba zinakaribia 20. Tumewakosa kosa sana haya makosa yakirekebishwa tunaweza...
  13. Hivi ni ujinga kiasi gani mtu anapaswa kuwa nao mpaka atume pesa kwa mtu au kampuni hewa?

    Karibu kila wiki nakutana na matapeli wa mtandao kwa style tofauti. Huwa nawaacha mpaka waone pesa hizi hapa ndipo nawachana kuwa njia zao za utapeli ni za kitoto hivyo wanapaswa wabadili njia au waache hiyo kazi haramu wamrudie Mungu. Wengi wanaishia kunitukana na kuniblock maana nakuwa...
  14. Gamondi: Sijawaona Aziz Ki na Diarra kambini mpaka sasa

    Stephen Aziz Ki na Djigui Diarra bado sijawaona kambini na walipaswa kuwa wamerejea kutoka kwenye majukumu yao ya timu zao za taifa” - Kocha Miguel Gamondi, Yanga Afrika. Yapi maoni yako??
  15. Wananchi Jordan waandamana kwa nguvu wakitaka mpaka ufunguliwe waingie Palestina

    Joto la vita limeanza kupanda ndani ya Jordan ambayo pamoja na Misri ndizo nchi muhimu kwa usalama wa Israel. Wananchi wa nchi hiyo hawajaridhishwa na namna nchi yao ambayo ina udugu mkubwa na Palestina kwa namna inavyoshughulikia madhila ya wapalestina na vita vya Gaza. Hata walipomuona mfalme...
  16. Kafulila: Utulivu wa kisiasa wa Rais Samia umekuza Uwekezaji mauzo ya nje yameongezeka kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35Trilion

    Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa, Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi ambayo watu wana-tension, Watu wanatafutana haiwezi kupata wawekezaji serious na haya ni matokeo ya...
  17. Historia ya Wahima na eneo la magharibi ya Tanganyika kama ilivyoandikwa ndani ya kitabu Zamani mpaka siku hizi

    Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930. HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI Somo 1-Wahima KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana tulitoka nchi nyingine tukawasukuma watu waliokuwa wakikaa huku au labda tulichanganyika pamoja...
  18. F

    Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria, usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli

    Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria. usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli. utakuja kunikumbuka baadae
  19. 1979-2024 takwimu za watu duniani walipota maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Tanzania mpaka leo ipo kwenye kundi la top 5

    Kuna video ikionesha takwimu za tokea ugonjwa wa ukimwi kuingia mpaka sasa yani ulitokea uganda ila uganda kashindwa kimashindano na Watanzania. Tazama video hii: Ukimwi upo nyie wa mada zenu kula kimasihara. https://www.youtube.com/watch?v=zEpylI1uhg0
  20. sito sahau mganga, Sheik, Manabii na Wachungaji wameshindwa kuniombea na mpaka leo najiita kaka wa shetani

    Ni ukweli kabisa jina la ID yangu sijawai kuona lolote kwangu ni mekwenda kila mmoja ananiogopa maana kama vitengo vyote na mashuuda yako yamekataa. Kisa cha mganga: nilikwenda kwa mganga sikupata chochote zaidi ya mimi kupambana mwenyewe mpaka yule mwandulami na wababe kujikinga. Kisa cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…