mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Lissu tutamwachia August asijefikiri anaogopwa. Na tutamshinda uchaguzi mkuu

    Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu. Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo...
  2. Wastaafu huku mtaani wanalalamika mpaka leo ni Bilabila. Nini Kimetokea?

    Kwa wanaoelewa nini kimetokea maana Wastaafu mpaka leo 26.07.2025 kila wakichungulia vibubu vyao hawaoni kitu wakati kuanzia tarehe 20 vibubu vinakua tayari vimeshajaa. Nini kimetokea huko Hazina?
  3. Mzozo wa Mpaka Kati ya Thailand na Cambodia Uendelea kwa Siku ya Tatu

    Mzozo wa mpaka kati ya Thailand na Cambodia umeingia siku ya tatu, huku pande zote mbili zikiendelea kurushiana risasi na silaha za moto. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito wa kwanchi hizo kujizuia kulipa mashumbulizi. Cambodia imeitaka Thailand “kusitisha mapigano mara moja”...
  4. 45M MPAKA ROOFING 4BEDROOMS DESIGN NZURI NA KALI SANA FIT 20X20M PLOT CALL US +255624004650 KUPATA DESIGN NZURI NA UJENZI WA KIWANGO

    DESIGN YA VYUMBA 4 , 1. LOUNGE 2.DINNING & KITCHEN 3.2BEDROOMS SELF 4.1BEDROOM SINGLE NEAR PUBLIC BATHROOM 5.MASTER BEDROOM WITH CLOSET AND SPECIOUS BATHROOM 6.BARAZA 2, COST MPAKA KUPAUA NA VERSATILE 45M TUNAPATIKANA SINZA PALESTINA CALL/WHATSAP +255624004650
  5. Mke agoma kurudi hadi atumiwe Laki na nusu

    Ndoa zinavituko sana, huyu jamaa yangu baada yakwenda kuoga si kaacha simu open MKE kakuta Sms kibao za Mchepuko naugomvi ukaanza hapo ni full makelele, Asubuhi mwanamke karudi kwao, wazazi wakasuruhisha lakini mwanamke kagoma Rudi kwa jamaa mpaka ATUMIWE LAKI nanusu.. WAtoto kaachiwa jamaa...
  6. Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

    Huwa na jiuliza. Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini? Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi. Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya watu. Huwa nacheka Sana ninapoona Eti matajiri wa Tanzania ndio hawa wanalipa watu elfu tatu mpaka nne...
  7. Mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kuwajengea uelewa wataalamu wa Tanzania na Burundi

    Serikali imesema kuwa, mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Burundi yanalenga kujenga uelewa wa pamoja kati ya wataalamu wa nchi hizo mbili. Hayo yamebainishwa leo tarehe 22 Julai 2025 jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi...
  8. Hivi mpaka leo mitaala ya elimu yetu ni ile wanasoma Bunsen burner

    Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu. Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda na mazingira ya dunia inavyotaka.Kwa nini kwetu bado tuna elimu zile zile ambazo sio msaada kwa...
  9. Tutasogeza tarehe mpaka uchaguzi uwe mdomoni. Game itakuwa Over

    Halula! Habari mnayo! Ni mwendo wa Kalenda mpaka kieleweke. Wakijashtuka imo! Na bado.
  10. Utii Ulikuwa Njia ya Kuishi, Mpaka Pale Alipokua C.E.O Kisha Kuua Kampuni - Biograph ya Tedi

    Alizaliwa kwenye familia ambayo haikuamini katika mazungumzo, haikuamini katika kuelewana, haikuamini katika maoni mbadala. Bali heshima ni utii usiohoji, na upendo ni zawadi inayotolewa tu kwa wale wanaofuata mstari. Baba alikuwa mwepesi wa hasira, mzito wa kusikiliza. Kosa dogo lilimaanisha...
  11. Mpaka muda huu REFORMS kabla ya UCHAGUZI/ELECTION zina hitajika kuanzia ndani ya vyama vya siasa mpaka kitaifa

    WAKUUU nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana. Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa NO REFORMS NO ELECTION zidisheni mashambulizi kila kona kila idara kwa kila mtanzania wa bara na...
  12. RECORD: Majengo ya huduma kwa wagonjwa wa dharula kama ajali, kujifungua yameongezeka kutoka majengo7 mpaka majengo 125 ndani ya miaka minne

    === Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 128 mwaka 2025. Aidha, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura hasa wa ajali na Wajawazito bila kujali...
  13. 185M MPAKA KUFIKIA ROOFING STAGE (BILA FINISHING) TUMEHUSIKA KUANZIA DESIGN MPAKA SITE JUST CALL US TO GET SERVICES +255624004650

    🏡 Stunning 6-Bedroom Double Storey Design! 🔻 Ground Floor: Entrance lobby Open spiral staircase Lounge Dining area with patio access Spacious open kitchen with island Separate wet kitchen 2 self-contained bedrooms (each with private bathroom) 🔺 First Floor: 3 ensuite bedrooms — each with:   •...
  14. GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

  15. Polepole hakanyagi tena Tanzania mpaka 2030. Nimefurahi sana kayakanyaga

    Polepole alitutukana sana Watanzania tuliokuwa tukikemea mauaji, utekaji na udikteta enzi za Magufuli. Polepole aliyekuwa mpiga domo wake maarufu wa kupangua ukweli leo yamemkuta. Kayakanyaga. Harudi tena hapa Bongo mpaka Samia amalize uongozi wake 2030. Akirudi tu kuna chumba maalumu Segerea...
  16. Sportpesa mnashindwa nini kuwa na instant payment mpaka mtu uanze kuulizia salio ndo hela iingie

    Mbona betpawa uki withdraw hela ni chap kwa haraka unapata message hapohapo hawa sportpesa wanaenda taratibu Sana kwenye malipo jirekebisheni kama mko ndani hapa.
  17. Kupendwa rahaa mpaka nimepewa hati ya tunda kuwa ni langu

    Huyu mwajumwa jamani mtoto wa kitanga usinibadilishe dini ya kwangu inanishinda kusali mara moja nitaweza ya kwako kama masharti ya kumeza dawa za TB. Picha isifutwe hiki ni kitaru cha jina langu chenye hati ya umiliki. Mbona CCm wanagawana vitaru.
  18. Mpaka sasa wamejitokeza wawili tuu lakini tayari hapatoshi

    Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CHADEMA chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche. Hawa watu wamejua hasa kuliamsha dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakutarajiwa kabisa wameanza kuomba lift Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena...
  19. Mke wa Mrisho Mpoto alikua na cheo gani mpaka mwili wake ubebwe na bus la jeshi?

    Nimeona mitandaoni huko,mwili wa mke wa mrisho mpoto umebebwa kwenye bus la jwtz. Je huyo marehemu alikua ni Askari wa jwtz?
  20. Serikali yaja na suluhisho la foleni mpaka wa Tunduma

    Serikali mkoani Songwe imesema kuwa suluhisho la kudumu la changamoto ya foleni katika mpaka wa Tunduma ni ujenzi wa bandari kavu katika eneo la Mpemba, pamoja na ujenzi wa barabara yenye njia nne, ambao tayari umeanza katika upande wa Mkoa wa Mbeya kuelekea Tunduma. Pia soma ~ Foleni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…